Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

Kaka TV ya 32" ni ndogo japo sijui matumizi yako. Go for atleast 43. pia ongeza pesa kidogo kufikia 550k utapata TV nzuri ya level yako.
Mkuu budget ndo iko ivyo alaf geto lenyewe dogo kwaiyo naona kama itatosha tu sanasana kuangalia epl uefa na sometimes kucheza fifa
 
Kweli unachosema mimi natumia Sony ya 2021 ipo ivyo
 
Hi mizigo ya LG na Samsung iñayozalishwa ulaya ndio og.


Hizi za Korea na China ni takataka na ndizo zimejaa Sana uku bongo.

Hizo za ulaya utazipata Kama mtumba, ila quality yake inazd Hizi mpya za Korea na china
Na ndio machaguo yangu samsung ya kuundwa south sijawahi ifikiria kuinunua hata iwe na spec zipi au lg ya egypt
 
Mimi nataka ambayo nikisema namtaka john madhambi aje mara moya
 
Company gani ya bet unaizungumzia kabla sijakujibu vizuri maana nafanya kazi kwenye company moja wapo kwenye izo tv
View attachment 2489408
 
Company gani ya bet unaizungumzia kabla sijakujibu vizuri maana nafanya kazi kwenye company moja wapo kwenye izo tv
Majina sizijua ila Kuna meaneo mfano pale keko furniture Wana ofisi yao Kuna Tv starx ,TCL Zinapnga kazi mda wote ..Kuna siku nilienda pale sinza kumekucha pale karibu na Pr complex Kuna ofisi ya betting tvs kibao zipo pale ni brand za mchina..

Njoo mabibo mwisho hapa karibu na kitu cha mafuta pale mwisho kabisa Kuna starx izo LG ,Samsung ni tvs za kibishoo sio kazi kazi.
 
Zinakufa vibaya mno
 
Hizi wanaweka sababu ni bei rahisi, hio tv ikiwa Samsung ama TCL haiongezi ama kupunguza faida yao. So in short term tv ya bei rahisi ina make sense.
 
Hizi wanaweka sababu ni bei rahisi, hio tv ikiwa Samsung ama TCL haiongezi ama kupunguza faida yao. So in short term tv ya bei rahisi ina make sense.
Lakini ule utendaji wa kazi kama rahisi kumbuka hawa wanalipia DStv kile kifurushi kikubwa kwamba pesa wanayo..Kingine ule ufanyaji kazi mpaka saa 7 usiku kuanzia saa moja asubuhi.
 
Lakini ule utendaji wa kazi kama rahisi kumbuka hawa wanalipia DStv kile kifurushi kikubwa kwamba pesa wanayo..Kingine ule ufanyaji kazi mpaka saa 7 usiku kuanzia saa moja asubuhi.
Tv moja Samsung huku inafanya kazi mpaka sometime saa kumi usiku na asubuhi inawashwa, zinakaa miaka hadi 8 na unaitoa sio kwamba imeharibika unauza tu unanunua nyengine.

Tv ni kitu kinakaa miaka 10 ama 20 hivyo hizo tv kukaa hivyo ni kitu cha kawaida sana, hasa kwa tech ya Led/lcd
 
Hapo mwisho umetaja kampuni kubwa sana, huwezi kuzikuta kila sehemu Tanzania, mimi nina Smart TV Sony Nina iwasha wikiendi masaa 24 na nikiishika nyuma sisikii ikiwa ya moto

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Sawa ...Ila kwa hapa bongo kwa hizi big brands tunaletewa fake .
 
Hizi ndio shule nilikuwa nahitaji mpaka kufunguwa huu Uzi.

Mkuu kwa kunisaidia nimebaini LG wako vizuri ingawa hawakuwa mawazoni kwangu kabisa, Sasa nataka nijilipuwe na LG.

Kwa Sasa LG hiyo Qled ya inch 43 inakwenda kwa bei gani na authorized agent au dealer anapatikana wapi?
 
Tatizo linakuja kwenye poor quality ya Picha, na utamu wa TV ndio uko hapo ni Picha.
Bar nyingi wana TV za kichina Mimi huwa siangalii maana sioni mpira wenyewe naona watu wanarukaruka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…