Ni uoga au ni uwezo duni wa waandishi wetu wa habari?

Mayalla alijaribu kuuliza swali gumu kwa mhimili unaojitegemea, akaambiwa maana ya jina lake ni njaa , mhimili ulimtabiria njaa[emoji205]
[emoji112][emoji112][emoji112][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alisema[ga] Le Mutuz, viongozi wetu ni akisi yetu sisi wenyewe wananchi.

Nchi hii ina changamoto kibao. Ina viongozi waongo. Tena waongo wasio hata na haya
Kawahoji wewe basi. Enzi za Hayati hukusrma haya na hawa ndio waliokuwa waandishi wa habari na watawala na viongozi walikuwa hawa hawa

Kimeumana.
 
Mayalla alijaribu kuuliza swali gumu kwa mhimili unaojitegemea, akaambiwa maana ya jina lake ni njaa , mhimili ulimtabiria njaa🐒
Mpaka ofisi zake upanda akafunga. Baada ya pale akaitwa kuhojiwa na Job wa Nazalethi
 
Kwa sisi waAfrika, Rais ni mbadala wa mfalme au wale watemi au machifu wa makabila, wale watawala wa makabila hapo kale...

Zamani za kale hakuna mtu alikuwa ana mamlaka au uwezo wa kumkosoa, muuliza, shauri kiongozi wa kaliba hiyo...
 
halafu anampakapaka eti watanzania tunamkubali sana. ni watanzania au yeye mwandishi?
 
Kwa mara nyingine tena, Rais wetu huyu Chifu Hangaya amefanya mahojiano na chombo cha habari.

Nimeangalia vipande vipande kadhaa vya mahojiano hayo na sijaona swali lolote lile lililo gumu aliloulizwa huyu chifu wetu.

Anaulizwa vi softballs tu. Naye anatoa majibu mepesi mepesi tu. Sijui mara anaingia mitandaoni, mara anacheza na wajukuu, mara sijui kusikiliza Taarab, yaani mambo mepesi mepesi tu.

Alisema[ga] Le Mutuz, viongozi wetu ni akisi yetu sisi wenyewe wananchi.

Nchi hii ina changamoto kibao. Ina viongozi waongo. Tena waongo wasio hata na haya.

Waandishi wa habari wanapata fursa ya kumhoji Rais aliyeshiriki kudanganya, hawamuulizi kwa nini yeye na wenzake huwa wanatudanganya.

Ni kwenye vijamhuri vya midizi tu kama Tanzania ambako viongozi waandamizi wa kiserikali chao wanawadanganya watu wao kuwa Rais wao ni mzima ilhali si mzima. Ni mgonjwa mahututi au ni marehemu tayari.

Halafu hakuna anayejali [ukinitoa mimi] kuwa kuwa amedanganywa na hakuna anayejali kuona kuwa kunakuwepo na uwajibikaji.

Maadam kiongozi ni akili yetu sisi wananchi, basi hii ndio akili yetu.......wewe akili yako ni kubwa sana usiilazimishe ifanane na yetu.
 
Inawezekana muulixa maswali kaambiwa nini anatakiwa kuuliza kwa hiyo tusimlaumu kwa Sababu anaemhoji ni mhimili uliojichimbia chini zaidi.
 
Kwa mara nyingine tena, Rais wetu huyu Chifu Hangaya amefanya mahojiano na chombo cha habari.

Nimeangalia vipande vipande kadhaa vya mahojiano hayo na sijaona swali lolote lile lililo gumu aliloulizwa huyu chifu wetu.

Anaulizwa vi softballs tu. Naye anatoa majibu mepesi mepesi tu. Sijui mara anaingia mitandaoni, mara anacheza na wajukuu, mara sijui kusikiliza Taarab, yaani mambo mepesi mepesi tu.

Alisema[ga] Le Mutuz, viongozi wetu ni akisi yetu sisi wenyewe wananchi.

Nchi hii ina changamoto kibao. Ina viongozi waongo. Tena waongo wasio hata na haya.

Waandishi wa habari wanapata fursa ya kumhoji Rais aliyeshiriki kudanganya, hawamuulizi kwa nini yeye na wenzake huwa wanatudanganya.

Ni kwenye vijamhuri vya midizi tu kama Tanzania ambako viongozi waandamizi wa kiserikali chao wanawadanganya watu wao kuwa Rais wao ni mzima ilhali si mzima. Ni mgonjwa mahututi au ni marehemu tayari.

