Ni ujinga tu kushangilia mauaji ya Wapalestina kwa kudhani wanaouliwa ni Waislam

Baada ya Hamas kuuwa waisraeli asilimia kubwa ya waislamu walikuja hapa na kushangilia kuwa Hamas wamefanikiwa kwa asilimia 100 na kwamba allah yupo pamoja nao

Baada ya Israel kujibu sasa wanalialia na kulaumu.
wamlaumu allah Alie watuma washambulie waisraeli maana allah anaunga mkono kuwauwa wayahudi.
 
Hata two states ni ngumu kutekelezeka, nani atachukua miji ya Jerusalem, Nazareth, Bethelehem? Mipaka ya Israel na Palestine itaanzia wapi na iishie wapi?
 

Ni Lin wakristo mlio wengi mmesimama kupinga umwagaji damu unaofanywa na WAISRAEL dhidi ya wapelestine ingawa hata Ikiwa ndani ya wapelestine Kuna wakristo wengi?

Na wengi mkisema kwamba Israel ni Taifa Teule la Mungu?
 
Hata two states ni ngumu kutekelezeka, nani atachukua miji ya Jerusalem, Nazareth, Bethelehem? Mipaka ya Israel na Palestine itaanzia wapi na iishie wapi?

Before 1948 nani alikuwa anaikalia mipaka hiyo,Haina ugumu wowote,ila ni hila za watu wenye maslahi Yao hususan USA na UE Countries
 
Kwanini asinge sema Dunia kwa ujumla ilaani vita hiyo asingetaja dini Kuna vitu hata kama ni mwanadini inabidi usiweke udini
Yeye ni kiongozi wa nchi ya JAMHURI YA KIISLAMU YA IRANI. Pigia neno ya KIISLAMU. NAtaka nimsikie PAPA nae akisema WAKIRISTU WOTE DUNIANI wawasaidie wapalestina
 
"tukichagua kukemea umwagaji wa damu katika mgogoro huo basi tukemee Hilo on both sides"

Naunga mkono Hoja , natamani FaizaFoxy asome huu Uzi ili ili ajifunze kuona thamani ya uhai wa watu na sio kushabikia vita watu wauane.
 
Sasa wapalestina ndio wachokozi huwa
 
Waarabu wakitaka waonewe huruma basi waikubali demokrasia ya kweli inayoruhusu mapenzi ya jinsia moja, taifa teule la israeli linakubali mashoga na wasagaji kwanini waarabu wanakataa kuhalalisha hayo mambo wapewe sapoti na wazungu, HUU NDIO UHALISIA WA MASHARIKI YA KATI.
 
Ila waarabu walishangilia mauaji ya kikatili ya Waisrael, sahv wenyewe ndo wanalia,
Kitendo cha kigaidi Hamas walofanya cha kuua familia na watu wasio na hatia wakashangilia na kuipongeza Hamas kwa ujemedali wao, sahv wao ndo wakulia hvyo kweli
 
Tukiwamaliza wavaa kubazi wa palestina tunaanza kuwasaka na hawa wakina sefu bin jumaa wa huku kidongo chekundu, yaani mpaka muishe wote wahuni nyinyi
 
Sitetei uuaji ila ni bora kuangalia pande zote mbili
 
Ila waarabu walishangilia mauaji ya kikatili ya Waisrael, sahv wenyewe ndo wanalia,
Kitendo cha kigaidi Hamas walofanya cha kuua familia na watu wasio na hatia wakashangilia na kuipongeza Hamas kwa ujemedali wao, sahv wao ndo wakulia hvyo kweli
Walianza wao Tena viongozi wa kiarabu waliwasifu sana Leo Leo shambulio linatokea kwenye parking ya Magali hospital wanasema limeua watu 500+ Ili wapate huruma
 
Hakika Tanzania ni nchi ya kiistaarabu sana pamoja na viongozi wake waandamizi Mwalimu jk Nyerere na shekhe AA Karume.

Japo rais wa Uganda na Majeshi yake walivamia Tanzania na kuwaua Raia wasio na hatia wala silaha mikononi Bado Baba wa Taifa la Tanzania aliesema "Tunapigana na Nduli Idd Amini Dada na Majeshi yake wala hatupigani na waganda".

Ivo miundombinu ya Uganda ililindwa pamoja na wananchi wake nao pia iliwalinda adi ikafika wakawa wanaunga mkono Majeshi ya Tanzania.

TANZANIA oyeeeee...…...πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ CCM oyeeeee......πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ UJAMAA NA KUJITEGEMEA udumu udumu udumu milele daima na Fikra sahihi za Mwalimu zidumu zidumu zidumu milele daima MAMA SAMIA oyeeeee Miaka Mitano Niyako tena wewe na CCM yetu pendwa Cha Dume cha ukombozi wa Bara la AFRICA
 
Ushabiki ni kitu cha kawaida kwenye pande mbili zinazozozana na mambo ya dini ya huyu wala dini ya yule haihusiani.

Mfano Russia na Ukraine wote ni wakristo ila kila upande una mashabiki wake bila kujali mambo ya dini.
 
Israel na palestina ni magaidi wauaji hawana uteule wowote ule.

Ni wahalifu wa kivita kama ilivyo Urusi na Ukraine..

Ni mpumbavu tu, Ana amini Israel na palestina ni mataifa ya Mungu.

Kwanza, Mungu huyo hayupo.
Hakuna vita Kati ya Israeli na palestine,kuna vita ya Israel na Hamas na Hezbolla
 

Ni mgogoro unaongozwa na mizuka ya kidini maana hata ukiona wengi mnavyotokwa povu humu ni kwa ajili ya pumba zenu za kuabudu muarabu, mlishabikia kuona HAMAS wanaua watu wasiokua na hatia leo mnakuja na hizi insha na nadharia.
 
" Ni ujinga tu kushangilia mauaji ya palestina kwa kudhani wanaouliwa ni waislamu "
Nyie ni wanafiki sana na waongo watu wadini nyingine mfano wayahudi walivyouawa na hammas na watoto kutekwa hatukuona mkishtumu wala kukemea bali mlifurahi na kuwapongeza hammas,urusi ilipoivamia Ukraine na kurumisha makombora na kuua waukraine tuliona kometi zenu mkiipongeza urusi eti piga mashoga,waislamu wakiuana wenyewe kwa wenyewe mfano somalia,alshabab,bokoharamu, Sudan,huko Pakistan hadi mabomu yanategwa msikitini hamlalamiki kwanini mnailalamikia Israel inapojilinda?hii inaonyesha chuki dhidi ya wayahudi

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Urusi iliivamia Ukraine na kuwaua waukraine wengi mfano huko Bucha, Lyman raia wa Ukraine wasio na hatia walikufa nyie wafia dini mlimuunga mkono Putin mkafikiri mnamkomoa marekani leo mnauchungu na Palestine kupitia hammas iliyeanzisha uchokozi wakuwaua na kuwateka wayahudi wasio na hatia leo mnalilia Palestine inaonewa kama sio unafiki

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Wakristo tuandamane kulaani hili kanisa la Baptist kwa kuliweka najisi kanisa takatifu kwa kukaribisha na kuhifadhi magaidi.

Wakristo tumeaibishwa na kudhalilishwa kwa kitendo hiki cha magaidi kuhifadhiwa kwenye nyumba ya bwana na kupelekea laana na najis.

I FIRMLY STAND WITH ISRAEL.

FaizaFoxy Adiosamigo Chifu Sanze Alwaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…