Ni kwa sababu moja tu mkuu, value for money.
Hisense ni budget tv brand, inakuonjesha ubora kidogo kwa bei ya chini kidogo.
Hata hivyo Hisense sio brand bora ya kuchina, kuna TCL sijui TLC hii ndio kidogo kujaribu kuwakaribia Samsung ama LG.
Ukitaka tv ya bei ndogo na ubora wa kawaida nenda tu Hisense.
Samsung Galaxy S22 ina uwezo wa kurekodi 8k, hii ni milioni 2-3, Tecno ina uwezo wa kurekodi 8k, hii ni laki 5-7. Kwa kua zote zinaweza kurekodi video za 8k haina maana kwamba zinalingana.
Vits ni gari sasa sawa na LC 300, kwamba zote zinatembea barabarani kama gari ila kuna tofauti kubwa sana kati ya vits na V8.