Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

Hiyo LG 4K unayoiongelea shilingi ngapi
 
Nipe review zake kwanza .Mie uwezo wa kununua tv ya 2m sina hivo naangalia mtumba wenye quality uzuri najua kushirikisha magwiji kama kina Chief-Mkwawa wakisema pita humo napita na life linasonga
Mwenyewe hilo ni swali tu nimemuuliza nataka nijue kama hizo Samsung zenye OLED screen zinauzwa kwa laki sita
Maana ninajua tu kwa 650,000/= Hisense unapata Bora kuliko Samsung. Ili uenjoy mema ya Samsung mfuko nao inabidi unyooke
Labda tumuite CHIEF MKWAWA aje kutoa muongozo
 
Hakuna TV ya OLED inauzwa 650k,hata kama ni used
 
Kampuni zote mkuu inabidi uwe makini hata hisense ana vimeo vya kutosha tu.

Samsung TV zake za bei rahisi vioo vinatoka BOE (Mchina) hivyo unaweza nunua na ikawa na display mbaya vile vile.

Ila ikiwa Qled ama Oled uhakika huo sio mchina na hupati laki 6.

Nano tv ama hizi Qled nyingi ni kuanzia 1m kupanda, na Oled ni 3m kupanda.

Pia LED inategemea ikiwa na mwanga wa kutosha na standard nzuri kama Hdr10 inaweza kuwa nzuri pia ika compete na hizo Qled na Nano.
 
Kwa maelezo yako hio model nilioweka apo Chief-Mkwawa imesimamia grupu lipi na kama mpya ingeuzwa vipi
 
Asante kwa muongozo
 
Kwa maelezo yako hio model nilioweka apo Chief-Mkwawa imesimamia grupu lipi na kama mpya ingeuzwa vipi
Mpya ndo hio around 1m mpaka 2m sababu si oled, panel yake ni VA,

Panel za VA hazina rangi nzuri kama Oled ama IPS ila sifa yake kubwa ina input lag ndogo, kutumia kama monitor, kuchezea games na hata kuangalizia vitu ambavyo vina motion kama mpira.

Pia VA si nzuri kwenye Mwanga mdogo na pia hazina view angle nzuri incase sebule yako ni pana.
 
Ulishatumia hisense ipi wewe? Maana kama ni OLED na QLED pia hisense wanazo. Sasa kwa kuwa wewe umekariri kutumia hisense za entry level unakuja kuziponda. Tafuta hela
Sijawahi tumia hisense yoyote , nyingi nilizoziona hata hizo oled zina mapungufu kadhaa hazikidhi mahitaji yangu. .ninapoamua kununua electronics devices ,huwa naangalia features sio jina , as iam very tech hungry!! Kwa miaka kadhaa lg yupo juu ya majina mengi kwa upande wa Tv zinazokuja africa.
Nimetoa mfano wa magic remote ambayo kwa sasa anayo lg peke yake , kuna thinQ lg android app amabyo umaweza kutumia simu yako kama magic remote ,
Kwenye electronics hisence ni taka taka , unless uwe hujui unatafuta nini na ndio sababu huwa zipo cheap.kuanzia tv fridge, ac, hadi washers .
Nitafute hela???? Hela unazo weye unayenunua midosho!
 
Hisense oled umetumia wapi? Duka lipi dar wana hisense oled? Magic remote? Yaani ninunue tv sababu ya remote? Hayo mapungufu yataje hapa si kupiga kelele tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…