THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
- Thread starter
-
- #41
Uvamiz wa HAMAS?Nakuelewa sana mkuu tena sanaaaaaa. Lakini haya mauaji yanayotokea leo huko Gaza kama isingekuwa issue ya uvamizi wa Hamas je leo tungezungumza haya?
Waksaema , msulubishee, msulubishee, wakamwambia Pilato tufungulie baraba badala yake , wakaendelea kusema "Na damu yake iwe juu yetu na vzazi vyetu"..Walimkataa ila yesu aliuliwa na serikali ya warumi,soma historia vzr.
Ndio maana nikasema acheni kuwachokonoa wale watu, maana wanapojibu mashambulizi yenu wanapiga bila kuchagua mnasababisha na watu wa madhehebu mengine waliopo katikati yenu wanaumia, mjifunze kukaa kwa amani na madhehebu yote acheni kulazimisha ugomvi kwa kila dhehebu.
sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
Muslims conflicts
Fight with hindus
Fight with Jews
Fight with Christians
Fight among themselves - shias and baha
Figjt with buddhists
Fights with atheists ( all over the world)
Fight fight everywhere
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
Shida upande wenu ni wakipumbavu ndo maana watu wenye akili wakaa kimya. Kiongozi wa kidini wa iran anasema waislam wote waungane na palestina badala ya kusema Dunia iungane na palestina, hamas nao wanasema waislam waungane kupigana na Israel
Huoni shida hapo kwanini ajumlishe jamii Moja ya dini ya kiislam wakati hadi pale palestina Kuna wakristoSasa Kuna shida gan Kwa mfano akisema waislam woote waungane na wapelestine??
Mind that katika wapelestine Kuna wakristo pia? ameonesha ubaguz hapo?
Mimi nilidhan ungechukia kama angesema waislam wote waungane na wapelestine wakristo,hivi tatizo nini hasa
Nakupa maua yako.Katika comment bora bac na hii ni miongoni.Kwanza hakuna Mkristo mwenye kushabikia vita hata kama wamechokozwa.Mkristo wa kweli anapambana kwa kutii sio kurusha ngumi.Akupigaye shavu la kushoto mgeuzie na la kuume.Sasa wanaoshabikia mpalestina kuuawa na Israel eti kisa Israel kachokozwa huyo ni Mkristo wa kujiita.Friends and Enemies,
Al Ahl Baptist church ni hospital ya kanisa ambayo imeanza operation Gaza tokea mwaka 1882,Hospital hiyo imeanzishwa na Church Mission Society Of England kipindi Hiko inatawala Gaza ,baada ya ukoloni 1954 hadi 1982 na kuendelea hospital hiyo imekuwa inaendeshwa na Episcopal church in Jerusalem ikitoa huduma za tiba Kwa wapelestine wakristo,waislam na wengine wengi waishio maeneo Hayo.
Hakuna justification ya aina yoyote katika kuua watu wasio na hatia bila kujali kuwa watu hao ni either WAPALESTINA au WAISRAEL au RACE ya aina yoyote ile,it's just plain and Crystal Clear that it's wrong.
Recently tumeona IDF wakishambulia hospital hiyo huko Gaza na muda mfupi baadae kukana kutohusika na shambulio Hilo ili Hali kila ushahidi unaonekana kuwa ni wao na Sasa wanajutia.
I will never understand this society,soma comments mitandaoni humu,even hapa JF na kwingine watu wanashangilia na kusema Israel ni Taifa la Mungu,hao wapelestine wameanzisha ugomvi wasiouweza so wauwawe tuh hao waislam.
Ndiyo kusema kwamba watu wanadhani kuwa wapelestine ni waislam? thinking that hakuna wakristo na watu wengine ambao wanauawa katika mgogoro huo?
HAMAS imechagua military strategy kama vile ambavyo IDF imechagua Military strategy katika occupation of Land,tukichagua kukemea umwagaji wa damu katika mgogoro huo basi tukemee Hilo on both sides,na kama wazo la two states solution ndiyo litaonekana kuwa ndiyo muaraboini basi jumuiya ya kimataifa Ingepaswa kuweka mkazo katika Hilo.
Damu ya kila mwanadamu Ina thamani haijalishi Imani yake, rangi yake wala asili yake.
Huoni shida hapo kwanini ajumlishe jamii Moja ya dini ya kiislam wakati hadi pale palestina Kuna wakristo
Jiulize Irani jina lake kamili ni?Shida upande wenu ni wakipumbavu ndo maana watu wenye akili wakaa kimya. Kiongozi wa kidini wa iran anasema waislam wote waungane na palestina badala ya kusema Dunia iungane na palestina, hamas nao wanasema waislam waungane kupigana na Israel
Angesema kwa Dunia kwa pamoja tulaani vita ya Israel angepungikiwa Nini? Hizi standard zenu ndo zinawafanya watu wasiwazingatieSasa ukitaka afanye nini? mufti anaweza Simama Na kutamka kuwa wakristo na waislam wote muungane na wapelestine?si yataanza maneno Tena kwamba why atusemee sisi na hali ya kuwa sisi tuna kiongoz wetu tunaemsikiliza na kumtii?
Either elimu yako ni finyu sana,au umri wako ni mdogo kias huwezi kuwa na upeo wa kuelewa vitu,pole sana.Nyie dawa yenu ni CHINA tu mnatengenezewa Kambi ya kamera juu na hakuna chombo Cha habari Cha china kuripoti habari sababu wanajua kwa population ya china mkifanya vurugu kudhibiti itakuwa ngumu
Kwanini asinge sema Dunia kwa ujumla ilaani vita hiyo asingetaja dini Kuna vitu hata kama ni mwanadini inabidi usiweke udiniJiulize Irani jina lake kamili ni?
Jamhuri ya Kiislam ya Iran. Sasa utamlaumuje Kiongozi wa nchi inayojiita ya Kiislamu kuongea na Waislamu wengine
Ni sawa na kumlaumu Papa ambaye ni mtawala wa Vatican kutoa waito kwa Wakiristu duniani kuonea kuside na Wanyonge wanaokandamizwa!
Jiulize Irani jina lake kamili ni?
Jamhuri ya Kiislam ya Iran. Sasa utamlaumuje Kiongozi wa nchi inayojiita ya Kiislamu kuongea na Waislamu wengine
Ni sawa na kumlaumu Papa ambaye ni mtawala wa Vatican kutoa waito kwa Wakiristu duniani kuonea kuside na Wanyonge wanaokandamizwa!
Mwenye elimu smart na umri mkubwa udini ungekuwa haukusumbui humu.Either elimu yako ni finyu sana,au umri wako ni mdogo kias huwezi kuwa na upeo wa kuelewa vitu,pole sana.
Kwanini asinge sema Dunia kwa ujumla ilaani vita hiyo asingetaja dini Kuna vitu hata kama ni mwanadini inabidi usiweke udini