Ni usafi mwanaume kukojoa kwa kuchuchumaa na kisha kutawadha baada kumaliza

Usafi ndio uchuchumae? Tufanye uko maporini uchuchumae ili ujojoe, kijiti kikiingia kwenye kinyeo utafurahi au utasikitika?
Sasa porini kwenye nyasi mkojo unakurukia vipi? Au hujasoma uneamua kupinga tu?
 
Madhara ya kutofanya hivyo ni nini? Nakaribia 50, sijafanya hayo, pengine nimedhurika sijielewi!
 
Yule jamaa aliyewaambia dunia iko flat aliwaharibu sana hawa jamaa.
Wanasayansi wanasema dunia inaizunguuka jua, Bible inasema dunia iko fixed and unmovable, hapa unasemaje?

Ecclesiastes 1:5
"The sun also ariseth, and the sun goeth down, and hasteth to his place where he arose "

1 Chronicles 16:30: “He has fixed the earth firm, immovable.”

Psalm 93:1: “Thou hast fixed the earth immovable and firm ...”

Psalm 96:10: “He has fixed the earth firm, immovable ...”

Psalm 104:5: “Thou didst fix the earth on its foundation so that it never can be shaken.”

Isaiah 45:18: “...who made the earth and fashioned it, and himself fixed it fast...”

Uje useme dunia na jua kipi kinamzunguuka mwenzake?

Don't play the game if you don't know the rules, let's put religion aside,
 
Mmhh! Mwarabu mweusi... [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hayo hata kwa mwanamke pia, Si mwanamme tu.

Mijanajike na mijana dume mingi haielewi usafi huo, wao ni kukojoa kwa kusimama tu na hawajioshi kabisa kwa maji, si wanawake wala wanaume. Hawana ustaarabu huo. Wana ustaarabu wa paka kunya mavi kujipaka.
Mwarabu mweusi, [emoji3447] washed...
 

Islam ni dini inayo tazama na kusimamia sana mambo yanayo husu mwili ndio maana hata binadam kafa na mavi yake tumboni lakini akisha kuwa maiti mavi ni najis akamuliwe
 
Islam ni dini inayo tazama na kusimamia sana mambo yanayo husu mwili ndio maana hata binadam kafa na mavi yake tumboni lakini akisha kuwa maiti mavi ni najis akamuliwe
Ni sahihi hilo kaka.
 
Kwa hiyo mimi nikojoe Kwa kuchuchumaa?Kuna shida mahali.
 
Siku hizi kuna masinki maalumu ya kukojolea tena na maji yanakuwepo kabisa,hasa vyoo vya kulipia huwa wanaweka masinki,nimeona sana Nyanda za Juu Kusini mfano Ifunda kuna vyoo vina masinki ya kukojolea.Hata majumbani baadhi ya watu wameweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…