Ni usafi mwanaume kukojoa kwa kuchuchumaa na kisha kutawadha baada kumaliza

Unless unakojoa polini kwenye majani, sehemu yene mchanga mwingi au vile vyoo special vya juu hasa vinavyokuaga stand za mabasi au vyoo vya kulipia au vile vya shimo la moja kwa moja unaweza ukasimama, ila hivi vyoo vya sink na kwengineko ni uchafu mwanaume kukojoa umesemama.

Ukikojoa kwa kusimama Mkojo unaruka na kuingia kwenye nguo, ukutani na chombo cha karibu cha kuhifadhia maji au kunawia.

Pia ni vizuri kuosha zakali yako baada ya kukojoa, sio baada ya kukojoa unaiingiza tu kwenye suluali na kufunga zipu.

Pia hakikisha umemaliza kila kitu ndio unawe na kuiingiza ndani vinginevyo kuna vidogo vidogo vinavyobakia vinakua vinakuja taratibu mwishoni na unaweza usifahamu.

Naomba kuwasilisha
Huu ni utaratibu wa mababu zetu wa kiafrika au waarabu? Maana siku hizi kuna vibaraka wengi sana wa dini za kiarabu na kizungu kuonyesha sisi waafrika hatujastaarabika
 
Wewre sio mstaarabu? Hivi unakojoa umesimama huku mikojo inakurukia halafu unasema ndio utamaduni mwema? Dah!
Wewe waarabu ndo unawaona wa maana kuliko hata mababu zako. Inaonekana hata ingewezekana ungeukataa uafrika useme wewe ni mwarabu
 
Miaka yote tangu utotoni nakojoa kwa kusimama fresh tu, leo hii unaniambia nichuchumae? Gerarahiaa

Kama ishu ni nguo kuchafuka... washing mashine, sabuni maji yapo.. zitafuliwa
Kama sijui ni ishu za infection... hospital na madaktari bingwa wapo watanitibu

ila nikuhakikishie kuwa miaka yote hii tangu utotoni sikuwahi kupata tatizo lolote la kukojoa nikiwa nimesismama
Ulishapata najisi za kutosha sheikh
 
Mara ya kwanza kuona mwanamme MTU mzima anakojoa amechuchumaa ni kipindi nasafiri na magari ya Tanga wakati wa kuchimba dawa porini.
Kuna mwingine alienda mbele zaidi badala ya kutingisha kengele yeye alimuosha abdala kichwa wazi.
Seriously watu wa Tanga hii ndio kitu gani mwanamme anakojoa amechuchumaa?
Wanaona kuwa wanawake wanafaidi sana
 
Hayo hata kwa mwanamke pia, Si mwanamme tu.

Mijanajike na mijana dume mingi haielewi usafi huo, wao ni kukojoa kwa kusimama tu na hawajioshi kabisa kwa maji, si wanawake wala wanaume. Hawana ustaarabu huo. Wana ustaarabu wa paka kunya mavi kujipaka.
Umejaa dharau, kashfa na maneno machafu eti unajiita Muislam

Laanakhum hii...!
 
Wewe waarabu ndo unawaona wa maana kuliko hata mababu zako. Inaonekana hata ingewezekana ungeukataa uafrika useme wewe ni mwarabu
Tunawaelewa misema "Mwaarabu" mnamaanisha Muislam, mkisema Uarabu mnamaanisha "Uislam".

Hivi wewe poyoyo, unaelewa kuwa Waarabu wengi ni Waafrika kuliko kwengine kokote duniani?

Au unajisemea tu hata huelewi maana ya Uarabu?

Sasa nakuuliza swali dogo tu, Sudan ni Waafrika au siyo Waafrika? Misri (Egypt) ni Waafrika au siyo Waafrika?
 
Wewe sio mstaarabu? Hivi unakojoa umesimama huku mikojo inakurukia halafu unasema ndio utamaduni mwema? Dah!
Kama una uwezo wa kurusha mkojo hauwezi kukurukia, labda kama huwezi kwa sababu ya kuumwa.
 
Unless unakojoa polini kwenye majani, sehemu yene mchanga mwingi au vile vyoo special vya juu hasa vinavyokuaga stand za mabasi au vyoo vya kulipia au vile vya shimo la moja kwa moja unaweza ukasimama, ila hivi vyoo vya sink na kwengineko ni uchafu mwanaume kukojoa umesemama.

Ukikojoa kwa kusimama Mkojo unaruka na kuingia kwenye nguo, ukutani na chombo cha karibu cha kuhifadhia maji au kunawia.

Pia ni vizuri kuosha zakali yako baada ya kukojoa, sio baada ya kukojoa unaiingiza tu kwenye suluali na kufunga zipu.

Pia hakikisha umemaliza kila kitu ndio unawe na kuiingiza ndani vinginevyo kuna vidogo vidogo vinavyobakia vinakua vinakuja taratibu mwishoni na unaweza usifahamu.

