Ni staili gani nzuri unaweza kuitumia kuishi na mwanamke mwenye kiburi na jeuri


Dawa yake ndogo sana.

Jitume kijana.
 
Daaa mkuu pole Sana, yaani hata wa kwangu yupo hivyohivyo. Mi nilichokifa ya nimempiga mimba ahangaike nayo huko harafu tendo la ndoa hata simuombi tena na yeye anaona kawaida tu
Hakuombi tendo la ndoa na ana mimba? Shituka, kuna vijana wanajipigia kimasihara huko.
 
 
N
Daaa mkuu pole Sana, yaani hata wa kwangu yupo hivyohivyo. Mi nilichokifa ya nimempiga mimba ahangaike nayo huko harafu tendo la ndoa hata simuombi tena na yeye anaona kawaida tupK

Daaa mkuu pole Sana, yaani hata wa kwangu yupo hivyohivyo. Mi nilichokifa ya nimempiga mimba ahangaike nayo huko harafu tendo la ndoa hata simuombi tena na yeye anaona kawaida tu
Mkuu naomba mbinu Sasa umemtundika tu mimba nakuacha kuombana tendo la ndoa wewe unaishije au ndio umerudi kwenye nyeto Tena?au umeamua kununua dada poa maana michepuko ya kudumu nayo pasua vichwa
Daaa mkuu pole Sana, yaani hata wa kwangu yupo hivyohivyo. Mi nilichokifa ya nimempiga mimba ahangaike nayo huko harafu tendo la ndoa hata simuombi tena na yeye anaona kawaida tu
Marunde umemtundika mimba na tendo la ndoa ukaachana nalo naomba nipe mbinu mkuu wewe unaishije umekuwa mdau wa nyeto,dada poa au umetafuta michepuko wa kudumu nataka nami nimtundike tu mimba jeuri imuishe
 
risasi saba
 
Ohooo!
 
Huu ushauri mzuri kwa Wanawake wenye Viburi na Jeuri sio wale waliojaaliwa Utu na Utulivu.... Wale tuna wa care, tunawapa muda wetu na mapenzi yetu yote.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mi ukinifanyia hivi tunaachana kwakweli πŸ™ŒπŸΎ
 
Nyie mmelishwa nini, yaani unatuomba msaada kuishi nna mwanamke jeuri[emoji23][emoji1787]

Piga chini huyo kenge
 
Ukimwelekeza jambo ambapo obvious amekosea yaani hakubali na ataanzisha ligi hiyo mpaka unafika hatua unaona bora yaishe unajifanya mjinga kwa muda ili mradi mambo yaishe .
Kabla sijachangia naomba kujua je baada ya huo ubishani usiku huwa unamwomba njiapanda?
 
Hajibu meseji? Huyo sio wako aisee, kama hachepuki basi hiyo kiburi imezidi mipaka. Kama ndoa bado changa piga chini atakuua mapema huyo. Sema nini, inaonekana hauna hela bro
 
Hizi kesi za kuamua kwa kusikiliza upande mmoja Ni ngumu sn,mtoa mada ndoa Ni kuvumiliana hata wewe waweza kuwa na mapungufu lakini ukawa hujajijjua mwenyewe,huku utapata ushauri wa kila aina za kuambiwa changanya nazako
 
Dawa yake ndogo sana.

Jitume kijana.
Kijana anajituma sana,sema anaonekana ni mpole sana kwa Mwanamke wake, yaani unamu sms mtu asubuhi,alafu anakuja kukujibu saa 12 Jioni,tena yeye bado ndiyo anakua mkali!!? Kijana ampige chini faster huyo Mwanamke wake hadi hapo atakapo jirekebisha mwenyewe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…