Ni wakati sahihi kwa Serikali kuanzisha sheria za PreNup Kwa Wanaotaka kuingia kwenye Ndoa kupeusha matapeli

Hii itachochea kwa kiasi kikubwa wanawake kutafuta mali zetu, itapunguza early marriages, itapunguza unyanyasaji wa wanawake ndoani, itasaidia kuingia ndoani kwasababu ya mapenzi, na mwisho itasaidia utaratibu wa talaka kutoka kuwa urahisi.

Ina faida kuliko hasara.
 
Yes.
Wenye mapenzi wataamua kumaliza maisha yao mpaka mwisho wa maisha yao. Atakayezingua Ruhusa ya Talaka ipo na mgawanyiko wa mali upo
 
Back
Top Bottom