Ni staili gani nzuri unaweza kuitumia kuishi na mwanamke mwenye kiburi na jeuri

Kuna mdau kakushauri kiutu uzima hapo juu kwamba uwe na machaguo mawili.

Amua kuishi nae au kuachana nae, ila kama utaamua kuishi nae, basi mpuuze kwa huo ujinga wake... Wewe dili na mambo machache ya msingi tu
 
Pelekea moto mpaka anakojoa
 
Kama hutajari, mlikuwa na watoto wangapi nae.
 
Sikiliza wimbo wa Mr 2 ft Stara Thomas....kiburi dawa yake ni jeuri mkuu.
Pole sana kwa limbwata ulilopewa😂
Una moyo wa kipekee sanabkuendelea kuishi na huyo mwanamke
 
Pole sana, achana nae fanya mambo mengine...
 
Nakazia[emoji4][emoji106]
Inawezekana huyo mwanamke anacho kitu chatofauti kinachofanya jamaa ashindwe kumuacha. Just like you unavyoshindwa kumuacha mchepuko wako. Siyo rahisi kihivyo! Hahaha 😆
 
Kama demokrasia haifanyi kazi badili mbinu kuwa kiburi zaidi yake ni mwendo wa amri moja no discussion.
 
Hakuna mamma ya kuishi nae

Uwe boya au umuache ru

Mauzauza hoye
 
Kwake wewe ni very low profile. Huwezi kumbadilisha, just buy time, mwisho wake hutaishia pazuri. I tell you, you'r at very profile kwake. Utamkuta anawaheshimu wengine na hawezi kubehave kama anavo fanya kwako, so wait and be ready to put your hands up and surrender the marriage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…