Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

huyo sio mwitaliano ni mchina, ni ndugu yake star x, yaani kama ilivyo techno na infinix
Mchina yupo under licence,ila mwenyewe mwenyewe kabisa ni Mtaliano

Na kwa Asia kiwanda kipo Dubai sio China
 
Attachments

  • Screenshot_20230124-073528.png
    Screenshot_20230124-073528.png
    123.6 KB · Views: 41
Asee kumbe eh? Wabongo kwa ujuaji wa msichokijua mko vizuri sana. Sasa kwa taarifa yako hata remote ya TCL na Hitachi kwa toleo linalofanana tofauti ni nembo tu; hata remote ya hii TV battery zake zilikuwa zina nembo ya Hitachi.View attachment 2493093

Mkuu wewe ndio “unaleta ujuaji wa kibongo”
Hawana uhusiano wowote

Siku hizi Google anasaidia sana kukupa maarifa...... try to make it your friend
 
Ni bajeti yako tu mkuu

Wale wachovu wenzangu wanakwenda na Boss, StarX
Hizi ni sawa na watumiaji wa simu wa Tecno, Itel, infinix

Wale wa uchumi wa kati wanakwenda na Hisense, TLC
Hizi ni sawa na watumiaji wa simu za Oppo Xiaomi nk

Wale wanaojiweza wanakwenda na Sony LG Samsung Apple Tv
Hizi ni sawa na watumiaji wa simu za Samsung iPhone nk

Najuta kuchukua star X [emoji17][emoji55]‍[emoji2418], of course iko vzur Quality HD, muonekano mzuri deep black (margin nzur + kioo) zote n deep black sio unakuta margin nyeus kuliko kioo [emoji706] ishort iko poa nadhan inafatia baada ya hizi zinazo tembelea brand name SAMSUNG, LG,HISENSE labda na SONY

Sasa kilichokuja kuniboa na kuni suprise n kwamba haina direct connection na SUBWOOFER yan huez connect nyaya moja kwa moja kutoka kwenye subwoofer mpaka kwa TV maana ina input tu haina outputs unless utumie king’amuzi daah nlikasilika nkajua tv mbovu nkarudisha dukan jamaa ndo kudai ivo kwamba version mpya ya star X zko ivo nami nkafatilia nkakonfem so ikabid nitulie tu
Coz ile tv n mpya till today inakaratas nkasema hata nkikurupuka kuuza ntapata hasara tu maana nlinunua kipind ambacho tv zko juu sana

Kwaio njia pekee ambayo inaeza kupa connection ya tv na subwoofer ni king’amuzi daah sasa hii ishu imeniboa sana coz mm nna mzuka na music [emoji445] yan imenikata stimu kabisa nlikua sna ata mpango na king’amuzi ila imenibidi nifanye hivyo nataka nichukue DSTV ili ata muda mwingne niwe naweka flash kwenye king’amuzi pale napata ile direct connection

So sad, nmeulizia tena naambiwa kwamba king’amuzi cha DSTV huwa kina sehem ya flash lakini huwa hai function?!

Et wajuzi hasa wa DSTV kuna ukweli wowote katika hili ??maana nazidi kuzima stimu[emoji706][emoji706]
 
Sijajua kwa wengine ila Mimi nilishindwa kabisa kufanya flash i-function kwenye DStv. Kila kona niliingia na kufukua makaburi lakini sehemu ya kuallow media player kwenye flash sikuiona. Nadhani ndio hivyo, haiwezi ku-function.
Nunua Azamtv ndio flash ina function kirahisi au ukishindwa hiyo chukua hizi decoder ambazo si za ving'amuzi, zenyewe ni kwa ajili ya Media player tu
 
Flash dstv nafikiri ni kwa ajili ya PVR, kurecord vipindi vya TV ukiwa haupo Nyumbani. Mfano kuna mechi ya mpira mchana haupo nyumbani itarecord ukirudi uangalie.
 
Najuta kuchukua star X [emoji17][emoji55]‍[emoji2418], of course iko vzur Quality HD, muonekano mzuri deep black (margin nzur + kioo) zote n deep black sio unakuta margin nyeus kuliko kioo [emoji706] ishort iko poa nadhan inafatia baada ya hizi zinazo tembelea brand name SAMSUNG, LG,HISENSE labda na SONY

Sasa kilichokuja kuniboa na kuni suprise n kwamba haina direct connection na SUBWOOFER yan huez connect nyaya moja kwa moja kutoka kwenye subwoofer mpaka kwa TV maana ina input tu haina outputs unless utumie king’amuzi daah nlikasilika nkajua tv mbovu nkarudisha dukan jamaa ndo kudai ivo kwamba version mpya ya star X zko ivo nami nkafatilia nkakonfem so ikabid nitulie tu
Coz ile tv n mpya till today inakaratas nkasema hata nkikurupuka kuuza ntapata hasara tu maana nlinunua kipind ambacho tv zko juu sana

Kwaio njia pekee ambayo inaeza kupa connection ya tv na subwoofer ni king’amuzi daah sasa hii ishu imeniboa sana coz mm nna mzuka na music [emoji445] yan imenikata stimu kabisa nlikua sna ata mpango na king’amuzi ila imenibidi nifanye hivyo nataka nichukue DSTV ili ata muda mwingne niwe naweka flash kwenye king’amuzi pale napata ile direct connection

So sad, nmeulizia tena naambiwa kwamba king’amuzi cha DSTV huwa kina sehem ya flash lakini huwa hai function?!

