Binti wa zamanichangamoto sana humu jukwaani jina limekaa kama vile ndiye mtenda ubaya wa jf nzima yaani limekaa kama vile ni la kijana wa hovyo, na mbaya zaidi kila mfano mbaya rejea ni holoholo. Nipumzike na mzigo huo rafki yangu.
Mtu anaweza kuagiza kitimoto kilo nzimaa peke yake. Lakini hawezi kuagiza kilo nzima ya mbuzi peke yake mara nyingi sijui kwann ? Utafiti unahitajika hapaHili suala la mtu mmoja kula kitimoto nusu kilo na ndizi mbili au ugali peke yake na akamaliza limekaaje kiafya? Huu sio ulafi na matumizi mabaya ya pesa?
😅 😅 Acha uchokozi, huyu ni kaka yangu tunaheshimiana ujue 🤣Binti wa zamani
Anakusalimia
Ndio ni kaka ako 😅 sasa ni vibaya kumsalimia?😅 😅 Acha uchokozi, huyu ni kaka yangu tunaheshimiana ujue 🤣
Kwa sasa nahisi anahitaji space away from me 🤣Ndio ni kaka ako 😅 sasa ni vibaya kumsalimia?
Tumuache apumzikeKwa sasa nahisi anahitaji space away from me 🤣
Maana kule nilikomuita kagoma kuja 😅
Kabisa, leo siku yake imekua ngumu!Tumuache apumzike
mwambie tutakutana kunako 6×6 niijibu salamu yake inavyotatikana.Binti wa zamani
Anakusalimia
Mwanaume hauli, nguvu unatoa wapi sasa?Mimi sio mlaji madam🤣
kabla ya kukujibu nawewe jibu kwanza aya maswali machache.Hili suala la mtu mmoja kula kitimoto nusu kilo na ndizi mbili au ugali peke yake na akamaliza limekaaje kiafya? Huu sio ulafi na matumizi mabaya ya pesa?
Nipo jiranijirani nafuatilia atakavyojibu.kabla ya kukujibu nawewe jibu kwanza aya maswali machache.
-Je iyo kitimoto ina kapilipili ka ugwadu kwa mbali?
-Je izo ndizi ni zile zilizookwa vizuri kiasi ukizitazama tu unaishia kusema asalamalekho walah?
- Je iyo kitimoto ina kachumbari safi apo pembeni?
- Je iyo kitimoto imeokwa vizuri kiasi ukiitazama tu mate yanajiunda yenyewe uko mdomoni?
-na je kama ni ugali upoje nao au ni ule ugali mdogomdogo mweupe safi na laini kabisa hlf kama unang'aang'aa fulan?
Post zingine zinatufanya wanaume wa Dar tuonekane mdebwedo!Hili suala la mtu mmoja kula kitimoto nusu kilo na ndizi mbili au ugali peke yake na akamaliza limekaaje kiafya? Huu sio ulafi na matumizi mabaya ya pesa?
Mambo za kitumoto tena
afanye kama anaenda kutembea kaskazin mwa tanzania hivi, ndo atajua kwanin wanawake wa kusin wanawapenda wanaume wa kaskazini.Mimi nakula 1.5kg bila shida kabisaaa