Ni upi msimamo wa Wanawake kuhusu Suala la Ushoga?

HII COMMENT NGOJA NIKAIWEKEE LAMINATION KABISA NIIPRINT NIIBANDIKE NYUMBANI KWANGU UKUTANI WANANGU WA KIUME NA WA KIKE WAIONE KAMA UJUMBE WA BABA YAO KWAO.

Asante sana Mkuu
 
Wanawake nadhani watakuwa wanafurahi kupata wenzao wapya but hawajui upinzani utaongezeka kwao!
 

NImeipenda sana hii kaka mkubwa...nimejifunza kitu , Thanks....
 
Hapana, msimamo wa wanawake wengi si sawa na msimamo wa wanawake.

Heading imeandikwa "msimamo wa wanawake", si "msimamo wa wanawake wengi".

Stop the collectivization of thoughts.
Acha kufanya mambo yaonekane magumu Mzee!!

Kwanza mleta mada ni ameuliza ata hajasema.
 
Sawa
Binafsi huwa nawashangaa, nyie wanaume mnavyoweza kuwafanya wanaume wenzenu, kwani hamuoni vibaya,

haya unavyombenua hivyo mwenzio sasa huyo mdudu wake unakuwa wapi.

Vile mnajiona nyie ni top au head ila hiyo siyo nzuri
It is difficult than we can possibly imagine.Mbaya sana
 
Mkuu hizo video za telegram mnazipataje [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]maana mi nimedownload telegram sio mda mrefu sana ila na chat na marafiki ,,,sioni maajabu Yale sana[emoji39] eb nipe muongozo mkuu
Telegram kuna channel/groups kibao zama suala mengi tu ya kidunia ni wewe interest yako ni ipi.

Unaweza kusearch jina la channel unayotaka utapata nyingi tu kisha unajoin.

Ama zingine mpaka utumiwe link ya channel husika kisha unajoin.

#MaendeleoHayanaChama
 
Serikali sii ifanye kuwaita kisiasa ili wajitokeze wapigwe missile kabisa unajua nchi inaanzaga kulaniwa hivi hivi hawaviumbe ni moja wapo ya dhambi kubwa sana
#hawafai kuishi
Uzinzi uasherati..ufisadi..wizi..uuaji..yote ni madhambi yanapaswa kukemewa sio tu ushoga.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ngoja niongelee sababu ya mimi kutojali.

Mwanzoni nilikuwa sipendi kabisa kuwasikia mashoga wala hata kuwaona na nilikuwa nawaona kwenye mitandao hii ya kijamii.Nilipofika chuo mwaka wa kwanza hostel nikapangwa na lesbians wawili kwenye chumba cha watu wanne.Mmoja alikuwa ni wale waongeaji wachekeshaji sana kwa hiyo baada ya week tu akasema kabisa mimi napenda wasichana wenzangu.Kusema kweli nilishtuka kwa sababu huwezi kumdhania ni msichana mzuri sana na wala hana viashiria vya kupenda labda sijui nguo za kiume wala nini ila sisi mule tukapotezea,huyu wa pili alikuwa sio muwazi kama mwenzake na ilichukua kama miezi mitatu hivi ndio akaniambia mimi na mwingine aliyejua ni yule lesbian mwenzie.Room mate mwenzetu mpaka tunaondoka hakujua na hakumwambia.



-Sasa hawa watu ndio walikuwa na marafiki zao wa kiume ambao wengi walikuwa ni hao gays na walikuwa wakija pale room kwetu.Mimi nilikuwa naongea nao kawaida tunapiga stori,tunacheka,tunashare interest za movies na series,tunawaponda wanaume tunadate nao ilikuwa ni kama ni extended female circle.Sasa mtu akikuta room anakusalimia kwa heshima,hajawai kukudharau wala kukuonyesha lolote baya kwako nianze kumchukia ghafla kisa ya uchaguzi wa raha zake uko faragha kwani mimi ni malaika hapa duniani sina dhambi.



-Hii ndio sababu nimekaa kimya nachukulia kawaida kwa sababu mwisho wa siku na wao ni watu kama mimi wenye mazuri na mabaya yao.Sisemi kama naungana nao kwamba wanachokifanya ni sahihi ila huwezi nikuta nawatukana kwa sababu eti ni shoga au ni lesbian
 
Mbaya zaidi haya ni mafuriko huwezi kuyazuai kwa mkono mana hata hao viongozi wakisiasa..kidini..watu wenye ushawishi duniani wengi wameunga mkono juhudi..iwe kwa matakwa yao ama kwa vipande vya fedha.

Kilichobaki sasa ni kila mtu alimde familia yake.

#MaendeleoHayanaChama
 
Bora ufir...e mwanamke. Kufi....r mwanaume mwenzio hiyo ni heavy weight.That is repugnant to justice and morality
Mku..ndu ni mkuu..du tu uwe kwa mwanamke,mwanaume au mnyama yoyote..acha kuhalaisha huo ufuska.

#MaendeleoHayanaChama
 
Daah..inasikitisha sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hii ishu hata kwa wasagaji,
Kea wanawake hata sio big deal
Kiujumla, wanawake wana emotional intelligence na empathy kubwa zaidi kuliko wanaume.

Hususan huku nchi zinazoendelea kwenye matatizo ya elimu na uchumi ambako kuna illussion ya fixed gender role na hakuna introspection sana kuhusu self awareness and self determination, autonomy, gender, sexuality, masculinity, femininity, gender fluidity, etc.
 
Ninavyofahamu kadri unavyotumia nguvu kubwa kupinga jambo ndivyo unavyolipa nguvu ya kufuatiliwa.. uzinzi,wizi,uongo,ulevi, ushoga n.k zote mbele za Mungu ni dhambi.. na kwa Mungu hakuna Dhambi kubwa wala ndogo..

Binafsi ninavyokerwa na muongo ndivyo ninavyokerwa na shoga.. hakuna mwenye dhambi kubwa hapo.. na ninavyomsaidia muongo na shoga wote ni sawa tu, na ninavyomuombea muongo na shoga ni sawa tu. Mungu ametushauri Tuombeane, tufundishane na tuchukuliane mizigo tusijione wakamilifu.. mtu unamkuta anakerwa na shoga au msagaji na muda huo ni mzinzi, mwasherati, muongo n.k wewe na shoga mbele za Mungu mnaitwa kwa jina moja tu. Wadhambi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…