Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatujachagua upande wa kushabikia dhidi ya upande mwingine. Ni dhana yako labda kwa kuona watu wanahoji walichotangulia kukifanya Hamas dhidi ya Israel.Kuongea HIVYO ni makosa makubwa sana,Hilo vugu vugu kutulia haikuwa na maana kwamba Hamas waliweka Silaha chini la hasha,kumbuka IDF imekuwa inaendelea na shughuli za illegal occupation kila mara Kwa kustukiza na taarifa zilikuwa zinaripotiwa mara Kwa mara sema mmeamua kuchagua upande wa kushabikia.
Unashangaza kulaani Hamas na kuwaita magaidi huku IDF mkiwaacha na kusema walinda amani wa Israel ni makosa makubwa sana.
Hamas siyo magaidi Kwa kuwa ni taasisi kamili ambayo Ina uwakilishi ndani ya serikali na Ina wabunge wake na utawala wake,unaowaita wewe magaidi ni freedom fighters Kwa wenzako tambua hilo
Hawafai kuwepo dunianiNyie dawa yenu ni CHINA tu mnatengenezewa Kambi ya kamera juu na hakuna chombo Cha habari Cha china kuripoti habari sababu wanajua kwa population ya china mkifanya vurugu kudhibiti itakuwa ngumu
Ni upumbavu tu kuwakumbatia dp world kisa tu ni waarabu na upumbavu mwingine ni kuwaonea huruma waperestina huku kule [emoji1255] ukibariki uvamizi wa putin.Friends and Enemies,
Al Ahl Baptist church ni hospital ya kanisa ambayo imeanza operation Gaza tokea mwaka 1882,Hospital hiyo imeanzishwa na Church Mission Society Of England kipindi Hiko inatawala Gaza ,baada ya ukoloni 1954 hadi 1982 na kuendelea hospital hiyo imekuwa inaendeshwa na Episcopal church in Jerusalem ikitoa huduma za tiba Kwa wapelestine wakristo,waislam na wengine wengi waishio maeneo Hayo.
Hakuna justification ya aina yoyote katika kuua watu wasio na hatia bila kujali kuwa watu hao ni either WAPALESTINA au WAISRAEL au RACE ya aina yoyote ile,it's just plain and Crystal Clear that it's wrong.
Recently tumeona IDF wakishambulia hospital hiyo huko Gaza na muda mfupi baadae kukana kutohusika na shambulio Hilo ili Hali kila ushahidi unaonekana kuwa ni wao na Sasa wanajutia.
I will never understand this society,soma comments mitandaoni humu,even hapa JF na kwingine watu wanashangilia na kusema Israel ni Taifa la Mungu,hao wapelestine wameanzisha ugomvi wasiouweza so wauwawe tuh hao waislam.
Ndiyo kusema kwamba watu wanadhani kuwa wapelestine ni waislam? thinking that hakuna wakristo na watu wengine ambao wanauawa katika mgogoro huo?
HAMAS imechagua military strategy kama vile ambavyo IDF imechagua Military strategy katika occupation of Land,tukichagua kukemea umwagaji wa damu katika mgogoro huo basi tukemee Hilo on both sides,na kama wazo la two states solution ndiyo litaonekana kuwa ndiyo muaraboini basi jumuiya ya kimataifa Ingepaswa kuweka mkazo katika Hilo.
Damu ya kila mwanadamu Ina thamani haijalishi Imani yake, rangi yake wala asili yake.
Na Kwa nini ufurahie mtu kuuwawa tena asiye na hatia?Friends and Enemies,

ni sadism tu, suffering is suffering, mimi siyo fun wa Uislamu kwa sababu zangu binafsi lkn niko na wapelestina kwa sababu ni binadamu kama binadamu wengine na israeli anachofanya ni crime against mankind, hakuna binadamu aliyesafa na kuumizwa kama mwafrika hivyo tunapaswa kukemea kinachoendelea dhidi ya defenceless people Palestina.
Down with Israel!
Ni upumbavu tu kuwakumbatia dp world kisa tu ni waarabu na upumbavu mwingine ni kuwaonea huruma waperestina huku kule [emoji1255] ukibariki uvamizi wa putin.
Waislamu wanauliwa na waislamu wenzao huko somalia, Nigeria, Sudan, Pakistan,alshababu,bokoharamu mbona hamlalamiki kwanini Israel tu?Wewe mkiristo unafurahia waislamu kuuliwa. Lkn jua vita hivi mwisho ushindi upo kwa waislamu
Punguza unafiki, ungeanza na Hamas. Mbona umewaruka?. Wao ndio wasababishi
Kwa hiyo unawatetea magaidi wa Hamas walichokifanya kuwaua wayahudi kwenye sherehe,kuwachoma moto watoto wadogo na kuwateka ni sahihiChanzo cha mzozo huu sio uvamizi wa Hamas tu, ila ule uvamizi ni mwendelezo tuu wa huu mzozo wa miaka mingi.
Kama magaidi yanajificha humu ni kuwafumua tuIsrael sasa yashambulia makanisa baada ya kushambulia Misikiti na hospitali Ghaza
Jambo la kuungana Israel haiwez kukubali cos Wapalestina ni wengi hivo wanahofia watapoteza identint yao.Huo sio mgogoro wa kidini bali ni;
1. Mgogoro wa raslimali kama ardhi, gesi, mafuta nk.
2. Uzalendo utaifa na kupenda sana nchi yako
3. Wakubwa wana maslahi hapo ndo maana huwa hauishagi
Kipi kifanyike? Acha israel na palestina ziungane iwe nchi moja
Vile ni vita kati ya waislam na mayahudi kwa kusaidia na nchi za magharibiKama magaidi yanajificha humu ni kuwafumua tu
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Hatusemi Somalia. Tunasema vita vya waislam vs Israel kwa kusaidiwa na nchi za Magharibi huko Palestina inayokaliwa na mayahudiWaislamu wanauliwa na waislamu wenzao huko somalia, Nigeria, Sudan, Pakistan,alshababu,bokoharamu mbona hamlalamiki kwanini Israel tu?
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Sema waislam wapigwe useseme wapestina pekeeAcha wapalestina wapigwe tu Hakuna namna
Punguza unafiki, ungeanza na Hamas. Mbona umewaruka?. Wao ndio wasababishi
Punguza unafiki, ungeanza na Hamas. Mbona umewaruka?. Wao ndio wasababishi
Muhammad (ﷺ) alisema:Wailsamu watapigana na Wayahudi na watawaua mpaka hata jiwe litasema: Njoo hapa, Muislamu, kuna Myahudi (anayejificha nyuma yangu); muue. Sahih Muslim 2921 aHawatakua radhi mayahudi na manaswara hadi ufate Mila zao
Wewe myahudi?Muhammad (ﷺ) alisema:Wailsamu watapigana na Wayahudi na watawaua mpaka hata jiwe litasema: Njoo hapa, Muislamu, kuna Myahudi (anayejificha nyuma yangu); muue. Sahih Muslim 2921 a
Ni ujinga kujihusisha sana na masuala ya Waarabu na kupuuza manyanyaso ya Wamaasai wa Loliondo & Ngorongoro.Friends and Enemies,