Ni vitu vipi vinaiangusha Tasnia ya Bongo Movie? Changia Mawazo

Unakumbuka zamani yale maigizo ya akina Rich, Bishanga etc ya Mambo Haya?! Unakumbuka Dude na yale maigizo yake? Walikuwa vizuri sana mbona?
 
Walisha haribu hao kina wema na Uwoya na wengine kila scene wao ni kuweka mtu mwenye makalio makubwa tu halafu Ray yeye kazi ni kuigiza maisha ya kifahari hawasomi vitabu kupanua akili yani ubunifu hamna kazi kuuza sura tu. Na umalaya.Hopeless
Exactly [emoji1666] [emoji1666]
 
Kanumba ndo alikuwa anaibeba industry ya Bongo Movie,kwahyo kifo chake ndo kiliharibu kila kitu maana Hawa waliobaki Ni wababaishaji tu


kumbe watu wengi tunafuatilia hizi movie tatizo Ubora
Ni za kwetu.. Muda mwingine unaangalia tu kwa bahti mbaya. Unarudi nyumbani Unakuta familia na mgeni wanaangalia, hapo inabidi uzuge tu kama upo nao ili umentain socialization
 
Wanaiga za Ki-Nigeria. Huwa siangalii huo ubunifu duni.
 
Uliona wapi Msanii kwenye Movie au Series role zote anachukuwa yeye😁
😂Story KANUMBA😂Script KANUMBA😁Sound KANUMBA😁Make up KANUMBA
 
Wanaigana mno ...wote ni mambo ya mapenzi tu hawataki kubuni vitu vingine, sijui hawajawahi kumwona Yombayomba!!
 
UMALAYA
 
Wanapenda sana Uchale, kila Filamu wao Uchale.

Naweza kuwa na hamu ya kutazama Filamu mtandaoni, kila Filamu unayojaribu kuitazama ni Uchale tu, hapo ndio huwa nashindwa mimi.

Kwa mtazamo wangu kwa ukanda wetu wa Afrika Mashariki, Kenya wapo juu. Michezo yao imetulia
 
Uchale.

Naweza kuwa na hamu ya kutazama Filamu mtandaoni, kila Filamu unayojaribu kuitazama ni Uchale tu, hapo ndio huwa nashindwa mimi.

Kwa mtazamo wangu kwa ukanda wetu wa Afrika Mashariki, Kenya wapo juu. Michezo yao iim
 
Kanumba ndo alikuwa anaibeba industry ya Bongo Movie,kwahyo kifo chake ndo kiliharibu kila kitu maana Hawa waliobaki Ni wababaishaji tu
Naye hakuwa Bora kivile...... Directors hawakutambua character yake... Kanumba alikuwa Half Comedian character na movie zote ilibidi aigize hvyo.... Sema Kila zama zinashetani wake
 
Filamu ni kama kuandika kitabu unahitaji kufanya research kubwa sana kabla hujatengeneza stori yako. Filamu nyingi za kibongo zinakosa uhalisia sababu watu wengi hawafanyi hili na hakuna ubunifu. Tumeweka mapenzi mbele zaidi kuliko kitu chochote kile. Pia suala la bajeti limekuwa mtihani mkubwa sana ndio maana utaona movie nyingi watu wanafanya nje ya nyumba maana hata kukodisha tu taa ni mtihani. Pia stori nyingi huendana na bajeti, uharaka wa kutoa hiyo filamu na kukosekana kwa usimamizi mzuri. Kuna watu wanaanza kutengeneza filamu lakini hana stori, ataipata wakati yupo site. Tunahitaji umakini sana kwenye sekta hii la sivyo itakuwa ni maigizo yasiyo na vichekesho ndani yake
 
Shida vigezo vyao kwa waigizaji..ni mataakle makubwa..usombe shombe..usharobaro..uchawa..ujuaji..uongeaji hovyo.


Hawaangalii kipajii uwezo..hawawekezi akili muda na fedha..hawasomi vitabu kiufupi hawajifunzi.

Wanachojua ni mapenzi na uchawi kila bongo movie huwa inacheza humo hawajawahi toka nje ya uwanda huo..yani wako na akili finyu sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ni Story na Director ndo vimeua bongo movie

Na sio budget , technology, wala waigizaji

Kuna movie zilizofanya vizuri ambazo hazina budget kubwa Ila kutokana na mpangilio wa matukio( story ) na maelekezo ya Director movies zikawa Ni 🔥
 
Mkuu uko sahihi kabisa maana hizi za sasa hivi sio kabisa mtu anajifanya mtoto wa kishua wakati kwao mpaka anaingia kaburini hajawahi kuliona hata sofa mbuzi hawa We unamtizama Romyjons eti nae muigizaji hujakaa vizuri mara sijui Ben kinyaiya unategemea nini?
 
Ni za kwetu.. Muda mwingine unaangalia tu kwa bahti mbaya. Unarudi nyumbani Unakuta familia na mgeni wanaangalia, hapo inabidi uzuge tu kama upo nao ili umentain socialization
Hahahaaa
 
Issue ya kutumika kwenye mambo ya siasa ndio imewaangusha. Wanatumia muda mwingi kupiga kampeni za siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…