Ni vigumu kukuta Waziri Uganda, Kenya au Rwanda kavaa fulana yenye picha ya Rais. Tanzania ni Jamhuri ya Uchawa

Ni vigumu kukuta Waziri Uganda, Kenya au Rwanda kavaa fulana yenye picha ya Rais. Tanzania ni Jamhuri ya Uchawa

Ujinga wa muanzisha uzi unaonesha namna vijana wengi wasivyo jua dunia ilivyo. Pamoja na Benjamini Netanyahu wanaonesha kiwango cha ujinga kwenye siasa.

Pole yenu
Pole yao haswa....

Hawa vijana wenzetu sijui wamekulia wapi ?!!

Kukosa kuijua vyema historia ya Tanganyika kabla ya uhuru na baada ya uhuru ni JANGA...
 
Pole yao haswa....

Hawa vijana wenzetu sijui wamekulia wapi ?!!

Kukosa kuijua vyema historia ya Tanganyika kabla ya uhuru na baada ya uhuru ni JANGA...
Yaani watoto wa juzi wanaona Kuvaa nguo ikiwa na picha ya Rais si sawa. Lakini unawakuta wamevaa picha ikiwa na alama za Ushoga na Usagaji

Aliyeanzisha mada kiwango chake cha elimu kinanipa wasiwasi
 
Ni kwamba raisi haamini kama anakubalika, ni kwamba anatafuta kupigiwa kura ilhali uhakika wa kupita anao, anaaminisha mataifa makubwa kua anakubalika na demokrasia ipo au ni uzuzu tu watanzania wengi??
 
Alisema Assad nami namuunga mkono...
Tunao viongozi weeengi ambao hawana uwezo hata wa asilimia 30 katika kazi walizopewa!!!
Wawezacho zaidi ni kujipendekeza!!
Hii nchi Mungu atusaidie...
 
Ni kwamba raisi haamini kama anakubalika, ni kwamba anatafuta kupigiwa kura ilhali uhakika wa kupita anao, anaaminisha mataifa makubwa kua anakubalika na demokrasia ipo au ni uzuzu tu watanzania wengi??
Profile picture inaonesha namna usivyo na uweza wa kuchanganua mambo. Hivi Analytical data umezipata wapi mpaka ukaandika mashudu haya?
 
Profile picture inaonesha namna usivyo na uweza wa kuchanganua mambo. Hivi Analytical data umezipata wapi mpaka ukaanzika mashudu haya?
Nimeuliza swali hapo, na sijaanzika ila nimeandika..

Punguza jazba, vuta pumzi na ushushe taratibu kisha andika tena.
 
Vishu Mtata nauchoma moyo wake kwa kuandika vitu vyenye kiwango kikubwa. Yeye hawezi kujadiliana siasa. Anachoweza ni kuchamba tu.
 
Back
Top Bottom