Ahsante kwa kunisahihisha 🙏🏽Distraction sio Destruction
Kakuletea dharau jamaa😄😁😁
Simaanishi ni sawa. Sijawahi kuona ni sawa kwa sababu huduma za umma zinatakiwa kuwa inclusive.Kwani lazima waweke maudhui ya kidini? mbona banks au ofisi za serikali hawaweki🤣?
Hapa kafika mkuuKakuletea dharau jamaa😄😁😁
Umeshasema Bar🤣, kuna nyimbo zake na tabia zake pia huko bar ukienda umezifiata. Kwenye bus sio bar, labda ungetoa mfano wa bank au kwenye ofisi ya serikaliKwani ukiwa bar au hata public wakaweka mziki, huwa unachagua nyimbo? Au kadri DJ anavyotaka?
Watu dini mnazichukulia katika hali ya upinzani sana, mtu yupo happy kusikiliza nyimbo ya Nyege-nyegezi ila sio Rose Muhando. Pumbavuuu
Kunyamaza sio kutibu🤣🤣Simaanishi ni sawa. Sijawahi kuona ni sawa kwa sababu huduma za umma zinatakiwa kuwa inclusive.
Kwa hiyo ipo sawa ila nilichopinga ni kuhusianisha uamuzi binafsi wa madereva na makonda kuwa kama ni ubaguzi wa kidini kwa mabus yanayomilikiwa na watu wa dini flani.
Again ndio tulipofika. Siku hizi kila kitu ni dini kwa hiyo sio sawa kuendekeza hizi mada za kukuza hii hali
Kwani ukiwa bar au hata public wakaweka mziki, huwa unachagua nyimbo? Au kadri DJ anavyotaka?
Watu dini mnazichukulia katika hali ya upinzani sana, mtu yupo happy kusikiliza nyimbo ya Nyege-nyegezi ila sio Rose Muhando. Pumbavuuu
Hamna bora endapo unalazimishwa🤣🚮🚮Injili au kaswida au ngono na bangi kipi bora mkuu?
🖕🖕🖕🚮🚮
Hawa dawa yao ni kusweka ignore listHapa kafika mkuu
Tulia tu bwasheeHawa dawa yao ni kusweka ignore list
Injili maana yake ni habari njema.Kuna tabia imekithiri ya Bus zinazoenda mikoani hasa zinazomilikiwa na ndugu zetu wakristo kulazimishia abiria maudhui kwa kuweka nyimbo za injili, hasa mwanzo wa safari. Je hii ni sawa? Hasa ukizingatia sio abiria wote ni wa imani ya kikristo na hii huwa adha kubwa kwa wasio wakristo.
Nadhani waige mfano wa kampuni mbili kubwa za Bus, moja ya Morogoro na nyingine ya Gairo. Ukipanda zile Bus huwezi jua mmiliki ni wa dini gani au dereva na kondakta ni wa dini gani. Na hiyo ndio Tanzania
Ila ukipanda hizi za wachaga na wakinga kama sio mkristo utaita maji mma🤣🤣
Sasa mkuu, kwa mfano, kulazimishwa kula nyama mbichi na kula konokono unataka kusema hakuna lenye unafuu? Basi tufanye umelamishwa; wewe utachagua lipi mkuu?Hamna bora endapo unalazimishwa🤣🚮🚮
Nyimbo za Injili sio maudhui ya kidini. Ni kukosa uelewa kunakosababisha watu wachanganye Injili na Dini zao.Yoyote yale yasiyo ya kidini na yanayozingatia maadili
Jifunze uvumilivu, hakuna kitu cha kuwapendeza watu wote 100%Kwahiyo DJ ndo achague kupiga gospel kuanzia safari inaanza hadi inaisha masaa kumi na mbili🤣🤣, halafu tuone DJ yuko sawa ni DJ mzuri
🖕🖕🖕
🤣kwanini unalazimisha tuvumilie??Jifunze uvumilivu, hakuna kitu cha kuwapendeza watu wote 100%
mjingamjinga tu ndo anaeweza kuamini bila hicho unachosema maisha hayaendi🚮🚮🚮🚮🚮🚮Nyimbo za Injili sio maudhui ya kidini. Ni kukosa uelewa kunakosababisha watu wachanganye Injili na Dini zao.
Injili ni maiaha ya kila siku ya mwanadamu, uwe na dini au usiwe na dini Injili inakuhusu.
Ni mtu mjinga mjinga tu anaweza kukakataa kupokea Habari Njema(Injili)
We nae huna kitu huko kwenye fikra zako, kuna ile nyimbo inaimbaNyimbo za Injili sio maudhui ya kidini. Ni kukosa uelewa kunakosababisha watu wachanganye Injili na Dini zao.
Injili ni maiaha ya kila siku ya mwanadamu, uwe na dini au usiwe na dini Injili inakuhusu.
Ni mtu mjinga mjinga tu anaweza kukakataa kupokea Habari Njema(Injili)