Sijui mkuuNimekuuliza swali jibu ni moja tu ndiyo au hapana,huyu mwenye kovu la kiwembe usoni ktk picha
View attachment 3520893
Ndiye aliyeandika barua Vatican?kwamba kwa Pope?
Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.
View attachment 3520782
#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)
Basi vyema,and kukusaidia siku nyengine usitoe boko kama hivi,ndani ya Kanisa Catholic mambo yanaenda kwa hatua kuna ngazi za kuwasiliana nazo haziingiliani.Sijui mkuu
Mbona mnapotukana viongozi wa serikali hamfati hatua kwa hatua hebu acheni unafiki.Basi vyema,and kukusaidia siku nyengine usitoe boko kama hivi,ndani ya Kanisa Catholic mambo yanaenda kwa hatua kuna ngazi za kuwasiliana nazo haziingiliani.
Muumini wa kawaida akiwa na shida ya kutaka utatuzi wa Papa lazima barua atakayoandika ipite kwa Paroko wa Parokia anayosali,Paroko aipitie ikimridhisha aipeleke kwa Askofu wa Jimbo analosali aipitie ikimridhisha aipeleke kwa Cardinal (mwakilishi wa Papa kwenye taifa husika) aipitie kama kesi ndogo anaimaliza kama nzito ndiyo inakuwa posted kwa Pope.
Askofu Ruwa’ichi kauli aliyoitumia kwanza ameshajua huyo siyo muumini maana hata taratibu za Kanisa hazijui ni muhuni tu mmoja amewekwa na kijikundi fulani kikidhani Catholics wananunua pumba kiwepesi wepesi kama hao wengine.
Nyingi Sana.Anaita wenzake lofa yy anafanya kazi Gani hapo misheni
Huo ndiyo utaratibu ukitaka kupingana nao basi ni wewe na nafsi yako.Mbona mnapotukana viongozi wa serikali hamfati hatua kwa hatua hebu acheni unafiki.
Mmepingwa kidogo tu povu kanisa zima
Hayo nimeandika wapi? Kinasehemu nimesema wanaotukana viongozi ni wakatoliki hebu achana na mmHuo ndiyo utaratibu ukitaka kupingana nao basi ni wewe na nafsi yako.
Ama la kwanini (kwa maelezo yako) ”mnapotukana” sina hakika kama ukiulizwa uthibitishe wanaotukana viongozi wote ni Wakatoliki kama utaweza kuthibitisha,na hao unaoita viongozi hawatukanwi wanaambiwa ukweli.
Kwa uelewa wako maana ya neno "lofa" ni nini?Mkapa hakuwa mtawa. Huyo ni mtu wa mimbari ya mungu
Mbona mnapotukana viongozi wa serikali hamfati hatua kwa hatua hebu acheni unafiki.
Mmepingwa kidogo tu povu kanisa zima
Hoja mama hapa ni Askofu wa Kanisa Catholic kumuita anayedaiwa kuandika barua Vatican kuwa ni fala sijui lofa,ukiwa ndani ya hoja hiyo hiyo ukaandika maneno niliyo-bold pale juu.Hayo nimeandika wapi? Kinasehemu nimesema wanaotukana viongozi ni wakatoliki hebu achana na mm
Wewe pia ni LOFA tu kama huyo LOFA mwenzako unayemtetea.Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.
View attachment 3520782
#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)
Hiyo ni lugha ya wahuni wahuni. Mtawa anaongea lugha sambamba na wazinzi na waleviKwa uelewa wako maana ya neno "lofa" ni nini?
Lugha ya wahuni ambayo maana yake nini? Ni matusi?!Hiyo ni lugha ya wahuni wahuni. Mtawa anaongea lugha sambamba na wazinzi na walevi
Ukisikia kelele kwa jiwe la gizani,mpiga kelele kaguswa nalo.Pole Kimbesal a.k.a lofa mwimba amani na mwoga wa kuiimba haki na mdau wa Amani ya mafisadi wa taifa hili.Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.
View attachment 3520782
#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)
Kimbesa yeye kapewa kazi ya kuwalisha matango pori watanzania wasioelewa uhuni wa wadau wa amani pasipo haki na waoga wakulitamka na kutenda haki kwa maslahi ya mafisadi ya taifa hili.Mkatoliki mkapa aliwahi kutubu?? Hilo mona
Pili mkapa alipowaita wenzie malofa ulikuja kuandika humu kumsihi atubu?
Mbona jamaa ukimuona Tu unajua ni MTU wa propaganda😅😅Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.
View attachment 3520782
#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)