Ni ujinga tu kushangilia mauaji ya Wapalestina kwa kudhani wanaouliwa ni Waislam

Hatujachagua upande wa kushabikia dhidi ya upande mwingine. Ni dhana yako labda kwa kuona watu wanahoji walichotangulia kukifanya Hamas dhidi ya Israel.

Ni hivi. Mambo ya uhamiaji yamekuepo kwa mataifa yote. Jamii dhidi ya jamii. Mfano kuna makaburu karibuni Million 5 huko S. Africa ambao walihamia pale karne nyingi zilizopita. Je leo uwafukuze warudi wapi ?!. Ikiwa walikotoka babu zao hata kumbukumbu zao hazipo. Na hiki cha sasa ni kizazi kilichozaliwa Africa kusini. Utawapereka wapi ?!. The same na waarabu walioko Zanzibar na hata bara je kuna nafasi zao huko Oman tena leo hii ?!. Wahindi waliozagaa Tanganyika na visiwani je wanazo nafasi za kuwarudisha India leo hii ?!. Je makabila yetu ya mipakani, iliyoingiliana na watu wa mataifa jirani. Je leo tuwakatae kwa sababu zozote zile ?!. Tutakuwa taifa la namna gani ?

Mwl kwa hekima alisema wote waliokutwa na uhuru hapa, ni waTanganyika (Tanzania). Hiyo iliondoa pressure za uhasama, dhidi ya jamii za wachache.

Kuhusu mambo ya itikadi ukabila, imani za dini tofauti tofauti. Ni kukubali kuishi pamoja kwa kuvumiliana. The same leo Tanzania tunazo itikadi tofauti, imani tofauti, mila tofauti na hata asili tofauti. Lakini tunavumiliana na kila moja anafuata hamsini zake. Hicho kitu ndicho kinachotakiwa ktk eneo lile la wayahudi na Wafilisti. Kukubali kukaa pamoja kwa kuvumilana. Lakini ukimtafuta wa kumhamisha leo unaleta vita visivyoisha. Ndiyo hiyo utaona na watoto wanauliwa. Kwani vita havina macho.
 
Nyie dawa yenu ni CHINA tu mnatengenezewa Kambi ya kamera juu na hakuna chombo Cha habari Cha china kuripoti habari sababu wanajua kwa population ya china mkifanya vurugu kudhibiti itakuwa ngumu
Hawafai kuwepo duniani
 
Ni upumbavu tu kuwakumbatia dp world kisa tu ni waarabu na upumbavu mwingine ni kuwaonea huruma waperestina huku kule [emoji1255] ukibariki uvamizi wa putin.
 
Na Kwa nini ufurahie mtu kuuwawa tena asiye na hatia?
 

Punguza unafiki, ungeanza na Hamas. Mbona umewaruka?. Wao ndio wasababishi
 
Ni upumbavu tu kuwakumbatia dp world kisa tu ni waarabu na upumbavu mwingine ni kuwaonea huruma waperestina huku kule [emoji1255] ukibariki uvamizi wa putin.
Wewe mkiristo unafurahia waislamu kuuliwa. Lkn jua vita hivi mwisho ushindi upo kwa waislamu
Waislamu wanauliwa na waislamu wenzao huko somalia, Nigeria, Sudan, Pakistan,alshababu,bokoharamu mbona hamlalamiki kwanini Israel tu?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Punguza unafiki, ungeanza na Hamas. Mbona umewaruka?. Wao ndio wasababishi
Chanzo cha mzozo huu sio uvamizi wa Hamas tu, ila ule uvamizi ni mwendelezo tuu wa huu mzozo wa miaka mingi.
Kwa hiyo unawatetea magaidi wa Hamas walichokifanya kuwaua wayahudi kwenye sherehe,kuwachoma moto watoto wadogo na kuwateka ni sahihi

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Jambo la kuungana Israel haiwez kukubali cos Wapalestina ni wengi hivo wanahofia watapoteza identint yao.
 
Ni ujinga kushangiliana mauaji yeyote yale period.
 
Punguza unafiki, ungeanza na Hamas. Mbona umewaruka?. Wao ndio wasababishi
Punguza unafiki, ungeanza na Hamas. Mbona umewaruka?. Wao ndio wasababishi

i dont have a dog in this fight, mimi najali maisha ya watu innocent hasa wanawake na watoto, wewe kama mwafrika na mtu mweusi you should know better about prejudice and discrimination …
 
Hawatakua radhi mayahudi na manaswara hadi ufate Mila zao
Muhammad (ﷺ) alisema:Wailsamu watapigana na Wayahudi na watawaua mpaka hata jiwe litasema: Njoo hapa, Muislamu, kuna Myahudi (anayejificha nyuma yangu); muue. Sahih Muslim 2921 a
 
Muhammad (ﷺ) alisema:Wailsamu watapigana na Wayahudi na watawaua mpaka hata jiwe litasema: Njoo hapa, Muislamu, kuna Myahudi (anayejificha nyuma yangu); muue. Sahih Muslim 2921 a
Wewe myahudi?
 
Ni ujinga kujihusisha sana na masuala ya Waarabu na kupuuza manyanyaso ya Wamaasai wa Loliondo & Ngorongoro.

Ni upuuzi wa kiwango cha kutisha kufikiri mauji ya raia wa Congo ambao ni waafrika wenzetu na kukurupukia,kushabikia,kuhemka masula ya wapalestina kisa Sheikh kawaaminisha ni ndugu zenu kuliko wakenya,wamalawi ..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…