Ni SMS yangu ya mwisho kwake. Je, nimekosea?

Mbona mimi naona wewe ndio narcissist, vijana hadi mje mjipate mtakuwa mmeteseka sana kwenye mapenzi, tatizo ego zenu hazitaki kukubali kuwa mwanamke ana uhuru wa kuchagua, kuacha na kuchagua kingine.

Hata sisi hadi tumefikia hapa kuwa mashangazi tushatukanwa sana, being bullied, calling names, kuna muda hadi mtu anakuwinda akukate mitama πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wengine tumekuwa katika mitaa ambayo ilikuwa na wababe na wakora.
 
Mwanaume timamu na aliekomaa hajibizani na mwanamke
 
Mungu atuepushie watoto wetu na waalimu kama wewe, imagine someone is this bitter na anatakiwa afundishe watoto wako! πŸ€¦πŸ»β€β™€οΈπŸ€·πŸ»β€β™€οΈ
 
Mungu atuepushie watoto wetu na waalimu kama wewe, imagine someone is this bitter na anatakiwa afundishe watoto wako! πŸ€¦πŸ»β€β™€οΈπŸ€·πŸ»β€β™€οΈ
Huyu anaonekana ni wale wa hasira za upole, wale wa 'utanikumbuka' hana madhara
 
Always nakuwaga upended wa wanaume ila hapa jamaa kazingua usimtetee, hakuna cha maana kuna Principles nyingi za Masculinity kazivunja na ku SIMP sana
 
Uwalimu sio Arts tu, wapi uliambiwa hiki kuwa unlimited ni Arts tu
 
Always nakuwaga upended wa wanaume ila hapa jamaa kazingua usimtetee, hakuna cha maana kuna Principles nyingi za Masculinity kazivunja na ku SIMP sana
Sasa mkuu ungekuwa unazijua ungeenda dm umuelekeze sio kumkataa mshkaji mbele ya UMMA ambao hata hao ladies wanaona.
 
Kwahiyo hata mtu akiandika upumbavu so long amewasema wanawake ndio wanaume wote wamsupport?
Ndiyo, Sheria za kiuanaume tunam-support mwenzetu hadharani alafu chimbo tunampa makavu.... Me siwezi kujifanya better kiasi nimkatae mwanaume mwenzangu mbele ya pichu hata kama hayupo sahihi ili nionekane bora.
 
Sasa mkuu ungekuwa unazijua ungeenda dm umuelekeze sio kumkataa mshkaji mbele ya UMMA ambao hata hao ladies wanaona.
Kwenye Mapenzi SIMP inabidi ajifunze kwanjia ngumu ukimpetipeti atadeka.
 
We mwamba kaka πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…