Et wajuzi hasa wa DSTV kuna ukweli wowote katika hili ??maana nazidi kuzima stimu[emoji706][emoji706]

StarX ipo vizuri sana tatizo lake haitaki shida sijui kuihamisha hamisha au kuitingisha tingisha wakati wa kuifuta au kuchomeka waya, itaanza kukata mistari(tundika ukutani juu)
Pia haitaishi sana kama inaangaliwa 24/7
Ile habari ya ukitoka tu asubuhi house girl anaiwasha na inakuja kuzimwa saa 6 usiku hapo itaanza kuunguza mafyuzi

Kuhusu hiyo port ya king’amuzi cha DSTV hiyo port sio ya kuchomeka flash na kuplay,
Hiyo ni kuchomeka flash yenye faili la ku update software ya king’amuzi
Na pia kuhifadhi recorded unapo set irekodi ukiwa haupo
 
Sijajua kwa wengine ila Mimi nilishindwa kabisa kufanya flash i-function kwenye DStv. Kila kona niliingia na kufukua makaburi lakini sehemu ya kuallow media player kwenye flash sikuiona. Nadhani ndio hivyo, haiwezi ku-function.
Nunua Azamtv ndio flash ina function kirahisi au ukishindwa hiyo chukua hizi decoder ambazo si za ving'amuzi, zenyewe ni kwa ajili ya Media player tu
Sehem ya flashi ni kwaajili ya matumizi yao wenyewe kampuni za ving'amuzi
 
Nilipokuwa natolea mfano wa amoled nilikuwa naongelea vioo vya simu ,kwamba ikitokea bahati mbaya kimevunjika replacement part ni mara tatu ya bei ya kioo cha lcd ,
Nina S8 kioo chake ni Amoled, kimevunjika upande eti wanataka 200,000 kubadilisha.
Wakati hapo hapo kioo cha lcd ni 45000
 
StarX ipo vizuri sana tatizo lake haitaki shida sijui kuihamisha hamisha au kuitingisha tingisha wakati wa kuifuta au kuchomeka waya, itaanza kukata mistari(tundika ukutani juu)
Pia haitaishi sana kama inaangaliwa 24/7
Ile habari ya ukitoka tu asubuhi house girl anaiwasha na inakuja kuzimwa saa 6 usiku hapo itaanza kuunguza mafyuzi

Kuhusu hiyo port ya king’amuzi cha DSTV hiyo port sio ya kuchomeka flash na kuplay,
Hiyo ni kuchomeka flash yenye faili la ku update software ya king’amuzi
Na pia kuhifadhi recorded unapo set irekodi ukiwa haupo
Mkuu hapo kwenye kuiwasha Tv masaa mengi vibaya kwakila Tv au kwa Star x tu? Kwasababu mimi Tv yangu naiwasha kuanzia asubuhi mpaka saa 8 usiku na haina shida inapiga kazi tu na nikiishika nyumba sisikii ikiwa ya moto iki heat
 
Mimi natumia sundar inatumia umeme mdogo kioo ni 4k harafu inakuja na screen protector wenyewe wanaita double screen. Tatizokubwa sio multpurpose yani huwezi kuchart whatsap huku unasikiliza mziki wa kwenye tv hiyo iyo. Harafu mda mwingine ni kama inazidiwa uwezo kama nikiitumia kuchat na kubrowse mtandaoni ila kwa kutizama movie tu ama kusikiliza music hii tv ni nzuri sana. Kwenye application za smart tu ndio ina kera sana
Sundar sio TV ni mfano wa TV
 
Mkuu hapo kwenye kuiwasha Tv masaa mengi vibaya kwakila Tv au kwa Star x tu? Kwasababu mimi Tv yangu naiwasha kuanzia asubuhi mpaka saa 8 usiku na haina shida inapiga kazi tu na nikiishika nyumba sisikii ikiwa ya moto iki heat

Ni kwa hizi Tv za viwango vya chini na kwa uzoefu wangu ni kwa StatX
Tv bora zinapiga mzigo 24/7

Nilikua nazo mbili nimeweka kwenye baa na ninaonyesha mpira kama kibanda umiza
Asubuhi wakati wa supu tv inawashwa na inazimwa saa 6 hadi saa 8 usiku
Haikuchukua muda zikaanza kujizima zenyewe mara zikaanza kugoma kuwaka zimeunguza fyuzi gani sijui, kila muda upo kwa fundi

Fundi akanishauri niuze ninunue angalau TCL ambazo zinadunda hadi leo licha ya kuwaka masaa yote
 
Hisense ni TV za rahisi hivyo ni lazima ziwe na ''mashabiki'' wengi. Usiwaone wanavyojitutua hivyo, ni kwa sababu maskini siku zote hawaachi kujitutumua.

Ninyi ndio aina ya watu mnao define status za watu kwa simu mavazi na tv walizonazo
Inaonekana ukiingia nyumbani kwa mtu ukakuta ana Lg kwako wewe huyo ni tajiri na mwenye Hisense ni masikini

Kuna Hisense zina bei kubwa kuliko Samsung

Wakati mwingine haya mambo ya technology huwa hayaamuliwi na uwezo wa mtu tu, bali pia knowledge ya mtu
Unaweza kukuta mtu anauwezo lakini ana StarX nyumbani kwake na inamtosheleza 100% akitoka kazini anaangalia taarifa ya habari kwisha
Watoto wanaangalia cartoon na kuchomeka flash za movie
Haelewi kabisa kwamba kuna LG sijui ina nini
 
Back
Top Bottom