Ni ujinga tu kushangilia mauaji ya Wapalestina kwa kudhani wanaouliwa ni Waislam

Maelezo Marefu ukidhani unachozungumza ni fact maskini ya mungu kumbe ni ujinga tuh.

Kabla ya 1948 WAISRAEL hawa unaowasema hawakuwapo hapo,walikuwa wamesambaa Maeneo mbali mbali ulaya na mataifa mengine.

Baada ya holocaust na Hitler alivyotaka kuangamiza Hiko kizazi choote na baada ya second world war kwisha Germany ya Hitler kuanguka ndipo hao watu wakabid watafutiwe maeneo ya kukaa,uingereza ikitaka kuwaleta katika koloni lake la Uganda huo mpango ukagonga ukuta,ikaja wazo la kuwapeleka katika koloni lake la Palestine ili Taifa lao Lianzishwe huko na wapelestine wakaridhia hao jamaa kuishi hapo, Israel wamesahau holocaust TAYARI na wanaona wana jeur ya kufanya Hiko wanachokifanya now.

Hiyo history yako umesomea wapi wewe,teh teh teh
 
Hili jambo liko wazi. Kuna washabiki wanaoshangalia bila kutojua na kuna wanaoshangilia kwa chuki na kuna kuna wanashangilia kwa kufuata mkuombo. Kama ilivyo kwa mambo mengine yanayotokea duniani, watanzania wanavyoyachukulia kwa ushabiki, hili nalo kila mtu amechagua upande. Ila ukweli ni kuwa mauaji ya bianadamu wasiyo na hatia siyo jambo la kushangilia, iwe kwa waisrael au kwa wapalestina. Suluhisho la mgogoro lishawekwa i.e. two states.
 
IDF siyo wajinga kushambulia hospital, Hamas ndiyo walioganya huo mchezo, a blame game

Sasa unabishana na Mimi au na facts za dunia,huo ukweli mbona uko wazi??

Mapenzi yenu Kwa Israel Kwa kweli hayana kifani,hadi mnashangilia hata wakiua wakristo wenzenu??teh teh teh,mnasema sawa ua tuh ww Israel ni Taifa Teule la Mungu..!!
 
Arab league haiwez fanya chochote Kwa sababu ya maslahi ya kiuchumi...

Mind that serikali ya marekani Jews Wana Influence kubwa sana, that's why unaona support kubwa Israel anaipata kutoka Kwa USA na nchi za ulaya.

Ila ukweli dunia inaufahamu.
mnavamia hlf mnataka watu waache shughuli zao waje wasikilize upuuz wenu
 
uislam ni ugaid hata anaeamin uislam hajui swala usawa , haki na ukwel
 
kwan nan alianza kumvamia mwenzie? mbona ujinga wa hali ya juu
Ndugu yangu unasikitisha sana,na hakika Mimi naona huruma sana hata kujadili hili na ww,kwani Nia yako ninaiona kbs,lkn bahati mbaya unachowaza ni tofaut...

Baina ya Israel na Palestine,mvamizi hapo ni Israel,Sasa mvamiwa akijilinda Kwa matendo ya mvamizi iweje wewe umuite mvamiwa ni Gaidi?

Ukitaka afanye nini.
 
Uvamiz wa HAMAS?

Hamas imeundwa 1987,IDF ipo hapo miaka na miaka inamwaga damu na kufanya illegal occupation of Land ya wapelestine, Sasa nani hapo kavamia?

Yani mtu anaejilinda kutokana na vitendo vya kuuliwa unamuita mvamizi na Gaidi?
mnapokonywa maeneo bila sababu ? mbona mnakuwa wanafiki
 
Waksaema , msulubishee, msulubishee, wakamwambia Pilato tufungulie baraba badala yake , wakaendelea kusema "Na damu yake iwe juu yetu na vzazi vyetu"..
Unabariki watu waliojiapiza kwa damu ya Yesu laana iwe nao na vizazi vyao?
basi kaangalie muvi ya yesu ujifunze , kusema sio kuua , aliemuua alikuwa anamuwinda tangu awali na pale hawakwepo wayaudi wote kusema wayaudi ndo walimuua yesu , warumi ndio walimuua yesu
 
uislam ni ugaid hata anaeamin uislam hajui swala usawa , haki na ukwel

Well uislam ni Ugaidi,so unataka kusema kitu Gani?

