Yupo mahali ambapo muumba wake ameona kazi yake njema na amempenda zaidi!.Kama alichokifanya ni dhuluma basi watanzania hususan masikini wanaufurahia sana huo udhulumaji na wala hawatomsahau kamwe! Kama dhuluma zilitoa pesa kwenye mifuko ya MAFISADI zikawapelekea mahospitali, Elimu bure, miundombinu Bora, maji n.k basi hakika hiyo ilikuwa dhuluma nzuri sana!Dhuluma haijawahi kuliweka taifa lolote salama pamoja na mdhulumaji, yuko wapi huyo mdhulumaji mkuu?
Taifa letu lina watu wengi wasiowaza vizuri
Habari wana JF, Kwa masikitiko makubwa naomba nitoe maoni yangu chefuzi. Watu wetu wana IQ ndogo, kwa sababu ya hofu wanashangilia udhalimu na kupigia mapambio uonevu. Je, kazi ya akili ni nini, ikiwa haikufikirishi? Je, kazi ya elimu ni nini ikiwa haikuelimishi? Ikiwa unauza utu wako kwa...www.jamiiforums.com
Hebu acheni mambo yenu ya ajabu!Fuateni ushauri kabla eneo halijajaa.😂😂😂😂Ushauri una pande mbili, aidha ukaamua kuuchukua ushauri ama kuupotezea ushauri. Sie tumeupotezea yeye aelekee makaburini mkabala na kaburi la mama yake kipenzi azikwe kishujaa.
Si ukitaje??Kuna kitu nilikifuata kwenye huu inasikitisha sijakikuta!!!! Mtoa mada,Fanya kazi Acha siasa...
Ukiona nchi ambayo bado ina shule ambazo wanafunzi wanakaa chini hosipitali hazina dawa maeneo kibao hadi baadhi ya miji haina maji safi na salama, viongozi wakitembelea magazi ya hadi bilioni shilingi katikati ya ushuru mkubwa kuliko nchi yeyote duniani basi tambua raia wa nchi hiyo ni watu wasiojitambua na kwamba watawala wamewafanya mifugo yao.
Watawala kwa Tanzania hakuna tofauti na mfugaji aliyeweka mbuzi zake kwenye zizi anaziswaga apendavyo
Maskini wa Tanzania wana husda, wanataka watu wote wawe kama wao. Walishangilia matajiri walipofilisiwa na viongozi walipotumbuliwa kumbe njaa ikazidi kuwapiga waoYupo mahali ambapo muumba wake ameona kazi yake njema na amempenda zaidi!.Kama alichokifanya ni dhuluma basi watanzania hususan masikini wanaufurahia sana huo udhulumaji na wala hawatomsahau kamwe! Kama dhuluma zilitoa pesa kwenye mifuko ya MAFISADI zikawapelekea mahospitali, Elimu bure, miundombinu Bora, maji n.k basi hakika hiyo ilikuwa dhuluma nzuri sana!
Dhuluma mbaya ni maskini anapotuma vijisenti vya matibabu kwa mgonjwa wake anapikatwa kodi! Dhuluma ni pale wananchi wanateseka huduma mbovu za afya serikali inatumia mabilioni kufanya royal tour! Dhuluma ni wananchi kutozwa kodi za kila aina ili kiongozi apande ndege kuhudhuria kikao kujadili athari za gesi ya ukaa!
Wewe unaishi wapi mkuu.? Wewe mtu wa taifa gani.?Ukiona nchi ambayo bado ina shule ambazo wanafunzi wanakaa chini hosipitali hazina dawa maeneo kibao hadi baadhi ya miji haina maji safi na salama, viongozi wakitembelea magazi ya hadi bilioni shilingi katikati ya ushuru mkubwa kuliko nchi yeyote duniani basi tambua raia wa nchi hiyo ni watu wasiojitambua na kwamba watawala wamewafanya mifugo yao.
Watawala kwa Tanzania hakuna tofauti na mfugaji aliyeweka mbuzi zake kwenye zizi anaziswaga apendavyo
Dhuluma kuu ni kumsema vibaya marehemu ambaye ni barafu wa moyo wa raia wanyonge huku ukitetea wanyonyajiDhuluma haijawahi kuliweka taifa lolote salama pamoja na mdhulumaji, yuko wapi huyo mdhulumaji mkuu?
