Ni tabia gani unafahamu madhara yake lakini unakuta umeshaifanya tena?

Uvivu
Madhara yake nayaona lakini kubadilika sasa 😑
 
inategemea ngapi? angalia wakati umefanya hata uchumi utayumba kidogo na unaanza kufubaa
Tatizo sio mbususu Tatizo ni ulimbukeni wa mtumia mbususu , hata pombe ni hivyo hivyo.
 
Kuna mchekeshaji mmoja mnene anapenda kukaa tumbo wazi

Yaani jamaa hata iweje lazima atoe tongotongo na kuangalia akiwa Ana act
Na pia lazima achokonoe pua na kuangalia
Hakuna tabia mbaya kama hiyo ukizoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…