Hii itachochea kwa kiasi kikubwa wanawake kutafuta mali zetu, itapunguza early marriages, itapunguza unyanyasaji wa wanawake ndoani, itasaidia kuingia ndoani kwasababu ya mapenzi, na mwisho itasaidia utaratibu wa talaka kutoka kuwa urahisi.
Ina faida kuliko hasara.