Ni suala la muda tu kabla CCM hawajatuletea 'Magufuli' mwingine

Ni suala la muda tu kabla CCM hawajatuletea 'Magufuli' mwingine

Hizi habari za kidiplomasia huwa mnazipata wapi kuna balozi ilifungwa shida watu design yako ni washamba wa wageni na wazungu. Ukute kwako unakula sahani za bati mgeni akija unampa sahani za udongo au kioo ushamba mzigo sana
Hawa ndio wale wapumbavu wanaofikiri diplomasia ni kushikwashikwa matakle na wazungu kama yule bwege mwingine pale belgiji
 
Ilikuwa ni rahisi kumuhusisha na mauwaji na watu mkaamini hata isipojulikana hao wauliyouliwa wanahusiana vp na Magufuli au kulijulikana walifanya nini chenye kudhaniwa ndio sababu ya Magufuli kuwauwa.
So wewe kwa akili yako unadhani Jiwe aliwaua yeye kama yeye? Tanzania bado sana kama tuna raia wenye akili kama zako.
 
Fanya research yako utajua, ila kama hujui basi wewe siyo mzima
Taja watu 3 aliowaua mimi nikutajie watu 8 waliouawa kipindi hiki cha Samia!

Vinginevyo, wewe ni zuzu
 
Taja watu 3 aliowaua mimi nikutajie watu 8 waliouawa kipindi hiki cha Samia!

Vinginevyo, wewe ni zuzu
1. Ben Sanane
2. Azory Gwanda
3. Wananchi zaidi ya 300 wa MKIRU
4. Kushambuliwa Tundu Lissu
5. Kumteka Mo Dewji
 
So wewe kwa akili yako unadhani Jiwe aliwaua yeye kama yeye? Tanzania bado sana kama tuna raia wenye akili kama zako.
Kuuwa ni kuuwa iwe umeuwa mwenyewe au umetuma watu, sidhani kama tunajadili hilo hapa. Point hapa ni tuhuma za kuhusishwa Jiwe na hivyo vifo, mfano hizo maiti za kwenye viroba anahusishwa nazo vp Jiwe?
 
Angekuwa Assad ndio rais angekuaje?
Tungesujudishwa kwa mabeberu kama sasa hivi waisiharamu wote kwao BEBERU NI KAMA MUNGU WANAISHI KWA KILA NENO LITOKALO KWENYE KINYWA CHA MABEBERU.
 
Devil worshippers wa Magufuli hamuwezi kuamini, but take it from me. Hata JK alikuwa kwenye orodha bahati mbaya kwa Magufuli akafa yeye kabla hajamaliza watangulizi wake
Kama ni kweli basi magufuli alikuwa ni GENIUS
 
Hizi habari za kidiplomasia huwa mnazipata wapi kuna balozi ilifungwa shida watu design yako ni washamba wa wageni na wazungu. Ukute kwako unakula sahani za bati mgeni akija unampa sahani za udongo au kioo ushamba mzigo sana

..ninaishi, na nimelelewa ktk familia inayozingatia msemo wa , " mgeni njoo mwenyeji apone. "
 
Alikua na mapungufu yake mengi lkn ukweli ni kwamba alikua na nia njema kuona nchi ikisonga mbele.

Nilipenda sana jinsi alivokua akiwadhibiti wapuuzi waliojifanya hii nchi ni Mali yao na familia zao, tunahitaji rais mzalendo na asie yumbishwa na wahuni kwa kujifanya CCM ina wenyewe

..mtu mwenye nia njema na nchi hawezi kudhulumu na kutesa wapinzani wake wa kisiasa kiasi kile.

..Magufuli alifunga wanachama wa Chadema 417 kwa kesi ya kubambika-bambika tu.

..Ni vigumu kutuaminisha kwamba mtu wa namna hiyo ana nia njema na nchi yetu.

..Hata ndani ya Ccm waliotofautiana naye walipata misukosuko. Hussein Bashe aliwahi kutekwa na usalama wa taifa kabla ya kikao cha NEC.

..Magufuli alianza kuvunja upinzani, lakini inawezekana lengo lilikuwa kuivunja au kuibadili Ccm na yeye kuwa mtawala wa kudumu kama Kim Jong Un, Al Assad, ...
 
Back
Top Bottom