Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maskati....turiani?Kuna sehemu moja huwa inaitwa "Maskati" sijui kama kuna shule kule ila hao jamaa wamekaa kule kinachonishangaza kule ni bushi kichizi ilikuaje miamba wakakaa huko
Soma chemistry kwa nini imeitwa chemistry,hiyo ni taaluma iliyoanzishwa na mwarabu Kama ilivyo kwa aljebra,msome ibn Sina ujue alifanya nini!?..elimu imeanzia mashariki ya kati, Syria na Iraq,mwarabu hakuja kutawala/kufanya ukoloni hasa kwa Tanganyika,lakini,mzungu alikuja kutawala akitafuta malighafi,alihitaji matarishi wa kuwatuma,hivyo ilibidi ajenge shule ili ujifunze namna afanyavyo kazi,hakuna na lengo jingine,lakini hospitali ya ocean road ilikua shule
Sema tu waislamu walinyang’anywa viwanja vyao hata ilipo DUCE ni kiwanja chao
Hata waislam wasomi wamesomea western au unataka kunitajia msomi wa Zenzi aliyesomea arabuni 😂😂😂😂
Sasa una elimu ambayo ni ustaarabu wa kimagharibi hamna cha maana...Wao wanajielewa hawakopi ovyo kama nyie wana elimu zao Wana maisha Bomba hata maendeleo makubwa.
We Tanzania one unajiproud na nn ? Zaidi ya kuwa mjinga .
Dunia nzima Africa ndo tunafuata elimu za wazungu coz bado hatujiwezi nenda Korea, china ,Iran Wana mifumo yao tofauti na elimu zao hata kiteknolojia wako juu.
Napafahamu kama maskati tu ila ipo shinyanga vijijini ukiwa unaenda kahama ukashuka luhumbo ukaulizia iyo maskati wanaweza kukuelekezamaskati....turiani?
Zanzibar shule alijenga nani!?Zanzibar mwarabu alijenga shule gani ? Ama zanzibar napo mwarabu akutawala ?
Walinyang'anywa na nani? Na hiko kiwanja waislamu walikinunua kwa nani?
Leo hii iko kiwanja anakimiliki nani? Na kimejengwa nini?
Zanzibar shule alijenga nani!?
Napafahamu kama maskati tu ila ipo shinyanga vijijini ukiwa unaenda kahama ukashuka luhumbo ukaulizia iyo maskati wanaweza kukuelekeza
Tanzania na Qatar wapi Pana shule ya maana!?Wale mbwa na shule wapi na wapi
Mbona alijenga halafu mkoloni akaita ocean road!!Mwarabu ajenge shuke kisha aipe jina la King george
Mbona alijenga halafu mkoloni akaita ocean road!!
Mwarabu hajawahi kutawala Zanzibar,aliyetawala ni muingereza.Zanzibar yenyewe waarabu wametawala miaka zaidi ya 1000 ila shule ya sekondari hawakujenga mpaka mzungu alipokuja
Kina mama samia, shein , karume wamesoma shule ya lumumba ambayo ilijengwa na mzungu mwaka 1958 na kupewa jina la King George.
Jiulize mwaarabu yupo zanzibar toka mwaka 1007 AD ila shule inajengwa mwaka 1958 na wazungu.. yaani miaka 1000 mbele
Hebu andika vizuri!!Kabishi wewe alijenga unakijua pale
Hahahawaraabu kama wote inaitwa njia panda ya kwenda oman
Mbona alijenga halafu mkoloni akaita ocean road!!
Kwa elimu yako shule ni nini!?Zanzibar yenyewe waarabu wametawala miaka zaidi ya 1000 ila shule ya sekondari hawakujenga mpaka mzungu alipokuja
Kina mama samia, shein , karume wamesoma shule ya lumumba ambayo ilijengwa na mzungu mwaka 1958 na kupewa jina la King George.
Jiulize mwaarabu yupo zanzibar toka mwaka 1007 AD ila shule inajengwa mwaka 1958 na wazungu.. yaani miaka 1000 mbele
Umeshseahi kuisoma bibilia vizuri, eneo la mahusiano, au unaandika tu usionr leo Dunia imejaa, mtu wa Iringa anaenda kuoa Arusha.Tamaduni za kuoa mtoto wa baba mdogo au ndugu wa karibu siyo nzuri. Ndiyo maana Saudi Arabia wanashida kubwa sana za birth defects sababu ya kuoana ndugu wa karibu