Ni mzaramo gani ametaka kuingia cdm akazuiwa kwa uzaramo wake? Dunia ya AI Bado mnaleta siasa za kiseng#$e za ccm zilizopitwa na wakati!Chadema wengi kina bwashee na ile Mo29 wengi ndio wameangamia👈
Bisha na ilo???
Jibu hili hapa uzi ufungwe.Hiyo sio shida ya CHADEMA, vyama vina tatizo la Ukanda na/au udini naturally.
CCM waliweza kukwepa hilo tatizo kwa sababu historia iliwabeba, chama dola kilichokua kimoja kwa wananchi wote chenye uongozi thabiti hadi ngazi ya shina, ndio kilijigeuza kuwa kuwa chama shindani cha kisiasa dhidi ya vyama vipya.
Pale 1992 ilitakiwa vyama vyote vya siasa vianze upya kwa ajili ya ushindani wa mfumo wa vyama vingi.
Tuko na mwenzetu katika imani na hatutaki atolewe kwenye kiti cha enzi.CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.
Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!
Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.
Mbona viongozi wakubwa tu waislamu walishika nafasi Chadema? Nakumbuka late Mohamed Mtoi alikuwa muislam ,kina Twaha ,Yule Kovid wa Sindiga aliyetolewa jela usiku usiku naye alishika position kubwa tu na wengi tu.CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.
Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!
Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.
Waislamu kwenye siasa ni upumbavu wa wazi kabisaCHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.
Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!
Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.
Watu wengine sijui mnafikiria kwa kutumia nini!CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.
Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!
Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.
Kwa hiyo bora Ccm sio maana hawana ubaguzi wowote ule.Hapa watakupopoa lakini lazima tuseme hatuwezi kusifia kila kitu.
ukweli hata hapa jukwaani tumeona hilo mara kadhaa na sio kuhusu udini tu hata kuhusu makabila
Utasikia watu wa pwani hawana akili na maneno kibao
Hili taifa ni letu sote kama kweli chadema wamedhamilia kukomboa hili taifa lazima wajitathimini kuhusu matamshi yao sometimes wanazingua
Vipi kuhusu CUF na ACT?CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.
Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!
Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.
Umeeleza kitaalamu sana mkuu.Wkt RAIS ni Benjamin William Mkapa
CUF kuna Rip Maalim Sefu
Uchunguzi wangu waislamu walimchukia Benjamin William Mkapa tu 👈
sababu za msingi hawakuanazo kabisa za kumchukia Benjamin 👈
Lkn Wakristo wengi walikuwa upande wa CCM na Benjamin William Mkapa na kuwaona baadhi ya waislamu na CUF yao kama wapumbavu vile👈
Lkn kumbe jamii zetu zinafanana sana kitabia na kiakili au tuseme kiupumbavu👈
Leo Waislamu wengi wapo na CCM ileile kwanini chuki yao ilikuwa ni mtu mmoja na ayupo tena 👈
na baadhi ya Wakristo wengi leo wanateseka kumchukia RAIS Dk Samia Suluhu Hassan pasi na kosa lolote👈
Kisa Dini yake tu mazuri yake yote kwao hawataki kuyajua
Kumbuka ugomvi wao sio CCM 👈
Tujipe muda 2030 Wakristo wengi wanalejea CCM
Lkn waislamu wasasa wameipenda CCM hata chini ya Rip JPM walitulia vizuri
kwao kiongozi yoyote wapo pamoja nae
uwatoi yoyote sawa muhimu
CCM tu ✅️
Wakristo baadhi yao wameamia kwa muda Chadema👈
Ukweli CCM itaendelea kushinda milele Sababu jamii izi za Dini haziwezi kuungana👈
Kwasasa Serikali inafanya bidii kutuunganisha kikabila👈
lkn ukweli Udini vitabaki nguzo za Usalama wa kitaifa✅️
Serikali itaendelea kuzitunza Dini zote kubwa kwa wivu kubwa🤠
Hapo kwa CCM umetoka njee ya mada tujifunze kujadili kilichopo mezani mkuuKwa hiyo bora Ccm sio maana hawana ubaguzi wowote ule.
Waafrika akili zetu ni kama nyani... pengine. CCM siyo wajinga kukataa uchaguzi huru kwa gharama za vifo na vikwazo. Kwa taarifa yako kila kabla ya uchaguzi TISS huwa wanafanya utafiti wa siri kwa kutumia opinion poll kuona jinsi wanavyokubalika na pia rais wao. Mara zote wanaona watagaragazwa ndiyo maana hawataki uchaguzi huru.Waislamu wachache wanaikubali CHADEMA humu ndani, wengi wanaipinga. Hata Zanzibar na Mikoa ya Lindi, Mtawara, Tanga na mengine yenye Waislamu wengi CHADEMA imekuwa inapata shida kufanya vizuri muda wote.
Kuna kitu lazima tuelewe mkuu,Waafrika akili zetu ni kama nyani... pengine. CCM siyo wajinga kukataa uchaguzi huru kwa gharama za vifo na vikwazo. Kwa taarifa yako kila kabla ya uchaguzi TISS huwa wanafanya utafiti wa siri kwa kutumia opinion poll kuona jinsi wanavyokubalika na pia rais wao. Mara zote wanaona watagaragazwa ndiyo maana hawataki uchaguzi huru.
BAKWATA na Ccm ni ndugu wa karibu.Kuna kitu lazima tuelewe mkuu,
Kukiondoa chama dola kama CCM madarakani katika mazingira ya siasa zetu lazima ushindi uwe mkubwa hasa mpaka isiwezekane kuiba, lazima pia makundi yote ya kijamii yawe yanakipinga haswa. Pamoja na BAKWATA kudharauliwa ila bado ina wafuasi wengi sana nyuma yake kuliko taasisi nyingine yoyote ile ya Kiislamu na wao kuendelea kuikumbatia CCM kwa wazi kabisa ni changamoto kubwa kwa upinzani.