Ni upi msimamo wa Wanawake kuhusu Suala la Ushoga?

Si tulisha kubaliana wana wake wote huwa wanaitana mashoga na hawana msimamo
 
Wewe ngumbaru hujui kwamba si wanawake wote ni wakina mama.

Pia, hujui tofauti ya swala na suala.

Hapa ukiharibu utapigwa tu, hamna jinsi.

Kwa sababu umeleta mada JF hujapeleka Umoja wa Wanawake.
Mkuu acha ubishi. Jikite kwenye mada
 
Kweli jf Imejaa mashetani.
 
Mkuu huyo zezeta achana nae
 
Wanaume wanafiki sana

Anayeomba mahusiano kinyume na maumbile ni nani? Iwe anaomba kwa ke au me?

Mwanamke hana interest na shoga hafanyi nae chochote
Sanasana tunakerwa wanavyozidisha tabia za kike
Hata anayemlala shoga ni shoga pia. Straight hawezi fanya hivyo kwahiyo ondoa neno wanaume hapo.
 
Mkuu nje ya mada... hivi na wanaume wanaowaingilia wanawake kinyume na maumbile nao hua tunawaweka kwenye kundi la mashoga..?
Kweli kabisa,
Hili kundi nalo limesahaulika mkuu[emoji848]
 
Yaani hata wanawake wa Bongo Movie wana urafiki mno na mashoga, mi nnasemaga wengine kama Wema Sepetu ukute ndiko katoa gundu, hawajali kabisa
 
Mkuu ungetumia tafsida [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa
Binafsi huwa nawashangaa, nyie wanaume mnavyoweza kuwafanya wanaume wenzenu, kwani hamuoni vibaya,

haya unavyombenua hivyo mwenzio sasa huyo mdudu wake unakuwa wapi.

Vile mnajiona nyie ni top au head ila hiyo siyo nzuri

Anayefanywa na anayefanya wote ni mashoga hapo hakuna mwanaume
 
Mimi kama mm naweza sema sijali kwasababu hakuna mtu wang wa karibu anaefanya hivo though huwa inasikitisha.

Ilaukiangalia uwepo wamashoga uliaanzishwa na nyie wanaume "kwamba kuna kidume kilimuinamisha kidume mwenzie" hivo n makubaliano ya vidume wawl hapo mwanamke hata hahusiki, na kma akihusuka bas ujue ameitumia kama opportunity( kumtafutia watu walio na hiyo interest) na hakua na jins maana tayar n makubaliano ya vidume viwili.

Lakin kila mwanamke ana mawazo yake juu la hilo ila naweza sema in general kujal kupo sana kwa wazaz ambao mtt wao anafanya hayo mambo, lakin pia wapo ambao they take it as source of income kutokana na umaskin wao
 
pia nimewahi sikia visa vya mtoto kuwa shoga mzazi wa kike akijua na akiuchuna baba anakuja kujua baadae kabisa kumbe mama aligundua muda mrefu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…