Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
Halafu at the same time hamtaki wake zenu wafanye kazi!!!!Kwahiyo akiachika atasonga ugali ajenge ghorofa si ndio.
Asingeolewa angekua pia anapika ale ila sasa anapika bila kutafuta anachopika.
Kazi za nyumbani haziwezi ingiza kipato ndio maana mkiacha kazi mkakaa nyumbani wote hizo kazi za nyumbani hazitawaingizia chochote na njaa itataradadi.
Na hata usipooa au kuolewa hauwezi kufa njaa hivyo hauwezi kusema wewe ulikua unapika ugali.
Kila mmoja haya maisha achakarike asimtegemee yoyote awe mwanamke au mwanaume dunia ya sasa haina huruma utakuja kukuta mali kaandikwa mama wa mmeo ulie kilio kikuu.