Ni wakinga wachache tupo kwenye mambo ya Siasa, Siasa ni kazi ya ziada kwa wakinga

Mkuu Mimi sio mkinga Ila nnaishi nao na nafanya nao kazi mpaka leo, nawajua in and out

Kuhusu ushirikina hakuna kabila lisilo na washirikina

Wakinga wanatoboa kwa njia kusaidiana, kufanya kazi kwa bidii bila kusahau ubahili uliopitilizaaa
Hivi wewe unaelewa maana ya kufanyakazi kwa bidii?

 
Lema individual anawezaje kuharibu utalii?
 
Umeelewa kinachoongelewa

Soma taratibu kinachoongelewa kwenye mada

Mada inaongelea Siasa kwa wakinga ni kitu cha ziada

Wewe unaongelea mambo yako, Wakinga wapo kidogo sana huko kwao na wapo wengi Makete wilaya , Wasukuma wapo mikoa kibao mbona hawana influence kariakoo

Dar kwa sasa story ni wakinga

Mleta mada anawajua wakinga kama Tuntemeke Sanga na wengine

Hapa ishu ni utajiri wa wakinga

Wakinga wamekamata kariakoo kwa sasa, Siri ni kitu gani?

Mkuu Jadili mada

Je wakinga wanatumia uchawi, Huyo Mwakipande ni ndugu yake

Wewe unamfahamu Mwakipande?

Hakuna mtu aliyepinga kuwa Mwakipande yupo huko Ikonda, Wewe nani?
 
Yaani unajudge kwa kutumia story za kusikia kwa watu? Hukuwahi sikia miaka Fulani Njombe mtu akifa walkuwa lazima waende kupiga ramli na aliyemroga lazima apatikane.Kumbe vifo vilikuwa vinatokana na Ukimwi.Nawe Leo unatumia story za kusikia kuwa huyu mchawi.Embu prove wewe Kama wewe unaprove vipi kwamba wakinga ni wachawi,achana na habari za kusikia.Wewe Kama wewe unaprove vipi habari za ushirikina na makafara?
 
Yanayosemwa nikweli wakinga washirikina sana kwenye biashara, mmefukuza wahindi Makambako, kkoo majirani wanawakimbia, Mwanjelwa na Tunduma ndiyo usiseme.

Uchawi wa Paka na kutoa kafara family members siyo poa......
 
Masharti ya kutoacha wazi mlango ni kudhibiti tu mwingine asichungulie pesa.Zamani hata katika maisha ya kawaida kulikuwa na miiko mingi ukituatilia unakuta zilikuwa ni mbinu tu za kujiepuesha au kupambana na Jambo Fulani.
Kwa mfano mama mjamzito kuzuiliwa kula mayai eti mtoto atazaliwa hana nywele.Huu mwiko kwa mazingira ya zamani ilikuwa ni kudhibiti tu mama asile sana mpaka mtoto wa tumboni kuwa mkubwa kiasi cha kuhitajika operesheni na wakati huo hakukuwa na hospital
 
Ndio hatutajiriki tunapanga kutumia kabla ya kutafuta.Mwenzetu akitafuta tunasema mshirikina
 
Aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kuwa tajiri bado sana kwa akili yako hii mgando
Anafikiri akipata milioni 100 basi kuimaintain iendelee kubaki au kuzalisha ni rahisi rahisi tu.Tujifunze kwa wale waliokuwa wanashiriki Big brother Africa walikuwa wanapata mamilioni lakini yanaisha yote.Kutunza hela na kuzalisha nyingine sio kazi ndogo
 
Mkinga sio threat kwa mchaga kwenye biashara?
 
Mimi mwenyewe Mkinga. Hadithi yake ni ndefu. Mimi nimechukua sehemu ninayoifahamu aliyoizungumzia isivyo. Uchawi anazungumzia yeye mimi siufahamu ndiyo maana namshauri mwenzangu azidishe zaidi huko kama mimi ninavyozungumzia ninayo yafahamu ya sisi Wakinga. Kama uelewa wako ni mdogo basi usiuoneshe hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…