Ni uoga au ni uwezo duni wa waandishi wetu wa habari?

Joined 2021..
Nimejiunga jf kabla yako, amini hivyo Ila sijafikia hatua hii yako[emoji116]
 
Mzee wa multiple ID.. Si unijibu au ujibu hayo maswali kwa ID yako hiyo hiyo
 
Ni kweli hawana spin doctors wazuri.

Ila uozo kuanzia juu, katikati, mpaka chini.

Sad.
 
Una moyo!

Kwamba tutafika tu??!!!

Wake me up when we get there.
 
Hapana sio woga bali ni kwamba anaulizwa na wafanyakazi walio chini yake,so technically hawawezi kumuuliza maswali magumu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kuna swali umeuliza?
Ila malizana kwanza na nyani ngabu maana mwenyewe umempenda. Mpelekee harage hilo
Juli umeacha kula kwenye vibanda vya wapemba ukiona nyumbani kunapikwa ugali dagaa??
 
Hapana sio woga bali ni kwamba anaulizwa na wafanyakazi walio chini yake,so technically hawawezi kumuuliza maswali magumu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Walio chini yake kivipi? Kwamba ni wafanyakazi wa TBC, ambayo ni ya serikali?

BBC nayo inamilikiwa na serikali ya Tanzania?
 
Hakuna hata hotuba yake yenye controversial word bali sisi wasikilizaji tunajifanya tunajua kila kitu ndio tuko controversial,yaani hata mkinya mavi wenyewe bado mtajifanta kuqa mbajua kila kitu nyie hamkunya,useless

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Iseee!!....😄😄
 
Unataka kubisha nini?
Kwa uchache tu, Ni yeye aliyesema wenzake na mbowe wameshafungwa
Tuna akiba ya dola bilion 6000
Ni yeye alisema hatujawahi kuwa na shule za private kabla ya uhuru
 
Nchi hii ina changamoto kibao. Ina viongozi waongo. Tena waongo wasio hata na haya.

Waandishi wa habari wanapata fursa ya kumhoji Rais aliyeshiriki kudanganya, hawamuulizi kwa nini yeye na wenzake huwa wanatudanganya.
Wanaogopa kutumbuliwa au kubambikiwa kesi za uongo!
 
Wewe ulitaka upewe majibu magumu magumu kama yapi?
 
Una moyo!

Kwamba tutafika tu??!!!

Wake me up when we get there.
Mkuu wakati Nyerere anataka Dodoma iwe mji mkuu, imechukua muda mrefu sana mpaka kaingia Mkapa ndipo shughuli nyingi zikahamia Idodomya na karimjee ikawa basi tena.
Nyerere alitaka kujenga bwala la umeme, mpaka anaondoka hapakuwa hata na dalili, leo hii linajengwa na tunasubiri crane toka ughaibuni kuja kuziba magati ya maji.
Nyerere alitamani kujenga daraja kati ya kagamboni na kivukoni, JK akaja akawa sehemu ya ndoto hiyo.
JPM kwa kukoswakoswa kuzama kwa mtumbwi kigongo busisi akiwa na pikipiki yake aina ya Honda, years later kawa mkulu ameacha ujenzi wa darala la kigongo busisi ili kurahisisha usafiri.

Yote hayo yamechukua muda ila yamefanyika.

Inawezekana kuna siku mwanao akaja kuwa mtu mwenye ushawishi nchi hii na kukawa na freedom of media to the extent ya kumweka "Mhe. Rais wa nchi Kitimoto".

Nihitimishe kwa kusema US ilipata uhuru 1776, Presidential debate ya kwanza ilikuwa 1960 kati ya alikuwa Senator John F. Kennedy na aliekuwa VP Richard Nixon.

Ipo siku, kama sio mie, kuna atakae kuamsha. Kama sio dunia hii basi ile ijayo.

F
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…