Ni usafi mwanaume kukojoa kwa kuchuchumaa na kisha kutawadha baada kumaliza

kojoa umepiga push up mzee kigogo.
 
Kojoa ukiwa umelenga tundu la choo.

Hakikisha unaingiza dushe ndani ikiwa tayari umemaliza mkojo wote.
Kwasababu kuna vimkojo huwa vinabakia mwishoni pale, hivyo haviepukiki hata ukichuchumamaa kama mnavotaka wewe na mleta uzi.
Simple kihivyo tu, labda uwe huna akili nzuri ndo huo mkojo utakurukia wakati tundu unaliona.
 
We kojoa kwa kuchuchumaa, ila mimi kidume nasimama.
 
Umejuaje mi mdada...jibu hoja ila usijadili jinsia ya mtu, hiyo inaonyesha umeishiwa hoja
 
Achana na sisi na utamaduni wako wa kiarabu, Tutaendelea kukujoa tumesimama.
Hayo hata kwa mwanamke pia, Si mwanamme tu.

Mijanajike na mijana dume mingi haielewi usafi huo, wao ni kukojoa kwa kusimama tu na hawajioshi kabisa kwa maji, si wanawake wala wanaume. Hawana ustaarabu huo. Wana ustaarabu wa paka kunya mavi kujipaka.
 
Sawa.
 
Hakuna cha infection mkuu, hayo ni maagizo ya imani ya kiisalam kwa wanaume wa kiislam
 
Kama na puu sawa ila ivi ivi never nashika dhakari nakojoa nalikung'uta nalirudisha,
 
Mkuu punguza ujuaji wewe kojoa tu vyovyote vile. Mwanaume simama wima achilia ukimaliza tikisa then rudisha ndani....funga zip then wahi kazini.
 
Yani nichukue udongo nijifute kwenye kikojoleo au nichukue jiwe nijisugue kuondoa mikojo iliyobaki? Huu ujinga sifanyi, kwanza mkojo ni uchafu uliokuwa mwilini hivyo hauna madhara kama yangekuwepo labda UTI ingeniathiri kabla sijautoa.

Siwezi jikuta msafi nikaogopa urea alafu nijipake udongo wenye uchafu wa nje. Bacteria humohumo, fungi na mayai ya wadudu. Kwahiyo mwanamke naye ajipake udongo na ajifute na jiwe kama maji hamna?
 
Umejuaje mi mdada...jibu hoja ila usijadili jinsia ya mtu, hiyo inaonyesha umeishiwa hoja
Mbona hujiamini, wapi nimejadili jisia yako?

Nimekuita mdada na kujibu hoja yako, sioni shida ipo wapi hapo?

Labda wewe ndio umeshindwa kujibu hoja na unajadili jinsia yako.
 
Ashakum si matusi...

Ukijamba je? Ushuzi nao si uchafu? Nao unachuchumaa au ukijamba unavua chupi fasta na kuikung'utaa??
 
so role model wako ni mbwa, hakyanani kizazi cha sasa ni kizazi kweli kweli.
 
Nimeshangaa sana. Nime imagine hapo kwenye jiwe ni hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…