Halafu hakuna anayejali [ukinitoa mimi] kuwa kuwa amedanganywa na hakuna anayejali kuona kuwa kunakuwepo na uwajibikaji.

Nyie nyote ni masisiyemu
 
Mbona wewe ukihojiwa umekaa marekani miaka zaidi ya 20 ila huna hata nyumba na mamako kumbadilishia furniture tu unashindwa huwa haujibu??

Jibu basi hapa
 
Kwa mara nyingine tena, Rais wetu huyu Chifu Hangaya amefanya mahojiano na chombo cha habari.

Nimeangalia vipande vipande kadhaa vya mahojiano hayo na sijaona swali lolote lile lililo gumu aliloulizwa huyu chifu wetu.

Anaulizwa vi softballs tu. Naye anatoa majibu mepesi mepesi tu. Sijui mara anaingia mitandaoni, mara anacheza na wajukuu, mara sijui kusikiliza Taarab, yaani mambo mepesi mepesi tu.

Alisema[ga] Le Mutuz, viongozi wetu ni akisi yetu sisi wenyewe wananchi.

Nchi hii ina changamoto kibao. Ina viongozi waongo. Tena waongo wasio hata na haya.

Waandishi wa habari wanapata fursa ya kumhoji Rais aliyeshiriki kudanganya, hawamuulizi kwa nini yeye na wenzake huwa wanatudanganya.

Ni kwenye vijamhuri vya midizi tu kama Tanzania ambako viongozi waandamizi wa kiserikali chao wanawadanganya watu wao kuwa Rais wao ni mzima ilhali si mzima. Ni mgonjwa mahututi au ni marehemu tayari.

Halafu hakuna anayejali [ukinitoa mimi] kuwa kuwa amedanganywa na hakuna anayejali kuona kuwa kunakuwepo na uwajibikaji.

Kwan mtangulizi alikua hata anahojiwa sasa kwa aman? Mwandishi ni lazima aulize maswali anayopemda yeye na c vingine! Hakutaka kuwapa uhuru waandishi mpaka wakaonywa.. wasidhani wana uhuru.. not to that extent 🤣🤣🤣!! Ndio tawala zetu za kiafrika.
 
Ndo banana republic hizo.
 
Wanasiasa wa Tanzania,hawana hadhi ya kufanyiwa interview serious maana wanaweza kujamba,,,we umpeleke Lusinde afanyiwe interview na Andrew Neil,si ataongea kilugha
 
Kwa mara nyingine tena, Rais wetu huyu Chifu Hangaya amefanya mahojiano na chombo cha habari.

Nimeangalia vipande vipande kadhaa vya mahojiano hayo na sijaona swali lolote lile lililo gumu aliloulizwa huyu chifu wetu.

Anaulizwa vi softballs tu. Naye anatoa majibu mepesi mepesi tu. Sijui mara anaingia mitandaoni, mara anacheza na wajukuu, mara sijui kusikiliza Taarab, yaani mambo mepesi mepesi tu.

Alisema[ga] Le Mutuz, viongozi wetu ni akisi yetu sisi wenyewe wananchi.

Nchi hii ina changamoto kibao. Ina viongozi waongo. Tena waongo wasio hata na haya.

Waandishi wa habari wanapata fursa ya kumhoji Rais aliyeshiriki kudanganya, hawamuulizi kwa nini yeye na wenzake huwa wanatudanganya.

Ni kwenye vijamhuri vya midizi tu kama Tanzania ambako viongozi waandamizi wa kiserikali chao wanawadanganya watu wao kuwa Rais wao ni mzima ilhali si mzima. Ni mgonjwa mahututi au ni marehemu tayari.

Halafu hakuna anayejali [ukinitoa mimi] kuwa kuwa amedanganywa na hakuna anayejali kuona kuwa kunakuwepo na uwajibikaji.

Nilipendezwa na andiko lako but ulipomquote let mutuz nimeishia hapo. Huyo unayemquote yeye ndio anakuwaga chawa sema Sasa hivi amekosa uchawa tu.

Pia Hana hadhi ya kufikia maneno yake yawe quoted sababu haishi na hajawahi kuishi Wala kuamini kwenye hayo maneno Kama aliwahi kutamka.
 
Back
Top Bottom