Ni wakati sahihi kwa Serikali kuanzisha sheria za PreNup Kwa Wanaotaka kuingia kwenye Ndoa kupeusha matapeli

Sasa hapa unachanganya mambo ya uhalisia kwenye masuala ya kiimani. Kuna wanaoamini kuwa Israel ni watoto wateule wa MUNGU na vyumbani kwao kuna bendera za Israel.

Umetaja amri za Mungu na mimi ndio nikakuambia amri hizo ambazo alipewa musa hiyo ilikuwa ni katiba ya taifa la waisraeli ambalo Mungu alitaka kulianzisha.

Sheria hizo baadaye waisraeli walikataa kutawaliwa na Mungu wakataka nao wawe na mfalme kama mataifa mengine. Hujasoma kitu kama hicho?
 
Umetaja amri za Mungu na mimi ndio nikakuambia amri hizo ambazo alipewa muda hiyo ilikuwa ni katiba ya taifa la waisraeli ambalo Mungu alitaka kulianzisha.
Ndo wenye imani sasa wamezichukua zikawa sheria zao za kiimani na kuna adhabu ya moto usipozifata.
Sheria hizo baadaye waisraeli walikataa kutawaliwa na Mungu wakataka nao wawe na mfalme kama mataifa mengine. Hujasoma kitu kama hicho?
Ni kweli waisrael walihitaji mfalme.
 
Ndo wenye imani sasa wamezichukua zikawa sheria zao za kiimani na kuna adhabu ya moto usipozifata.

Ni kweli waisrael walihitaji mfalme.

Imani haina sheria Mkuu. Ila dini zinasheria.
Akili hazina sheria ila Elimu zinazo.
Tofautisha hayo mambo.

Unapozungumzia sheria Unazungumzia Mamlaka na Utawala.
Sasa kama waisraeli walikataa utawala na Mamlaka ya Mungu sheria zake utasemaje wenye imani wamezichukua?

Kwa mfano kama imani inasheria,
Tuambie mtu akizini kwa Mujibu wa ukristo anatakiwa afanyajwaje? Yaani adhabu yake
 
Ni suala la kiimani, usililete kwenye uhalisia. Kiimani Mariam mchumba wa Yusufu alipata mimba kwa uwezo wa MUNGU roho akazaliwa MUNGU mwana. Kiimani, narudia tena, kiimani. Usianze mambo ya uhalisia hapa ya mtoto anapatikanaje.
kumbe alikuwa mchumba wa yusufu Tena.
Basi Ina paswa awe mtoto wa yusufu bhana.

Huyo Mungu mwana ndo yukoje??,
 
Okey boss
 
kumbe alikuwa mchumba wa yusufu Tena.
Basi Ina paswa awe mtoto wa yusufu bhana.

Huyo Mungu mwana ndo yukoje??,
Yusufu alishtuka ila alieleweshwa na akaambiwa asimuache Mariam na akaelewa.

MUNGU mwana ni yule aliyefia msalabani kwa ajili ya wenye dhambi na kufufuka siku ya tatu. Soma maandiko boss.
 
Yusufu alishtuka ila alieleweshwa na akaambiwa asimuache Mariam na akaelewa.

MUNGU mwana ni yule aliyefia msalabani kwa ajili ya wenye dhambi na kufufuka siku ya tatu. Soma maandiko boss.
Yesu ni nabii Kama manabii wengine, yeye mwenyewe Ali ogopa Hadi kifo.
Usimpe cheo kisicho chake bhana
 
Itapendeza sana nakwambia
 
" you are REAL GENIOUS",,,,may GOD bless you sir!!!
 
Itasababisha maendeleo kuwa makubwa baina ya wanandoa.
 
Uhitaji PreNup na inakuaje uoe tapeli? Tatizo sisi watu wa kizazi hiki utandawazi unatuaribia dada zetu.

Kwa sababu huwezi jua nafsi ya mtu na Watu hubadilika. Leo yupo hivi kesho yuko vile.
Na ndio maana kuna mikataba ili kuzuia kugeukana au kutapeliana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…