Ni shule gani ya sekondari ilijengwa na wakoloni Waarabu halafu Serikali ikaitaifisha baada ya uhuru 1961?

Sema tu waislamu walinyang’anywa viwanja vyao hata ilipo DUCE ni kiwanja chao
 

Zanzibar mwarabu alijenga shule gani ? Ama zanzibar napo mwarabu akutawala ?
Sema tu waislamu walinyang’anywa viwanja vyao hata ilipo DUCE ni kiwanja chao

Walinyang'anywa na nani? Na hiko kiwanja waislamu walikinunua kwa nani?

Leo hii iko kiwanja anakimiliki nani? Na kimejengwa nini?
 
Hata waislam wasomi wamesomea western au unataka kunitajia msomi wa Zenzi aliyesomea arabuni 😂😂😂😂

Zanzibar yenyewe waarabu wametawala miaka zaidi ya 1000 ila shule ya sekondari hawakujenga mpaka mzungu alipokuja

Kina mama samia, shein , karume wamesoma shule ya lumumba ambayo ilijengwa na mzungu mwaka 1958 na kupewa jina la King George.

Jiulize mwaarabu yupo zanzibar toka mwaka 1007 AD ila shule inajengwa mwaka 1958 na wazungu.. yaani miaka 1000 mbele
 

Hivi kuna mahali duniani hapa wanaishi bila kutegemea ujuzi na utaalamu kutoka kwa wazungu?
 
Zanzibar mwarabu alijenga shule gani ? Ama zanzibar napo mwarabu akutawala ?

Walinyang'anywa na nani? Na hiko kiwanja waislamu walikinunua kwa nani?

Leo hii iko kiwanja anakimiliki nani? Na kimejengwa nini?
Zanzibar shule alijenga nani!?
 
Mwarabu hajawahi kutawala Zanzibar,aliyetawala ni muingereza.
 
Mbona alijenga halafu mkoloni akaita ocean road!!

Weka nyama.. nimeuliza kwenye uzi.. mtaje shule ambazo baada ya uhuru serikali ilizitaifisha kutoka kwa waarabu..

Mbona za wazungu nimezitaja Ilboru, mazengo, pugu, forodhani, oldu moshi.

Na wewe zitaje za waarabu majina?
 
Kwa elimu yako shule ni nini!?
 
Umeshseahi kuisoma bibilia vizuri, eneo la mahusiano, au unaandika tu usionr leo Dunia imejaa, mtu wa Iringa anaenda kuoa Arusha.

Dunia imejaa watu kwa mahusiano ya ndugu, mpaka kufika hatua ya Leo mtanzania kuoa mkenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…