Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

Nadhani huwa hawajui kuwa zile TV ni kwa ajili ya abiria na sio wao makonda na madereva..

Lakini pia sometimes kwa safari ndefu. Kheri waweke tu hizo destructions japo sauti wakicontrol itakuwa sawa zaidi kwa watu wasio interested..
 
Achana nayo mkuu, hizo mambo waachie Wasukuma na Waha

Kuna nambo mengi ya kutafakari na ya kujifunza ukiwa safarini
Hahahaha haya lakini lengo langu ni kutaka kueleza, tujifunze kuchukuliana na dini sio uadui bosi.
 
Nadhani huwa hawajui kuwa zile TV ni kwa ajili ya abiria na sio wao makonda na madereva..

Lakini pia sometimes kwa safari ndefu. Kheri waweke tu hizo destructions japo sauti wakicontrol itakuwa sawa zaidi kwa watu wasio interested..
Kwani lazima waweke maudhui ya kidini? mbona banks au ofisi za serikali hawaweki🤣?
 
W

najua unatamabi kuwatetea tuwavumilie, waweke hata national geographic🤣🤣, haiongelei mambo ya imani yoyote
Lakini pia wapo wasioipenda hiyo channel mkuu. Lakini Injili ya Issa ina shida gani wao kuimba hadi wewe ukwazike na wakati quran inaeleza vizuri kuhusu huyo issa au kwa sababu hawaimbi kiarabu?
 
Magari ya abiria lengo lake siyo kuburudisha wasafiri kwa muziki. Lengo lake ni kusafirisha abiria. Huyo baba alikuwa sahihi kabisa. Nadhani wengi hamjui madhara ya mambo kama haya. Unajenga jamii yenye mawazo finyu tena ya aiana moja na hasa pale muziki unapokuwa wa maudhui potofu. Ndiyo maana unakuta jamii imeambukizwa ujinga wa kuwaza kwa aina moja tena mambo ya kijinga..
 
Kuna misemo miwili hapa uisome kwa makini utaelewa.
1. When you enter in the romans room do what they do.
2. If you cant defeat them, then join them.
Ushauri wangu wa bure kwako ni kwamba unaposafiri jaribu kuwa na cmu na earphones au headphones and be your own dj. Then u will mind your business
 
Wewe hata akili timamu sijui kama unayo
 
Kuna tabia imekithiri ya Bus zinazoenda mikoani hasa zinazomilikiwa na ndugu zetu wakristo kulazimishia abiria maudhui kwa kuweka nyimbo za injili, hasa mwanzo wa safari. Je hii ni sawa?

Panda basi za Tanga au Mtwara/Lindi usikilize kaswida za ndugu zetu Waislamu...
 
Kuna mabasi ya mnene mmoja mkubwa nchini wanaweka filamu za maua, milima, mabonde, anga, ardhi, bahari, mito, misitu mwanzo mwisho, picha zinavutia kutazama hazichoshi na hazikeri abiria
 
Vitu vingine hata sio vya ku'mind' imagine mtu anaweka muvi za mambele Kuna watu hawajui lugha watataka zilizotafsirwa na Mkandale, na wengine muvi zilizotafsirwa hawapendi, wanataka subtitles, wengine hawataki movie za action wanataka love story, wengine hawataki hizo wanataka Animation
Sasa hapo unawaridhishaje wote, kaweka gospel we chukua simu yako pachika earphones kula qaswidah zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…