Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Unamwambia akasalimie kwao halafu unamuacha wiki 2 zipite unampa ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KumbeYa
Yote nimefanya nampotezea anajishtukia badae anarudi kwenye tabia yake na kilichopo inaonekana Mama yake ndio anamuharibu hivyo namrudisha kwake ili wawe karibu karibu wafundishane zaidi
Apo utakua umeoa au umeolewa?Hadithi ya upande mmoja
Hivi na wewe ukizingua mke naye aseme atakurudisha kwenu?
Au anayepaswa kurudishwa kwao ni mwanamke tuu?
Wewe ni wale MAFEMINIST?kataa kubali ukweli ndo huo
ndioWewe ni wale MAFEMINIST?
Umenena vyema sanaSawa tu yote maisha.
Hata kama atasema aliondoka nayo sawa tu.
Ujue mpaka kufika pa kupelekana kwa wazazi hiyo ni dalili kuwa penzi limeyumba.
Hapo Mwanaume anaona hana cha kupoteza.
Na akipata mimba ya mashaka ndio kabisa atenda kula aliko peleka mboga.
Wajita ndugu yangu kiukweli hili kabila hawafai kabisa kuoaKumbe
Basi mpeleke Kwa mama ake
Ni kabila gani kwanza? Samahani lkn
Hii ni kweli kabisa yani mtoto ndio amekua kinga kubwa nataka nifanye kutokujali kwa muda japo inauma sanamwanamke akijua unampenda mwanao lazima atakusumbua, fumba macho zingua kinoma noma yaan hakuna amani, mpaka ajirekebishe, cheza na mtoto, acha stori nae we dili na mambo yako tu, akikuuliza chochote usikae kimya Bali mjibu kwa kifupi afu potezea ata asipokupikia we kausha, toka na kuingia. Atakuja mwenyewe kuomba msamaha, Mimi nilitumia njia hyo lakini kwa bahati mbaya ilifeli.....basi nikatumia ya mwisho hii apa..............hakuna kuacha hata matumizi,hakuna kujali mtoto wala mama nilikuwa bize na kazi zangu nikifika om ata chakula siulizii nakula juu kwa juu, na hakuwa na kazi basi ilikuwa ni rahisi kujishusha ndo ukawa mwisho wa jeuri yakeee
Shoga angu mjiitaWajita ndugu yangu kiukweli hili kabila hawafai kabisa kuoa
Hili kabila halifai yani familia nzima sio wanaume wala wanawake mtu una andamwa kuanzia Mama ake dada zake kaka zake wajomba wote wanapiga simu kulazimisha ionekane mwanaume ndio unakosa ata kama binti ndio anashida kiukweli hawafai kabisa nimekomaShoga angu mjiita
Nilimsimamua sendoff
Ndoa imedumu miezi 7
Imevunjika🙌
Mfumo dume unawasumbuaHili kabila halifai yani familia nzima sio wanaume wala wanawake mtu una andamwa kuanzia Mama ake dada zake kaka zake wajomba wote wanapiga simu kulazimisha ionekane mwanaume ndio unakosa ata kama binti ndio anashida kiukweli hawafai kabisa nimekoma
Asante sana ila tayari ameshafungadha mizigo mchana atakua ameshafika kwaoHahahaha fala wee, mpaka unauliza utaratibu...wee Jua ni boyaa na mkeo anakuweza sana tu.
Huwez muacha huyo mwanamke.
Umepanga akae kwao Kwa mda gani?Asante sana ila tayari ameshafungadha mizigo mchana atakua ameshafika kwao
hamna utaratbu maalum!!!.....wewe mwambie arudi kwao,,,au siku akikuletea dharau mtie vitasa!!! atarudi kwao mwenyewe,,,,,,kimsingi ndugu yangu siku izi wanawake hawatawaliki!!!!..hasa wananwake kutokea nyanda za juu kusini!!Habarini za usiku wapendwa
Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu naomba kwa wenye uzoefu wanijuze ni hatua gani za kufuata ili kumrudisha mwanamke kwao kwasababu amezidi kua na dharau na nishampa Warning sana bila mafanikio habadiliki na yote navumilia kwasababu ya mtoto tuliye nae najihisi huruma mtoto atateseka lakini pia kuishi na huyu mwanamke ni kero kubwa dharau zake ni hatari yaani niko njia panda na mtoto ana miaka miwili sasa hivi na nimeamua mwanamke namrudisha kwao wakamfundishe kua na heshima kwa mume labda itasaidia na ndoa yetu sio ya kanisani ni ile nimelipa mahari tukaanza kuishi pamoja na kwa sasa hadi naogopa kufunga nae ndoa naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie utaratibu wa kumrudisha mwanamke kama huyu nyumbani kwao.
Naomba kuwasilisha.