Jamani msaada, wadau flat yangu na king'amuzi Cha DStv vimekuwa na tabia ya kujibonyeza (hata usiposhika rimoti) Na ukisema ushike mda mwingine inajibonyeza hovyo hovyo Nafaka Accumen Mo Unavoidable Servant Reuben Challe
Nilipokuwa natolea mfano wa amoled nilikuwa naongelea vioo vya simu ,kwamba ikitokea bahati mbaya kimevunjika replacement part ni mara tatu ya bei ya kioo cha lcd ,Amoled ni vioo vya simu, siyo vya TV. TV zinatumia oled. Panels karibu zote za tv za wrgb oled wanatengeneza LG Display na kuwauzia company zoote unazojua wewe. Hisense pia ni wateja wa LG display. Lg nimeshatumia sana. Magic remote ni feature nzuri lakini hiyo peke yake haiwezi nifanya nichague lg, yapo mengi ninayoyaangalia
Star X kwa matumizi ya watu wa uchumi wachinj ni nzuri kwa matumizi yaki familiaStar X napenda Hisense ila haidumu Starx ninzuri sana Kwa mwonekano na ningumu
FIFA hainogi kwenye ‘32Mkuu budget ndo iko ivyo alaf geto lenyewe dogo kwaiyo naona kama itatosha tu sanasana kuangalia epl uefa na sometimes kucheza fifa
Ukianzia Mwanzo wa thread mpaka hapa tayari jibu unalo na tofauti ya hizi tech sijui HD, Qled, 4K Dolby sijui nini nini kwenye upande wa TV tayari una muongozo nzuri ujilipuwe wapi.Nasoma comments kwa umakini sana
Lg wana Oled na nano tv, Samsung wao ndio Qled na Macro led.Hizi ndio shule nilikuwa nahitaji mpaka kufunguwa huu Uzi.
Mkuu kwa kunisaidia nimebaini LG wako vizuri ingawa hawakuwa mawazoni kwangu kabisa, Sasa nataka nijilipuwe na LG.
Kwa Sasa LG hiyo Qled ya inch 43 inakwenda kwa bei gani na authorized agent au dealer anapatikana wapi?
Bora nijilipuwe na 43" kwa 800,000/= bure ghali.Lg wana Oled na nano tv, Samsung wao ndio Qled na Macro led.
Bei za 43 ni 800,000-1,300,000
LG wana Branch Nairobi, kwa dar tafuta tu duka kubwa linalotoa warranty.Bora nijilipuwe na 43" kwa 800,000/= bure ghali.
Nimeona tofauti ya hizi TV appearance zake.
Je agent au authorized dealers wako wapi kwa Dar?
Hizi za nairobi ndio zile zilizoandikwa made in Egypt ? JAPO naona wanaandika spec za kibabe ila Tv ya lg ya egypt na samsung ya south kuna vitu haviko sawa kiukweli mkuu wanatuchakachua uboraLG wana Branch Nairobi, kwa dar tafuta tu duka kubwa linalotoa warranty.
Nairobi ni service centre incase kifaa chako kimeharibika ama kuna issue inahitaji utaalamu wao,Hizi za nairobi ndio zile zilizoandikwa made in Egypt ? JAPO naona wanaandika spec za kibabe ila Tv ya lg ya egypt na samsung ya south kuna vitu haviko sawa kiukweli mkuu wanatuchakachua ubora
Waone Garnet Star pia ni wazuri sanaBora nijilipuwe na 43" kwa 800,000/= bure ghali.
Nimeona tofauti ya hizi TV appearance zake.
Je agent au authorized dealers wako wapi kwa Dar?
Wapigie namba hizo hapo chiniBora nijilipuwe na 43" kwa 800,000/= bure ghali.
Nimeona tofauti ya hizi TV appearance zake.
Je agent au authorized dealers wako wapi kwa Dar?
Mkuu punguza ujuaji, aliekwambia Samsung zote OG nani? Kwa zaidi ya 60% Tanzania tunatumia TV za Samsung fake, mwisho wa siku nunua kitu kulingana na uelewa wako lakini kikubwa uongozwe na budget yakoSamsung zote ni OG mkuu, hao wanunua Sinsung sio Samsung.