Hiyo Imani ambayo ww unaamini siyo Ugaidi ni ipi ambayo inakusukuma useme Israel Iko sahihi iwaue tuh hao wapelestine ambao pia humo ndani wapo wakristo wenzako?

Wewe Ruksa tuh sema chochote uislam Ugaidi,uislam ushoga, uislam vurugu say whatever,ila hiyo Imani inayosema Israel ni Taifa la Mungu na lenye Haki ya kuua wapelestine ni Imani Gani?
 
Shida upande wenu ni wakipumbavu ndo maana watu wenye akili wakaa kimya. Kiongozi wa kidini wa iran anasema waislam wote waungane na palestina badala ya kusema Dunia iungane na palestina, hamas nao wanasema waislam waungane kupigana na Israel
dini ya uislam ina mapunguf meng sn na wahuni wanapita humo humo , wakitaka kustukiwa wanasema marekan ndo fadhiri ila ss hv wanasapoti haya makundi
 
ww ndo umeanzisha story za kidini , kubali ukwel , dini yenu na ufreemason ni sawa tu , mnaona raha mkichinja au kuua mtu
 
km hamas walikuwa ndan yake bas ni sahihi kulilipua

Kwani Taarifa huangaliii,au upo kijijin kias kwamba hauna hata TV?

Kama Hamas waliokuwapo hapo hospital baada ya kulipuwa mbona hawakupatikana Sasa wafu wa hao Hamas?au hata majeruhi? badala yake tunaona civilians tuuh,hivi una umri na elimu Gani?shida JF siku hizi haieleweki,usikute tunadeal na darasa la Saba failure hapa...
 
kwan ni mgogoro wa kidini huo ? si umeuliza swali hili hapo juu na ss hv huon shida ya hiyo kauli ya kiongoz wa iran , tukiwaita wapumbav mnalalama
 
umeambiwa israel taifa la kidini ? km huez jitetea uhai wako basi usimtegemee mungu maana ww ni mzigio umepewa kila kitu kujilinda
 
ww ndo umeanzisha story za kidini , kubali ukwel , dini yenu na ufreemason ni sawa tu , mnaona raha mkichinja au kuua mtu
Ona Sasa, mwisho wake utakuja kusema uislam unafungisha NDOA za mashoga Sasa,una umri Gani?

Uislam na ufreemason Tena?teh teh teh...

Kwanza uislam unaingia vipi katika hili,tuambie katika mgogoro huu uislam unaingia Kwa lipi?sema japo jambo Moja tuh.
 
Sasa ukitaka afanye nini? mufti anaweza Simama Na kutamka kuwa wakristo na waislam wote muungane na wapelestine?si yataanza maneno Tena kwamba why atusemee sisi na hali ya kuwa sisi tuna kiongoz wetu tunaemsikiliza na kumtii?
kwann utaje dini , kwan ni mgogoro wa kidini huo?
 
umeambiwa israel taifa la kidini ? km huez jitetea uhai wako basi usimtegemee mungu maana ww ni mzigio umepewa kila kitu kujilinda
SI mnasema ni Taifa Teule la Mungu,umebadili Sasa?teh teh
 
Mbona tunajua wanaouawa si wapalestina pekee? Tatizo lenu nyie kina BIG SHOW mnashabikia sana uislam. Isingekuwa hamshabikii uislam hoja zenu zingeeleweka. Hakuna namna acheni watandikwe tu pamoja na magaidi, sasa kama magaidi yenyewe yanajifichia kwao utafanyaje kama si kuwalipua wote ili kukomesha magaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…