Ni Waziri gani alikwenda gerezani kumshawishi Freeman Mbowe?

Samia hawezi kuyoa maagizo hayo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hi chuki uliyonayo itaja kuua siku moja. sijui alikuingilia.....mpaka umchukie hivyo maana hizi ni siasa tu no situation is permanent.
Yaani ukimgusa Dkt Magufuli lazima wana CCM tukularue. Mlidhani akifa ndiyo mmeshinda, no never, hatukumpenda kwa sababu yupo hai bali till death sisi ni watetezi wa uzalendo wake na tutamuenzi siku zote za uhai wetu. Hiyo chuki nyie ndiyo mliianzisha na mkadhani moto utapoa mpaka muangamie wote kizazi chenu cha magaidi
 
Mfate ukalale nae kaburini.
 
Utakuwa na wewe ni kichaaa mwenzake...
 
Sitaki kabisa mimi kusikia upumbavu huu wa Lema na Mbowe.Kubuni habari ili ionekane serikali inashulishwa na swala la Mbowe ni upuuzi.Yeye a,subiri haki itatendeka tu,yeye siyo gaidi wala muhujumu uchumi
.
 
Mfate ukalale nae kaburini.
Mnama uwe na adabu. Li mbowe ningekwa jaji ningelihukumu lichapwe fimbo za uchi ishirini lilieeeee baada ya hapo nalihukumu kunyongwa hadi kufa kabisa. Sisi tulishalia, ila ninyi mnayapata machungu na bado
 
Lema alipigiwa simu na Mbowe akiwa gerezani?

Yaani Mbowe anaruhusiwa kutumia simu kuwasiliana na watu akiwa gerezani?

Kama hivyo ndivyo huoni kuwa huyo Lema anamchongea kiongozi wake kwa mamlaka?
Na mimi pia najiuliliza swali hilohilo?au kuna utaratibu mpya gerezani siku hizi ambao sisi hatuujuui
 
Reactions: Tui
Tikiti maji kabisa Kama Lema space za saa Mbili anachangia vizuri, anashindwa kupanga muda ata Kama Ni usiku wa manane kuwasiliana na Mbowe
 
Wahuni waliua, wakazika chato hao ndo wahuni[emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…