Naomba kuwasilisha
Kwani una kibamia?
 
Tunawaelewa misema "Mwaarabu" mnamaanisha Muislam, mkisema Uarabu mnamaanisha "Uislam".

Hivi wewe poyoyo, unaelewa kuwa Waarabu wengi ni Waafrika kuliko kwengine kokote duniani?

Au unajisemea tu hata huelewi maana ya Uarabu?

Sasa nakuuliza swali dogo tu, Sudan ni Waafrika au siyo Waafrika? Misri (Egypt) ni Waafrika au siyo Waafrika?
Bibi nikueleweshe, kuzaliwa ndani ya bara la Africa haimaanishi asili yako wewe ni mwafrika. Makaburu wapo ndani ya Afrika lakin sio waafrika, Elon musk amezaliwa Africa na babu zake wamezaliwa hapa lakin sio muafrika. Mwarabu asili yake ni Mashariki ya kati, huku walishuka tu. Kitu nashangaa, maisha ya dunia hii yalianzia Africa, hivi hamjioni kukosa akili kila siku kutukuza mila za waarabu na dini zao mnaacha za mababu zenu?
 
Unless unakojoa polini kwenye majani, sehemu yene mchanga mwingi au vile vyoo special vya juu hasa vinavyokuaga stand za mabasi au vyoo vya kulipia au vile vya shimo la moja kwa moja unaweza ukasimama, ila hivi vyoo vya sink na kwengineko ni uchafu mwanaume kukojoa umesemama.

Ukikojoa kwa kusimama Mkojo unaruka na kuingia kwenye nguo, ukutani na chombo cha karibu cha kuhifadhia maji au kunawia.

Pia ni vizuri kuosha zakali yako baada ya kukojoa, sio baada ya kukojoa unaiingiza tu kwenye suluali na kufunga zipu.

Pia hakikisha umemaliza kila kitu ndio unawe na kuiingiza ndani vinginevyo kuna vidogo vidogo vinavyobakia vinakua vinakuja taratibu mwishoni na unaweza usifahamu.

Naomba kuwasilisha
Low battery hi kichwa
 
Ni wazi kabisa wewe ushazowea kukojoa vichakani. Kwenye choo huo mkojo utaurishia wapi? Ukutani au utautapakaza choo kizima?

Huo ndio ustaarabu wa paka kunya mavi kujipaka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Msichukulie utani, wako serious.

Kuna siku nilibanwa barabarani nikakimbilia choo cha msikitini. Nikaingia hata mlango sijafunga nikaanza kumwaga oil. Jamaa mmoja aliingia akaanza kuongea kwamba mambo gani haya mtu anakojoa amesimama, nadhani na viatu niliingia navyo wenzangu wanaaacha nje. Nilstaajabu mno!

Ukitanga kuingia msalani msikitini jipange, uchuchumae.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Ni wazi kabisa wewe ushazowea kukojoa vichakani. Kwenye choo huo mkojo utaurishia wapi? Ukutani au utautapakaza choo kizima?

Huo ndio ustaarabu wa paka kunya mavi kujipaka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waarabu walituharibia sana utamaduni wetu watanzania.
 
Wewe sio mstaarabu? Hivi unakojoa umesimama huku mikojo inakurukia halafu unasema ndio utamaduni mwema? Dah!
Yani kuna watu hata uje na jambo jema as long as ni FaizaFoxy, wanaona unasambaza Uislam. Mambo ya ajabu sana
 
Nimekuuliza swali very simple, wewe ni mstaarabu?

Sasa wewe ujinga wako tu unakufanya ubwabwaje na kuhororoja bila mpango. Eleza tatizo lako nikupe darsa, wacha kubwabwaja bila mpango.
 
Unless unakojoa polini kwenye majani, sehemu yene mchanga mwingi au vile vyoo special vya juu hasa vinavyokuaga stand za mabasi au vyoo vya kulipia au vile vya shimo la moja kwa moja unaweza ukasimama, ila hivi vyoo vya sink na kwengineko ni uchafu mwanaume kukojoa umesemama.

Ukikojoa kwa kusimama Mkojo unaruka na kuingia kwenye nguo, ukutani na chombo cha karibu cha kuhifadhia maji au kunawia.

Pia ni vizuri kuosha zakali yako baada ya kukojoa, sio baada ya kukojoa unaiingiza tu kwenye suluali na kufunga zipu.

Pia hakikisha umemaliza kila kitu ndio unawe na kuiingiza ndani vinginevyo kuna vidogo vidogo vinavyobakia vinakua vinakuja taratibu mwishoni na unaweza usifahamu.

Naomba kuwasilisha
Tone la mwisho la mkojo siku zote huishia kwenye boxer au chupi
 
Back
Top Bottom