Hii ina faida kwao(warushaji) au sisi watazamaji? Maana startimes wao walianza na antenna baadaye wakaleta ya dish. Mbona dstv na wengine huko majuu sijaona wakitumia antenna?Dtt? Ni terestrial kama Startimes, badala ya kutumia Dish unatumia Antenna
Faida ya Antenna kwako ni mvua na hali ya hewa mbaya.Hii ina faida kwao(warushaji) au sisi watazamaji? Maana startimes wao walianza na antenna baadaye wakaleta ya dish. Mbona dstv na wengine huko majuu sijaona wakitumia antenna?
ShukraniFaida ya Antenna kwako ni mvua na hali ya hewa mbaya.
Kwao pia ina faida sababu Digital inakusanya tv zote frequency moja, kuna kipindi Azam walinunua Band 700 pengine ndo wataitumia hapa. Zamani kipindi cha Analog kila tv ilikua na Frequency yake.
Kwao pia inasaidia kuondoa wizi kwa watu wasiohusika mfano Bongo tumaangalia Canal, ama unasikia watu wanatumia Azam za Uganda etc kwa Antena hili haliwezekani.
Tv si mbaya mkuu ila bei inaweza shuka Jaribu ku Negotiate around 1.2m hadi 1.4m katikati hapo.Chief next week naenda chukua TV kariakoo Model Samsung AU7000 55" Bei 1,500,000/=
Ushauri wako muhimu
Acha kukariri Mwamba.TV ni Sony, huko kwengine ni ubabaishaji tu
Ukishiba kande unaweza kusema lolote tu?Acha kukariri Mwamba.
Sony hawafikii Samsung na LG Kwa display
Kwa hio wewe unaangalia Bei?Hapa Bongo kwa Tsh 650,000/= unapata Hisense yenye inchi 43, smart kabisa na ni 4K resolution, umeshamaliza kazi. Sasa wewe huoni hiyo Samsung umenunua kwa laki saba halafu ni 32 inches tu. Ukikutana na muuzaji mwenye tamaa sana hiyo Hisense unapata kwa laki saba. Kupata Samsung au LG yenye ubora sawa na Hisense hii inakupasa uwe na milioni moja kupanda.
Jamaa amekariri TV za moaka 20 iliyopita za Hitach, Sony, JVC kwamba ni nzuri.Acha kukariri Mwamba.
Sony hawafikii Samsung na LG Kwa display
Kaongea ukweli Sony wako vizuri zaidi ya izo majina zakoAcha kukariri Mwamba.
Sony hawafikii Samsung na LG Kwa display
Sony ni level zingine acha kukaririJamaa amekariri TV za moaka 20 iliyopita za Hitach, Sony, JVC kwamba ni nzuri.
Kwani iPhone ina nini ambacho huwezi kufanya kwenye TECNO?Kufananisha Hisense na Samsung Ni Sawa na kufananisha tecno na iPhone
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Shukrani mkuu kwa kutujuza kumbe Tecno na wao wana high end smartphoneKwani iPhone ina nini ambacho huwezi kufanya kwenye TECNO?
TECNO zina matoleo tofauti. Kwa hiyo linganisha high-end TECNO na iPhone halafu uniambie nini unafanya kwenye iPhone ambacho wa TECNO hawezi kufanya.
Unajua wakati mwingine mnapigwa kwa ujinga wenu tu, na mashauzi ... maana watu wa iPhone huwaga ni watu wa mashauzi tu.
Acha kukariri dogo.Sony ni level zingine acha kukariri
Hebu tutajie tecno moja high end inayoweza chuana na flagship za apple [emoji23]Kwani iPhone ina nini ambacho huwezi kufanya kwenye TECNO?
TECNO zina matoleo tofauti. Kwa hiyo linganisha high-end TECNO na iPhone halafu uniambie nini unafanya kwenye iPhone ambacho wa TECNO hawezi kufanya.
Unajua wakati mwingine mnapigwa kwa ujinga wenu tu, na mashauzi ... maana watu wa iPhone huwaga ni watu wa mashauzi tu.
umetoa maelezo kwenye swali ambalo hujaulizwa mkuu.Anigrain na kcamp kama nyie ni wajuaji basi mnatakiwa muwe mnajua jinsi ya kutafuta taarifa za simu latest au simu za high end za TECNO.
Mkishindwa kitu kidogo kama hicho ina maana hata sifa za kujifanya wachambuzi wa simu mbele ya macho yangu mtazikosa.
Na pili mnapocompare simu msiwe shallow kuhangaika na specifications tu. Mjiulize pia hiyo specification ina umuhimu wowote wa msingi kwa matumizi ya kawaida ya simu?
Zingatieni hoja yangu ya msingi ambayo ni:
"Kitu gani cha msingi ambacho unaweza kufanya kwenye iPhone ambacho huwezi kufanya kwenye TECNO"?
Maana kuna mwenzenu mmoja wa iPhone nilimwambiaga hii ishu akaja na hoja ya iPhone sasa hivi ina satelite calls. Nikamuuliza sasa satelite call ni jambo la msingi?
Au mfano 4G au 5G sio vitu vya msingi kabisa. Connection ya 3G inatosha sana mtu kutumia simu vizuri kabisa. Sema watu ndo huwa wanakuwa manipulated kwamba "5G ndo yenyewe, ukiwa na 3G wewe ni mtu wa kale!"
Au screen resolution. Jicho la binadamu linaona mwisho 576 Megapixels. Kwa hiyo resolution ya 720p inatosha kabisa. Ni resolution ambayo video zake unastream vizuri tu kwa 3G.
Lakini watu wamehamasishwa kwamba 1080p, au 4K au 8K ndo yenyewe!!
Unajikuta unapigwa hela nyingi kununua kitu ambacho sio cha msingi ili tu uweze kujitapa mbele ya watu kwamba wewe ni mjanja.
Kwani iPhone ina nini ambacho huwezi kufanya kwenye TECNO?
TECNO zina matoleo tofauti. Kwa hiyo linganisha high-end TECNO na iPhone halafu uniambie nini unafanya kwenye iPhone ambacho wa TECNO hawezi kufanya.
Unajua wakati mwingine mnapigwa kwa ujinga wenu tu, na mashauzi ... maana watu wa iPhone huwaga ni watu wa mashauzi tu.