Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Hana exposure....Naona siku hizi watoto wamejaa humu JF. Ushamba umekuwa mwingi sana. Huenda aliye anzisha uzi hana exposure tumsamehe.
Apuuzwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana exposure....Naona siku hizi watoto wamejaa humu JF. Ushamba umekuwa mwingi sana. Huenda aliye anzisha uzi hana exposure tumsamehe.
Ila kutekana Tanzania wanaongoza.Tanzania si Rwanda...
Rwanda walimwagana damu kwa sababu za UBAGUZI wa kikabila....
Maisha ya watanzania ni bora na yasiyo na rejea ya nchi nyingine....
#Mama Tanzania [emoji7]
Pole yao haswa....Ujinga wa muanzisha uzi unaonesha namna vijana wengi wasivyo jua dunia ilivyo. Pamoja na Benjamini Netanyahu wanaonesha kiwango cha ujinga kwenye siasa.
Pole yenu
Mjinga anapopigana vita vya kijinga dhidi ya mwerevu....Mkuu umejiandaa? mimi sina vita ndogo nitashughulika na wewe kwa vipimo vile vile, karibu
Argumentum ad hominemMuulize mumeo nimesoma naye
Yaani watoto wa juzi wanaona Kuvaa nguo ikiwa na picha ya Rais si sawa. Lakini unawakuta wamevaa picha ikiwa na alama za Ushoga na UsagajiPole yao haswa....
Hawa vijana wenzetu sijui wamekulia wapi ?!!
Kukosa kuijua vyema historia ya Tanganyika kabla ya uhuru na baada ya uhuru ni JANGA...
Profile picture inaonesha namna usivyo na uweza wa kuchanganua mambo. Hivi Analytical data umezipata wapi mpaka ukaandika mashudu haya?Ni kwamba raisi haamini kama anakubalika, ni kwamba anatafuta kupigiwa kura ilhali uhakika wa kupita anao, anaaminisha mataifa makubwa kua anakubalika na demokrasia ipo au ni uzuzu tu watanzania wengi??
Nimeuliza swali hapo, na sijaanzika ila nimeandika..Profile picture inaonesha namna usivyo na uweza wa kuchanganua mambo. Hivi Analytical data umezipata wapi mpaka ukaanzika mashudu haya?
Hebu niambie nani aliyekufundisha kuandika Mashudu?Nimeuliza swali hapo, na sijaanzika ila nimeandika..
Punguza jazba, vuta pumzi na ushushe taratibu kisha andika tena.
Haya ❎Vishu Mtata haya kama uki dislike comment yangu haiondoi shudu uliloliandika 🤣 🤣 🤣
Umekubali kuwa wewe ni bingwa wa kuandika mashudu? Je, unajua siasa unavyofanya kazi? Au ndio wale wale tu?Haya ❎
Hata ✅
Hamna shudu nililoandika ndgu, makinika tu utaelewa
Vishu Mtata ni kati ya .....Vishu Mtata ni katik ya vijana wa hovyo hapa Duniani. Hawana uwezo wa kujadiliana siasa kisomi. Wanachoweza ni kuchamba na kutukana watu.
Aiseee sawa.Vishu Mtata nauchoma moyo wake kwa kuandika vitu vyenye kiwango kikubwa. Yeye hawezi kujadiliana siasa. Anachoweza ni kuchamba tu.
Sawa.Umekubali kuwa wewe ni bingwa wa kuandika mashudu? Je, unajua siasa unavyofanya kazi? Au ndio wale wale tu?