Pili wananunua tv kwa fundi tv sio Dukani. Uliwahi kuona wapi Samsung tv inauzwa laki 2 ama laki 3. Wanapenda vya dezo halfu wanakuja kulaumu brand badala ya kujilaumu wenyewe.
Ngoja tuendelee kupigwa maana hamna namna.Mkuu punguza ujuaji, aliekwambia Samsung zote OG nani? Kwa zaidi ya 60% Tanzania tunatumia TV za Samsung fake, mwisho wa siku nunua kitu kulingana na uelewa wako lakini kikubwa uongozwe na budget yako
Mtu unakuta ana budget ambayo yeye alipenda kupata TV smart ya inch 43 ila budget yake hawezi kununua Lg, Samsung au Sony kwahiyo asinunue sasa? Uwepo wa makampuni mengi ya bidhaa lengo ni kila mtu apate kitu kulingana na uwezo wake
Ukitaka kujua tz tunapigwa sana we agiza TV China, Unaulizwa unataka Original?high copy au end copy? Na hapo hawamaanishi kwamba hizo copy na high copy zitaandikwa sumsung wala singsung bali zote ni Samsung unazikuta na kila kitu chake kama zilizo zingine
Samsung nchini kwetu nyingi sana zinakuja fake maana washajua kuwa tunapenda Jina ila uwezo wa kununua OG hatuna kwahiyo tunapewa kile ambacho tunaweza afford
Nenda posta Samsung store na model na series alafu omba uoneshwe TV original, we kazana uoneshwe TV original yani urudie tena unataka TV original, alafu icheki na chukua bei kisha Rudi kariakoo karinganishe bei
Hiyo ni option one, option 2 tafuta mtu alie China kisha mpe model ya TV ya Samsung aende Samsung store kisha apewe bei, na huko ndio atakutana na issue ya OG,High copy na end copy alafu usikie bei zao wenyewe uone kama tutaweza nunua
Usiishi Kwa kukariri mkuu, japokuwa Heshima ya Samsung kwenye ubora wa bidhaa zake kila mtu anaujua ila ukweli ni kwamba karibia zaidi ya 70% hawatumii Samsung OG kwa sasa ila wao hawajui tu
Walionunua TV za Samsung miaka ya zamani utagundua kuwa TV zao nyingi hadi leo zinadunda fresh tu, ila njoo Kwa hawa wanaonunua hii miaka ya karibuni ni kisanga Mzee mwenzangu
The same na kampuni zingine expensive kama vile Lg saizi tunapigwa tu kisa trade name, ata Hisense pia zina OG zake na fake zake, Tanzania hivi sasa kumejaa vitu fake, wakati iPhone 14 inatoka Yani china store hakuna ila teyari Tanzania kina bilnass wanaziuza na watu wananunua kama kawaida
Nenda posta au kariakoo Kwa mafundi wakubwa wa TV alafu ulizia ni kampuni gani Kwa sasa zinaongoza Kwa kufa, hadi mwaka Juzi me nipo kariakoo ilikuwa ni Samsung ikifatiwa na LG, Samsung ilikuwa inaongoza kufa kioo na LG ilikuwa inaongeza kuunguza AC
Nasema kariakoo na posta kwa sababu huko ndio walipo wanaotumia hizi kampuni, sio uende Kwa mafundi wetu wa kigogo au Manzese zimejaa TV kampuni za hadhi yao huwezi kuta hizo Samsung na lg wala Sony na ukikuta basi inatumika kama sampo tangu mwaka 2016, utakuta BOSS,Aborder,Zunne,singsung nk
Mimi naridhika kwa sababu sina mambo mengi, mimi mpira na news tu basiFull HD inakuwaje kali? yaani 1080p inakuwa tv kali? sasa si nafuu upate uchafu wa Aborder au Boss ya 4K?
