Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Alikuwa muovu kwa wanasiasa na wapinzani koko woteIla ccm walikosea sana kumleta yule muovu, bila Mungu tungeisha wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa muovu kwa wanasiasa na wapinzani koko woteIla ccm walikosea sana kumleta yule muovu, bila Mungu tungeisha wote
Je unajuwa kuwa kwenye kifo cha BWM kulikuwa na mkono wa Magufuli? Endelea kuamini kuwa alikuwa anammuduBM alichimba biti "hakuma selikari sijui ya nani? hii ni selikari ya fisiemu"
Hapo alikuwa hapendi vile wanaita selikari ya Magufuli.
Hawa ndio wale wapumbavu wanaofikiri diplomasia ni kushikwashikwa matakle na wazungu kama yule bwege mwingine pale belgijiHizi habari za kidiplomasia huwa mnazipata wapi kuna balozi ilifungwa shida watu design yako ni washamba wa wageni na wazungu. Ukute kwako unakula sahani za bati mgeni akija unampa sahani za udongo au kioo ushamba mzigo sana
Hii ngonjera yako nenda kamsimulie bimkubwa wakoJe unajuwa kuwa kwenye kifo cha BWM kulikuwa na mkono wa Magufuli? Endelea kuamini kuwa alikuwa anammudu
Devil worshippers wa Magufuli hamuwezi kuamini, but take it from me. Hata JK alikuwa kwenye orodha bahati mbaya kwa Magufuli akafa yeye kabla hajamaliza watangulizi wakeHii ngonjera yako nenda kamsimulie bimkubwa wako
Hao jamaa chochote kibaya kuhusu Magufuli wao wanaamini tu, kuna tatizo la kisaikolojia naona.Hii ngonjera yako nenda kamsimulie bimkubwa wako
Muovu kwa Watanzania woteAlikuwa muovu kwa wanasiasa na wapinzani koko wote
Fanya research yako utajua, ila kama hujui basi wewe siyo mzimaAlimuua nani?
So wewe kwa akili yako unadhani Jiwe aliwaua yeye kama yeye? Tanzania bado sana kama tuna raia wenye akili kama zako.Ilikuwa ni rahisi kumuhusisha na mauwaji na watu mkaamini hata isipojulikana hao wauliyouliwa wanahusiana vp na Magufuli au kulijulikana walifanya nini chenye kudhaniwa ndio sababu ya Magufuli kuwauwa.
Yaweza kuwa hujui unachoandika au akili zako ndiyo tenaUngeisha pekeako
Nasemaje hii ngonjera yako kamsimulie bimkubwakoDevil worshippers wa Magufuli hamuwezi kuamini, but take it from me. Hata JK alikuwa kwenye orodha bahati mbaya kwa Magufuli akafa yeye kabla hajamaliza watangulizi wake
Taja watu 3 aliowaua mimi nikutajie watu 8 waliouawa kipindi hiki cha Samia!Fanya research yako utajua, ila kama hujui basi wewe siyo mzima
1. Ben SananeTaja watu 3 aliowaua mimi nikutajie watu 8 waliouawa kipindi hiki cha Samia!
Vinginevyo, wewe ni zuzu
Kuuwa ni kuuwa iwe umeuwa mwenyewe au umetuma watu, sidhani kama tunajadili hilo hapa. Point hapa ni tuhuma za kuhusishwa Jiwe na hivyo vifo, mfano hizo maiti za kwenye viroba anahusishwa nazo vp Jiwe?So wewe kwa akili yako unadhani Jiwe aliwaua yeye kama yeye? Tanzania bado sana kama tuna raia wenye akili kama zako.
Tungesujudishwa kwa mabeberu kama sasa hivi waisiharamu wote kwao BEBERU NI KAMA MUNGU WANAISHI KWA KILA NENO LITOKALO KWENYE KINYWA CHA MABEBERU.Angekuwa Assad ndio rais angekuaje?
Mazuzu sana hayo mapimbiHawa ndio wale wapumbavu wanaofikiri diplomasia ni kushikwashikwa matakle na wazungu kama yule bwege mwingine pale belgiji
Kama ni kweli basi magufuli alikuwa ni GENIUSDevil worshippers wa Magufuli hamuwezi kuamini, but take it from me. Hata JK alikuwa kwenye orodha bahati mbaya kwa Magufuli akafa yeye kabla hajamaliza watangulizi wake
Unatumia hisia na kwa hali ndio maana huwa hadi mnakubali mambo yenye kujicontradict yenye kumuhusu Jiwe.Fanya research yako utajua, ila kama hujui basi wewe siyo mzima
Hizi habari za kidiplomasia huwa mnazipata wapi kuna balozi ilifungwa shida watu design yako ni washamba wa wageni na wazungu. Ukute kwako unakula sahani za bati mgeni akija unampa sahani za udongo au kioo ushamba mzigo sana
Alikua na mapungufu yake mengi lkn ukweli ni kwamba alikua na nia njema kuona nchi ikisonga mbele.
Nilipenda sana jinsi alivokua akiwadhibiti wapuuzi waliojifanya hii nchi ni Mali yao na familia zao, tunahitaji rais mzalendo na asie yumbishwa na wahuni kwa kujifanya CCM ina wenyewe