Kwanza kabisa SIJAJUA ni mabadiliko gani unayo yamaanisha wewe………… Chama cha siasa sio LAZIMA kishike dola, kina namna nyingi ya kuleta mabadiliko Chanya kwenye jamii haswa ukizingatia siasa zetu chafu ambazo hakuna namna upinzani wanaweza kushinda bila ku force mabadiliko kwanza.CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.
Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!
Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.
Unaweza kupenda kwa kufuata mkumbo si siri sasa mbogamboga imeshikwa kwa sehemu kubwa kwenye uongozi wake na udini hasa akina Mwaipopo ambao wengi wao wanatoka ng'ambo ya pili wao ndio kila kitu kwenye mboga mboga hawa wengine ni waimba mapambio tu na kuchapa usingizi, labda kidogo Yuda.Mbona humu ndani kuna waislamu wengi wanaikubali Chadema na kuna wakristo wengi wanaipenda CCM?
Udini una hamasishwa na wasio na uwezo wa kuongoza, na Bahati Mbaya, uongozi wa Chama cha sisiemu wa sasa, wanapenda kutumia hilo blangeti kama eneo la kuficha mapungufu yao. Na sasa wanatumiapaka uzanzibari waoCHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.
Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!
Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.
Uko sahihi kabisa hata ya oct 29 yalifeli baada ya masheikh nchi nzima tena misikitini wazi wazi wakiwakataza waislam wasishiriki zile harakati ...CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.
Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!
Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.
Mkuu sio lazima uchambue Kila kitu...vingine kama hujui unaacha TUInategemea ni muislam wa wapi.
Waislam wamegawanyika katika mitazamo yao.
Wapo waislam wa Bara, ambao hawa uislam wao ni mixer uafrika.
Alafu kuna Waislam wa Arabuni. Yaani unakuta mtu ni muislam lakini anajiona kama muarabu au jamii ya Muhammed vile. Kundi hili la pili ni wachache sana.
Ni kama Wakristo tuu. Wapo Wakristo waafrika, alafu wakristo wayahudi. Ambao hujifanya kama wao ndio Waisrael sasa
CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.
Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!
Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.
Mkuu sio lazima uchambue Kila kitu...vingine kama hujui unaacha TU
Hutopungukiwa kitu
Kama hoja yako ni kwamba wananchi hawana taarifa sahihi basi unakiri kwamba tatizo siyo udini wa CHADEMA, bali ni propaganda za CCM zinazozuia taarifa sahihi kuwafikia wananchi.Sera zina nafasi ndogo sana katika demokrasia katika mahali ambapo raia wengi wana elimu ndogo, isiyo bora au wakiwa hawana taarifa nyingi sahihi. Hata Marekani ni vigumu kwa Waislamu na watu we dini nyingine kushinda uchaguzi kwenye red states kwa sababu hizi.
Uko sahihi, lakini ni kundi dogo sana linapiga kura kwa jicho la dini. Maana walio wengi ni vijana, na hawajashika dini kwa kiwango cha kuifanya iwafanyie maamuzi.Hata Marekani leo hii dini bado X factor kubwa sana kwenye chaguzi zao za kidemokrasia. Kwa Tanzania dini bado ina nguvu sana kwenye siasa.
Pia mimi sijasema wabalance ila nimeongelea ninachokiona katika jamii
CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.
Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!
Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.
Post ya aina hii ni kama ya 50 humu JF lakini haijaweza kutimiza malengo yenu ya kuichonganisha hiyo Chadema na wananchi kwa sababu zifuatazo.CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.
Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!
Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.
Hahaha naijua hiyo...unaitengenezea kejeli hoja ya msingi kwa kuidogosha na myopicHaya wala sio mambo ya msingi kuwaza, uislam, ukristo vs maendeleo. Myopic kabisa!
Makamu Mwenyekiti Zanzibar na naibu Katibu mkuu Zanzibar, Mwenyekiti BAWACHANi nani katika uongozi wa CHADEMA ni Muislamu kwa sasa??