Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

Nina Hisense yangu 43" FULL HD mwaka mmoja umeisha i really enjoy the quality, nilisevu hela yangu nikamnunulia binti yangu pamba kali Woolworths
 
Ipi ni Bora Kati ya Hisense ya south Africa na China!??
 
Kama ulinisoma vizuri nimesema lg ni tv bora kwa tv zinazoletwa africa , nafahamu huko first world wana options za kutosha
Sawa lakini kwenye maelezo yako ulisema Hisense ni takataka [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kwa maoni yangu,
Tv zenye ubora kuanzia quality ya picha, software & hardware

1. Sony
2. LG
3. Skyworth
4. Samsung (ubahatishe OG & latest series)
5. HISENSE
6. TCL
Halafu yatafata makampuni mengine ,
ya kawaida
Mkuu nataman nikupinge hiyo namba 3 but naheshimu uzoefu wako kwenye hizi bidhaa sasa hebu tujuze huo ubora wa Skyworth wana quality zipi
 
Nachokijua mimi hakuna mtu kwenye ukoo wenu anakijua ama atakuja kukijua. Ufahamu wangu na uelewa wangu juu ya hato mambo hakuna mtu kwenye ukoo wenu atakuja kua nao.

Siwezi kukusaidia kwa sababu huna akili. Nasaidia wenye akili.
Don't argue with Stupid people they will drag you down to their level and beat you with experience 🀣
 
I like sony

My entaitaiment package yote ni sony
Ps5
Sound bar(japo nmekutana na harman kardon studio8)
TV
wachache sana wanaijua hii kampun kwa ubora inaongoza
bei ndiyo chamz cha wwng kukimbilia hisense
 
Mkuu Chief-Mkwawa Ufafanuz kidogo hapa. Ni ipi nzuri kati ya Google Tv vs Android Tv based on their x-sticks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…