Taifa letu lina watu wengi wasiowaza vizuri
Habari wana JF, Kwa masikitiko makubwa naomba nitoe maoni yangu chefuzi. Watu wetu wana IQ ndogo, kwa sababu ya hofu wanashangilia udhalimu na kupigia mapambio uonevu. Je, kazi ya akili ni nini, ikiwa haikufikirishi? Je, kazi ya elimu ni nini ikiwa haikuelimishi? Ikiwa unauza utu wako kwa...www.jamiiforums.com Taifa linahitaji Toba Kubwa
Turudishe nyumba zote za msajili (NHC) tulizodhulumu (tulizotaifisha) kutoka kwa wageni na watu wetu . Turudishe mabenki, mashamba, viwanda, shule na taasisi zote tulizo dhulumu (taifisha) kutoka kwa wageni na wananchi wetu. Tuwaombe radhi na kuwalipa fidia watu wote waliodhulumiwa na mali zao...www.jamiiforums.com
ukiona mtu ana hasira na maiti hali mbaya sanaMungu amrehemu na amuongezee akili kidogo zimfae huko aliko
Sasa kuna haja gani kuwa na demokrasia inayotetea unyonyaji badala ya kuleta equity kwenye jamii? Mafisadi oekee ndio mtatetea huu udhalimu.iko dhahiri sana, uwakilishi wa wananchi una dosari kubwa ni matokeo ya kukandamizwa kwa demokrasia, tuna wabunge waliochaguliwa na mkurugenzi wa tume ya uchaguzi, kazi yao ni kulia na kupiga sarakasi bungeni na hayo ma covid 19
Sasa kuna haja gani kuwa na demokrasia inayotetea unyonyaji badala ya kuleta equity kwenye jamii? Mafisadi oekee ndio mtatetea huu udhalimu.
ukiona mtu ana hasira na maiti hali mbaya sana
sisi wafuasi wa jiwe tuna akili,sio watu wa kufuata kila ushauri maana wengine tunawajua.
Katika kipindi cha Mwaka mmoja na miezi michache nchi yetu inashuhudia utawala unaolinda Viongozi mafisadi, wafanyabiashara wakubwa na watumishi chawa na kutojali haki na heshima za raia wa hali ya chini kama kiini na chachu ya maendeleo kupitia makusanyo ya kodi na tozo za kinyonyaji.
Watanzania wote wasio viongozi,wafanyabiashara wakubwa watumishi wenye nyadhifa za juu serikalini wamekatwa mkia na kuwa hawana tofauti na wakimbizi nchini.
Mustakabali wote wa mipango, maendeleo na matumizi ya nchi yako kwa kikundi cha watu wachache "Oligarchs" ambao ni wanasiasa wa CCM na wafanyabiashara wakubwa tokana na fedha wanazokwapua toka kwa raia kupitia kodi na tozo za kinyonyaji pamoja na kuuza rasilimali za taifa.
Tunatumaini ipo siku yatakwisha haya ila hatuna hakika tutakuwa katika hali gani hio siku ambayo haya yatafikia tamati. Tumerudi nyuma kihatua kwa 99% toka ambako tulikuwa tunaelekea kimaendeleo na utunzaji wa rasilimali za taifa.
Zile zama za shamba la bibi zimerejea kwa kasi kubwa na sasa yote yanafanyika bila vazi la uwoga wala aibu mbele ya raia. Maisha yanapanda kwa kasi ya ajabu, tozo lukuki, kila kitu bei juu. Miradi haiendelezwi, ni udokozi unafanyika bila soni watu wanalambishana asali huku wananchi hawaelewi hatma yao ya kesho.
Mamlaka zimejipanga kunyonya raia kwa kisingizio kuwa ni kuleta maendeleo ambayo ni kiini macho. Maendeleo hayo hayo ambayo yanakopewa hela kwa matrillion ndio hayo hayo yanayokusanyiwa tozo. Msimamizi yupo ila hatuoni hatua za kiuongozi anazochukua.
Sina budi kusema tuliingia choo cha kike kwenda kinyume na ukuu wa Mungu kwa kujifanya tuna akili sana. Mama kazi yake halisi ni kuzaa, kulea na kusimamia nyumba sio majukumu mazito ambayo tumemtwisha. Kwa upande wa mafisadi na ma chawa kwao awamu hii ni bora kuliko iliopita ila raia wa hali ya chini ni msiba usio na wafariji.
Tusijizime data, hio kazi na uchawa unaoringa nao baada ya miaka 5-10 watoto wako hawatafaidika nao kwa lolote lile. System inazidi kuoza kwa comfort ya muda mfupi.
Nani anayemtuma mwenzake, mpiga au mpigiwa kura?Upuuzi tu. Huyo azarry na ben saa nane wakipotea kwa upingaji wao maendeleo, na hiyo 1.5 tr hewa ndio utalinganisha na maendeleo makubwa yaliyofanyika kwenye uwekezaji kwenye miundombinu afya na uboreshaji wa utawala kwa kupunguza rushwa na ufisadi?
Kipind hicho anakimbia corona ikulu 🤣🤣Namuona jiwe kalalia jiwe[emoji23][emoji23][emoji23] maisha yapo kasi sana,,, huyu mzee alikua wa ajabu mnoooooo
acha kuchomeka ukabila, utasababisha violenceSukuma gang