Ni Waziri gani alikwenda gerezani kumshawishi Freeman Mbowe?

Mbowe ni VIP, international figure,akifia gerezani serikali itatokwa na kamasi kujibu, Ila wewe ukifia gerezani wanafukia tu
Wacha weee.. naona mtoto wa kiume unampa sifa zisizomstahili mwanaume mwenzio huku we mwenyew ukijinyima sifa hizo. Nilizani mkewe ndo angekuwa mbele kumsifu na kumpambania mumewe, kumbe na wewe ni mmoja wa watoa sifa za mume wa mtu.. hongera.
 
Kuna nyumbu wataamini haya maneno.
Yatakuja kunengua eti gaidi kapiga simu America akiwa na hasira Sana.
Haya magereza yetu kumbe siyo jela.
 
Kuna nyumbu wataamini haya maneno.
Yatakuja kunengua eti gaidi kapiga simu America akiwa na hasira Sana.
Haya magereza yetu kumbe siyo jela.
Ulimsikia Mangula alichosema wakati wa maandalizi ya kikao cha wadau wa siasa?? acha kulala usingizi we lumumba kama hujui kitu kaa kimya.

Hii kesi inamtesa Mbowe na wenzake lakini inawatesa pia walioitunga.

Kuifuta ngumu kuiamua ngumu pia.
 
Ni huyu huyu lema alijifanya kutabiri kifo cha Dkt Magufuli kumbe wana magenge ya kutaka kumuua yaani waliandaa mazingira kwa kutoa kauli
Kumbe walipanga mipango. Shame on them
Mkuu huu ujumbe wako ukiwa channelled kwenye vyombo vya usalama utakuwa tayari kutoa ushahidi?
 
Ni huyu huyu lema alijifanya kutabiri kifo cha Dkt Magufuli kumbe wana magenge ya kutaka kumuua yaani waliandaa mazingira kwa kutoa kauli
Kumbe walipanga mipango. Shame on them
Kwenye hili unamuonea Lema.
Dakatari wenu alijitakia mwenyewe.
Jifunzeni kwa SSH.
 
Liacheni lifungwe gaidi
Mbowe haogopi, CHADEMA haiogopi mlichopanga wakati mkibumba. Mungu wa haki atatatuwa yote.
Yaonekana kuwa NADHIRI uliyofunga na shetani ndio yakutesa na kukufanya uweweseke.
Siku ukiwa kwenye zamu yako ya kulinda kaburi kule Burigi itafaa ukampigia Mwendazake ili ujue alishindwa wapi.
 
Wewe unayeleta mambo haya ya kitoto hapa nawe tunakuona ni mtoto vilevile. Hivi huwezi kuchanganya na akili yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…