Kweli, Samsung huwa linachora limstari flan hivi la pink pembeniMkuu punguza ujuaji, aliekwambia Samsung zote OG nani? Kwa zaidi ya 60% Tanzania tunatumia TV za Samsung fake, mwisho wa siku nunua kitu kulingana na uelewa wako lakini kikubwa uongozwe na budget yako
Mtu unakuta ana budget ambayo yeye alipenda kupata TV smart ya inch 43 ila budget yake hawezi kununua Lg, Samsung au Sony kwahiyo asinunue sasa? Uwepo wa makampuni mengi ya bidhaa lengo ni kila mtu apate kitu kulingana na uwezo wake
Ukitaka kujua tz tunapigwa sana we agiza TV China, Unaulizwa unataka Original?high copy au end copy? Na hapo hawamaanishi kwamba hizo copy na high copy zitaandikwa sumsung wala singsung bali zote ni Samsung unazikuta na kila kitu chake kama zilizo zingine
Samsung nchini kwetu nyingi sana zinakuja fake maana washajua kuwa tunapenda Jina ila uwezo wa kununua OG hatuna kwahiyo tunapewa kile ambacho tunaweza afford
Nenda posta Samsung store na model na series alafu omba uoneshwe TV original, we kazana uoneshwe TV original yani urudie tena unataka TV original, alafu icheki na chukua bei kisha Rudi kariakoo karinganishe bei
Hiyo ni option one, option 2 tafuta mtu alie China kisha mpe model ya TV ya Samsung aende Samsung store kisha apewe bei, na huko ndio atakutana na issue ya OG,High copy na end copy alafu usikie bei zao wenyewe uone kama tutaweza nunua
Usiishi Kwa kukariri mkuu, japokuwa Heshima ya Samsung kwenye ubora wa bidhaa zake kila mtu anaujua ila ukweli ni kwamba karibia zaidi ya 70% hawatumii Samsung OG kwa sasa ila wao hawajui tu
Walionunua TV za Samsung miaka ya zamani utagundua kuwa TV zao nyingi hadi leo zinadunda fresh tu, ila njoo Kwa hawa wanaonunua hii miaka ya karibuni ni kisanga Mzee mwenzangu
The same na kampuni zingine expensive kama vile Lg saizi tunapigwa tu kisa trade name, ata Hisense pia zina OG zake na fake zake, Tanzania hivi sasa kumejaa vitu fake, wakati iPhone 14 inatoka Yani china store hakuna ila teyari Tanzania kina bilnass wanaziuza na watu wananunua kama kawaida
Nenda posta au kariakoo Kwa mafundi wakubwa wa TV alafu ulizia ni kampuni gani Kwa sasa zinaongoza Kwa kufa, hadi mwaka Juzi me nipo kariakoo ilikuwa ni Samsung ikifatiwa na LG, Samsung ilikuwa inaongoza kufa kioo na LG ilikuwa inaongeza kuunguza AC
Nasema kariakoo na posta kwa sababu huko ndio walipo wanaotumia hizi kampuni, sio uende Kwa mafundi wetu wa kigogo au Manzese zimejaa TV kampuni za hadhi yao huwezi kuta hizo Samsung na lg wala Sony na ukikuta basi inatumika kama sampo tangu mwaka 2016, utakuta BOSS,Aborder,Zunne,singsung nk
Kwenye issue ya Sumsung nakubaliana na wewe mia kwa mia kwa sababu mimi ni shuhuda.Mkuu punguza ujuaji, aliekwambia Samsung zote OG nani? Kwa zaidi ya 60% Tanzania tunatumia TV za Samsung fake, mwisho wa siku nunua kitu kulingana na uelewa wako lakini kikubwa uongozwe na budget yako
Mtu unakuta ana budget ambayo yeye alipenda kupata TV smart ya inch 43 ila budget yake hawezi kununua Lg, Samsung au Sony kwahiyo asinunue sasa? Uwepo wa makampuni mengi ya bidhaa lengo ni kila mtu apate kitu kulingana na uwezo wake
Ukitaka kujua tz tunapigwa sana we agiza TV China, Unaulizwa unataka Original?high copy au end copy? Na hapo hawamaanishi kwamba hizo copy na high copy zitaandikwa sumsung wala singsung bali zote ni Samsung unazikuta na kila kitu chake kama zilizo zingine
