Ni siku gani kubeti kulitaka kukutoa uhai?

Kamari huwa ni ulevi mkali sana kuliko hata ulevi wa pombe. Ukishauingia ulevi huu kuuacha ni ngumu na inahitaji sana maamuzi magumu ili uweze kuachana nao.
 
Mkuu ndo maana siku hizi sikuoni kwenye jukwaa la kanji[emoji3][emoji3]
 
Aisee inawezekana kabisaa haya mambo balaaa...!!
 
Aisee Yuefa flani nilicheza Meridinabet kutumia bonus kubet ya 3000 unayopewa ukijiunga na Odda masharti yake ziwe 3+ aisee nitandika keka la Mechi za uefaa option za kibabe sana Ikabaki Lazio na Dortmund option second half kila timu ifunge goli nilikuwa nakula 2.5M kwa buku 3 aiseee sikuamini Siku ile dortmund walinitosaa tena Hallaand hakucheza mbwa waleee shenzi sana. Ila sijawahi weka stake kubwa kusema ukweli maana kanji ana balaa[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwanini hukuturbo ?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kuna siku nilweka walaka (mechi 32)
Nilichangnya bet..mkeka ulikua wa week 2
Ulikua unatoa kma million 45 hvi niweka stake ya Mia sana.

Mkeka ukatoa mechi 31 then cash out inatoka milion 2 na laki 5 hivii.........
Ile mechi iliyobaki niliipa 0.5 yaani lipatikane goli moja tu...
Na nikianglia kweny history wale jamaa wanafungna Sana...

Nkasema huyu mhindi leo Kala hasara ...zilikua timu za Argentina...zinacheza mida ya saa nane usiku bc mzee sikulala hdi sa 11 dk ya 90 bila bila....Daaah dk za nyongeza

Kuna timu inapata penat nkasema Sasa "kwishaaa" weee jmaa kapaisha penat kwnd kweny cash out inagoma....
Toka siku hyo. Nimeacha kubet.
 
Get rich or die trying
 
Mkuu, kuna mtu nilimwambia huko juu zipo timu za over 0.5 zinagoma betting haina formular ni upepo tu.
 
Daah... maumivu yake si mchezo kabisa
 
Dah mechi 32 wengine mnavipaji. Sii tuwapeni mitaji ya maana muwe mnatuchagulia timu zetu mbili tunatia laki tunatengene,a buku 50 daily
 
Duh!,betting imeshaua kumbe
 
Mi naumiaga kila siku tu. Hii habari yakuziamini clubs zenye majina makubwa na direct win zinaniponzaga sana. Atleast kwenye OVER/UNDER na DOUBLE CHANCE huwa zinanitoaga ila kidogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…