Ni upi utaratibu wa kumrudisha mke asiye na nidhamu nyumbani kwa wazazi wake?

Ni upi utaratibu wa kumrudisha mke asiye na nidhamu nyumbani kwa wazazi wake?

Unamwambia akasalimie kwao halafu unamuacha wiki 2 zipite unampa ukweli
 
Ya

Yote nimefanya nampotezea anajishtukia badae anarudi kwenye tabia yake na kilichopo inaonekana Mama yake ndio anamuharibu hivyo namrudisha kwake ili wawe karibu karibu wafundishane zaidi
Kumbe
Basi mpeleke Kwa mama ake

Ni kabila gani kwanza? Samahani lkn
 
mwanamke akijua unampenda mwanao lazima atakusumbua, fumba macho zingua kinoma noma yaan hakuna amani, mpaka ajirekebishe, cheza na mtoto, acha stori nae we dili na mambo yako tu, akikuuliza chochote usikae kimya Bali mjibu kwa kifupi afu potezea ata asipokupikia we kausha, toka na kuingia. Atakuja mwenyewe kuomba msamaha, Mimi nilitumia njia hyo lakini kwa bahati mbaya ilifeli.....basi nikatumia ya mwisho hii apa..............hakuna kuacha hata matumizi,hakuna kujali mtoto wala mama nilikuwa bize na kazi zangu nikifika om ata chakula siulizii nakula juu kwa juu, na hakuwa na kazi basi ilikuwa ni rahisi kujishusha ndo ukawa mwisho wa jeuri yakeee
 
Sawa tu yote maisha.

Hata kama atasema aliondoka nayo sawa tu.

Ujue mpaka kufika pa kupelekana kwa wazazi hiyo ni dalili kuwa penzi limeyumba.

Hapo Mwanaume anaona hana cha kupoteza.

Na akipata mimba ya mashaka ndio kabisa atenda kula aliko peleka mboga.
Umenena vyema sana
 
you can take the girl out of the bar, but you can not take the bar out of the girl.

tuwe makini.
 
  • Thanks
Reactions: _ly
mwanamke akijua unampenda mwanao lazima atakusumbua, fumba macho zingua kinoma noma yaan hakuna amani, mpaka ajirekebishe, cheza na mtoto, acha stori nae we dili na mambo yako tu, akikuuliza chochote usikae kimya Bali mjibu kwa kifupi afu potezea ata asipokupikia we kausha, toka na kuingia. Atakuja mwenyewe kuomba msamaha, Mimi nilitumia njia hyo lakini kwa bahati mbaya ilifeli.....basi nikatumia ya mwisho hii apa..............hakuna kuacha hata matumizi,hakuna kujali mtoto wala mama nilikuwa bize na kazi zangu nikifika om ata chakula siulizii nakula juu kwa juu, na hakuwa na kazi basi ilikuwa ni rahisi kujishusha ndo ukawa mwisho wa jeuri yakeee
Hii ni kweli kabisa yani mtoto ndio amekua kinga kubwa nataka nifanye kutokujali kwa muda japo inauma sana
 
Hahahaha fala wee, mpaka unauliza utaratibu...wee Jua ni boyaa na mkeo anakuweza sana tu.

Huwez muacha huyo mwanamke.
 
Shoga angu mjiita
Nilimsimamua sendoff
Ndoa imedumu miezi 7
Imevunjika🙌
Hili kabila halifai yani familia nzima sio wanaume wala wanawake mtu una andamwa kuanzia Mama ake dada zake kaka zake wajomba wote wanapiga simu kulazimisha ionekane mwanaume ndio unakosa ata kama binti ndio anashida kiukweli hawafai kabisa nimekoma
 
Mfumo dume unawasumbua
 
kumbe hamna ndoano halali......but mmepata watoto huyo ni wako....cha msingi wewe usimdharau kama yeye afanyavyo komaa na fyujo zake, vitimbwi vyake till ujue nini kinamzuzua awe hivyo......kipo kitu lazima.....aidha kuna shogake anamponza......huyo ndio wa kumlia time umkaze.....au kuna kijibaba upole.....kinapumzika hapo.....yaani usimpeleke kwao.....kama umedhamiria kumwacha sawa.....but kama unampenda pambana ujue chanzo ukifanyie kazi....utarudisha wangapi braza....wanawake tumeumbiwa sisi WANAUME....class dismissed.....
 
Habarini za usiku wapendwa

Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu naomba kwa wenye uzoefu wanijuze ni hatua gani za kufuata ili kumrudisha mwanamke kwao kwasababu amezidi kua na dharau na nishampa Warning sana bila mafanikio habadiliki na yote navumilia kwasababu ya mtoto tuliye nae najihisi huruma mtoto atateseka lakini pia kuishi na huyu mwanamke ni kero kubwa dharau zake ni hatari yaani niko njia panda na mtoto ana miaka miwili sasa hivi na nimeamua mwanamke namrudisha kwao wakamfundishe kua na heshima kwa mume labda itasaidia na ndoa yetu sio ya kanisani ni ile nimelipa mahari tukaanza kuishi pamoja na kwa sasa hadi naogopa kufunga nae ndoa naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie utaratibu wa kumrudisha mwanamke kama huyu nyumbani kwao.

Naomba kuwasilisha.
hamna utaratbu maalum!!!.....wewe mwambie arudi kwao,,,au siku akikuletea dharau mtie vitasa!!! atarudi kwao mwenyewe,,,,,,kimsingi ndugu yangu siku izi wanawake hawatawaliki!!!!..hasa wananwake kutokea nyanda za juu kusini!!
 
Back
Top Bottom