Samsung nchini kwetu nyingi sana zinakuja fake maana washajua kuwa tunapenda Jina ila uwezo wa kununua OG hatuna kwahiyo tunapewa kile ambacho tunaweza afford
Nenda posta Samsung store na model na series alafu omba uoneshwe TV original, we kazana uoneshwe TV original yani urudie tena unataka TV original, alafu icheki na chukua bei kisha Rudi kariakoo karinganishe bei
Hiyo ni option one, option 2 tafuta mtu alie China kisha mpe model ya TV ya Samsung aende Samsung store kisha apewe bei, na huko ndio atakutana na issue ya OG,High copy na end copy alafu usikie bei zao wenyewe uone kama tutaweza nunua
Usiishi Kwa kukariri mkuu, japokuwa Heshima ya Samsung kwenye ubora wa bidhaa zake kila mtu anaujua ila ukweli ni kwamba karibia zaidi ya 70% hawatumii Samsung OG kwa sasa ila wao hawajui tu
Walionunua TV za Samsung miaka ya zamani utagundua kuwa TV zao nyingi hadi leo zinadunda fresh tu, ila njoo Kwa hawa wanaonunua hii miaka ya karibuni ni kisanga Mzee mwenzangu
The same na kampuni zingine expensive kama vile Lg saizi tunapigwa tu kisa trade name, ata Hisense pia zina OG zake na fake zake, Tanzania hivi sasa kumejaa vitu fake, wakati iPhone 14 inatoka Yani china store hakuna ila teyari Tanzania kina bilnass wanaziuza na watu wananunua kama kawaida
Nenda posta au kariakoo Kwa mafundi wakubwa wa TV alafu ulizia ni kampuni gani Kwa sasa zinaongoza Kwa kufa, hadi mwaka Juzi me nipo kariakoo ilikuwa ni Samsung ikifatiwa na LG, Samsung ilikuwa inaongoza kufa kioo na LG ilikuwa inaongeza kuunguza AC
Nasema kariakoo na posta kwa sababu huko ndio walipo wanaotumia hizi kampuni, sio uende Kwa mafundi wetu wa kigogo au Manzese zimejaa TV kampuni za hadhi yao huwezi kuta hizo Samsung na lg wala Sony na ukikuta basi inatumika kama sampo tangu mwaka 2016, utakuta BOSS,Aborder,Zunne,singsung nk
Hizi Samsung za siku hizi Kaka kwakweli zinaumiza tu watu ila tunanunua tu kwa sababu tuna Imani na kampuni ila kwenye ubora ni kisangaKwenye issue ya Sumsung nakubaliana na wewe mia kwa mia kwa sababu mimi ni shuhuda.
Nina TV Sumsung 32" HD nilinunuwa shillings 700,000/= Kwa authorized dealer wa Sumsung lakini ni zaidi ya miaka 10 Sasa haijawahi kusumbuwa chochote na imepitia suruba Kali lakini fresh kabisa, ujio wa 4k na hizi Qled na Oled ndio vinanifanya nione hapa Sasa sina TV lakini kwa ubora nakubali hii Sumsung HD ya zamani ni OG kabisa ndio maana hata bei niliyonunulia ilikuwa 700,000/= bei ambayo kina skyworth leo unapata 43" smart 4K.
Pia watu wafanyabiashara hawakupeleki Samsung sababu ya Margin ni ndogo hasa maneno yenye competition.Hizi Samsung za siku hizi Kaka kwakweli zinaumiza tu watu ila tunanunua tu kwa sababu tuna Imani na kampuni ila kwenye ubora ni kisanga
Samsung za siku hizi unashangaa tu simu imeweka mstari ilhali imekaa tu sehemu 1 na wala huna watoto kusema wameigonga au wameipitisha kwenye Kashi kashi zozote
Haya maoni ya Samsung yamebakia kwa sie wazee wa brand, ila kama Una ndugu au rafiki anaeuza TV, hapa naongelea mzoefu mcheki mpe budget yako alafu Mwambie unataka kununua TV anashauri ununue TV gani?
Utashangaa sana majibu atakayokupa, nina uhakika 70% hawezi kukwambia ununue Samsung japokuwa dukani ye anazo