chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,834
- 26,217
Huo ujinga jaribuni kufanyia sehemu nyingine, msichezee motoView attachment 3075375
Kama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro.
Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka.
Jamaa wanokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto mazingira na kuharibu uoto kila mwaka.
Wahamishwe kwenda Msomora , Kilindi Tanga.
Kama imewezekana Ngorongoro huku tutashindwa nini?
Wasalaam Aleikhum.
NB
Sitaki matusi.