Ni wakati muafaka sasa kwa kanisa katoliki Tanzania na Afrika kujitenga na Vatican kama ilivyo kanisa katoliki la China

Ni wakati muafaka sasa kwa kanisa katoliki Tanzania na Afrika kujitenga na Vatican kama ilivyo kanisa katoliki la China

Taarifa iliyotafsiriwa na hivyo vyombo kuwa inapingana na Papa?
Kama Papa angeagiza ndoa za jinsia moja zibarikiwe basi mimi ningekuwa miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa kupinga. Ninachojua hakuna fundisho wala agizo la namna hiyo.
Hayo Mabaraza yalichoeleza ni msimamo wa Kanisa, ambapo hata kwenye agizo la Papa lipo. Sasa wanapoelezea msimamo wa Kanisa ambao ni kinyume ya kile walichokitengeneza (vyombo vya habari) kutokana na agizo la Papa ni lazima ionekane kuwa wanampinga, wakati kiuhalisia wanafafanua na kuongelea kilekile alichokiongea.
Wapi kwenye hivyo vyombo vya habari wamesema Papa kabariki ndoa za jinsia moja?
Wapi kwenye matamko ya hayo mabaraza wamesema hawatabariki ndoa za jinsia moja?

Alichokisema Papa na Vatican katika waraka wao ni kuruhusu kanisa katoliki kubariki mashoga (na nyinyi mnasema Papa ameruhusu kubariki mali/vitu vya mashoga tu na sio kuwabariki mashoga wenyewe, lakini hapo hapo mnakiri kuwa Mashoga wasitengwe na kanisa katoliki bali watendewe sawa sawa na wakatoliki wengine). Na vyombo vya habari vikaripoti tamko la Papa kuwabariki mashoga katika mtazamo huo. Na hayo mabaraza yakatoa tamko la kusema hawatabariki mashoga kwa namna yoyote ile kwa kuwa mashoga hawana nafasi ndani ya kanisa katoliki.
 
Papa kimeo huyu.

Kwani angekaa kimya kungekuwa na madhara gani!?

Ananitafakatisha sana mimi mkristo wa Buza. Ambae ki ukweli
kanisani huwa nadokoa dokoa

almanusra nihamie kwa braza Gwajima
Ukihamia kwa Gwaji boy yeye anapata hasara gani?
Au nani ndani ya kanisa katoliki atashtuka?
Acha kujipa umuhimu jombaa))
 
Papa kimeo huyu.

Kwani angekaa kimya kungekuwa na madhara gani!?

Ananitafakatisha sana mimi mkristo wa Buza. Ambae ki ukweli
kanisani huwa nadokoa dokoa

almanusra nihamie kwa braza Gwajima
Anatii maagizo ya boss wake ili asiuwawe
 
Wapi kwenye hivyo vyombo vya habari wamesema Papa kabariki ndoa za jinsia moja?
Wapi kwenye matamko ya hayo mabaraza wamesema hawatabariki ndoa za jinsia moja?

Alichokisema Papa na Vatican katika waraka wao ni kuruhusu kanisa katoliki kubariki mashoga (na nyinyi mnasema Papa ameruhusu kubariki mali/vitu vya mashoga tu na sio kuwabariki mashoga wenyewe, lakini hapo hapo mnakiri kuwa Mashoga wasitengwe na kanisa katoliki bali watendewe sawa sawa na wakatoliki wengine). Na vyombo vya habari vikaripoti tamko la Papa kuwabariki mashoga katika mtazamo huo. Na hayo mabaraza yakatoa tamko la kusema hawatabariki mashoga kwa namna yoyote ile kwa kuwa mashoga hawana nafasi ndani ya kanisa katoliki.
Kanisa linapaswa kuwaita ikibidi kuwatafuta wadhambi popote walipo. Linapaswa kuwaombea, na kuwabariki ili waijue kweli na kubadilika.
Sasa dhiyo dini inayolaani na kuwatenga wadhambi huku ikiwa busy kutafuta na kuwaombea wakamilifu, binafsi ninajiuliza itakuwa ni dini ya aina gani.
Hiyo dini ni sawa na zile shule zimazochuja watoto na kuchukua wale brights tu halafu inajisifu inafundisha vozuri na kupanga biwango vikubwa vya ada, halafu wanazicheka na kuzibeza shule za serikali ambazo hazifanyi biashara ya elimu bali huduma ya elimu kwa wananchi na watoto wenye viwango tofauti vya uelewa.
 
Back
Top Bottom