Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

Kuna Hisense kali sana mkuu sema haziji tu huku Africa, highend za makampuni ya kichina pia wananunua Display Samsung na LG.
 
Hisense oled umetumia wapi? Duka lipi dar wana hisense oled? Magic remote? Yaani ninunue tv sababu ya remote? Hayo mapungufu yataje hapa si kupiga kelele tu.
Kama hujui features bora ukae kimya tu, , kioo cha amoled kinagharimu mara tatu zaidi ya lcd, na aliyetumia amoled huwezi mrudisha kwenye lcd .
Hujui features za magic remote na inaonyesha hujawai tumia , ungejaribu ungenielewa!
Pungufu moja la Hisense ni sound quality ,
 
 
Skyworth Ni brand kubwa sn kwa soko la ulaya kuliko Hata Samsung ya wakorea.
 
Hii ni only for genius , wajinga wa Samsung hawawez kuelewa , Samsung zinazouzwa Africa ni Sawa Sawa na toleo Lao la smu za Aseries yaani ni Ujinga mtupu unless ubahatishe zinazokuwa shipped to Europe
Sahii kabisa,
Ukiwa kwny industry ya tv,
Hizi wanazotuletea Africa hasa k'koo ni overpriced afu quality chefuchefu
Ukiipata samsung yenyewe kwa soko la Europe, hasa za mtumba Ndo quality.
 
Sony hutojutia.
 
Hessence forever
 
Amoled ni vioo vya simu, siyo vya TV. TV zinatumia oled. Panels karibu zote za tv za wrgb oled wanatengeneza LG Display na kuwauzia company zoote unazojua wewe. Hisense pia ni wateja wa LG display. Lg nimeshatumia sana. Magic remote ni feature nzuri lakini hiyo peke yake haiwezi nifanya nichague lg, yapo mengi ninayoyaangalia
 
Samsung Hizi mpya kwa soko letu la bongo wanatueletea makapi, ovyo kabisa

Tena Kuna Samsung za mtumba from U.K,
Zina quality na imara sn kuliko Hizi mpya za skuhz wanazofyatua China ili kushindana sokoni
 
Wachache sn watakuelewa,
Ndo maana brand ya LG na Sony hazijawahi kushuka Bei, ila Samsung na Hisense wanashusha Bei kila kukicha kushindana na michina.
 
Sahii kabisa,
Ukiwa kwny industry ya tv,
Hizi wanazotuletea Africa hasa k'koo ni overpriced afu quality chefuchefu
Ukiipata samsung yenyewe kwa soko la Europe, hasa za mtumba Ndo quality.
Shida ya electronics mitumba unakuwa nyuma sana kwa tech, bahati nasibu kuupata na most likely usipate unachohitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…